Ujasiri

hahahahahaaaaa hao vijana mbn kama wamevaa nguo za chama flan iv amsure hawajaconcern ila wmerelate hahahahhahahahaa
 
awesome life style
 
Mbona kafanana na black mamba huyo? Mbona mpole hivo yaan anasubiria kifo chake kizembe
 
hahahahaha....nimekumbuka enzi za kwenda kuwinda porini na umbwa, manati, na ka kisu.plus kibiriti.ya porini huliw porini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…