Brilliant internationary
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 301
- 193
Habari za jioni wakuu, kwanza kabisa nipende kueleza hali halisi ilivyo huku mkoa wa lindi na mtwara kwa hali ya korosho wa hali kimsingi ni mbaya sana kiasi kwamba watu waliokuwa bado na korosho wanatafuta wa kumuuzia hata kwa sh. 500 hawampati kimsingi unakuta mama kampeleka mtoto zahanati akiambiwa alete kale kadaftar kamia mbili anarudi nyumba bila kutibia mtoto njaa imepiga hodi kwa watu wengi na mvua zimeanza kwa kasi hakuna anayejua kinacho endelea wakuu wa wilaya wamebakia kutoa matamko yasiyo kuwa na maana huku watu wao wakilia njaa wabunge wamebaki kimyia wakiogopa kufukuzwa na boss wao sasa ndugu zangu watanzania mnapo nyamaza kimiya ndugu zenu huku wakitapeli waziwa mnafanya makosa kesho inaweza ikawa zamu yenu.
Ndugu kunaile misemo ya tumeisha lipa bilion 86 hii ni uongo mtupu nitolee mfano nachingwea kati ya vyama 33 vimelipwa 2 na wamelipa watu wasiopungua 39 wenye kilo kuanzi 10-900 sasa huu kama siyo ubabaishaji nin nimuombe mkuu wa nchi atoe tamko kwan hawa watu wamejificha kwenye kichaka cha uhakiki na sas hata walio hakikiwa hawajapewa hata 100 sas wazir mkuu mh. JPM toa tamko watu wana hali mbaya kuliko maelezo mnayo yapata kwa watu wenu watu wenu wanawadanganya njoo mjionee watu hali waliyo nayo mwisho nishauri kama ela hakuna basi rudisha korosho za watu ili kuepuka rahana za watu