Ujanja janja kwenye korosho ni kumuumiza mkulima

Brilliant internationary

JF-Expert Member
Feb 8, 2017
294
250
Habari za jioni wakuu, kwanza kabisa nipende kueleza hali halisi ilivyo huku mkoa wa lindi na mtwara kwa hali ya korosho wa hali kimsingi ni mbaya sana kiasi kwamba watu waliokuwa bado na korosho wanatafuta wa kumuuzia hata kwa sh. 500 hawampati kimsingi unakuta mama kampeleka mtoto zahanati akiambiwa alete kale kadaftar kamia mbili anarudi nyumba bila kutibia mtoto njaa imepiga hodi kwa watu wengi na mvua zimeanza kwa kasi hakuna anayejua kinacho endelea wakuu wa wilaya wamebakia kutoa matamko yasiyo kuwa na maana huku watu wao wakilia njaa wabunge wamebaki kimyia wakiogopa kufukuzwa na boss wao sasa ndugu zangu watanzania mnapo nyamaza kimiya ndugu zenu huku wakitapeli waziwa mnafanya makosa kesho inaweza ikawa zamu yenu.
Ndugu kunaile misemo ya tumeisha lipa bilion 86 hii ni uongo mtupu nitolee mfano nachingwea kati ya vyama 33 vimelipwa 2 na wamelipa watu wasiopungua 39 wenye kilo kuanzi 10-900 sasa huu kama siyo ubabaishaji nin nimuombe mkuu wa nchi atoe tamko kwan hawa watu wamejificha kwenye kichaka cha uhakiki na sas hata walio hakikiwa hawajapewa hata 100 sas wazir mkuu mh. JPM toa tamko watu wana hali mbaya kuliko maelezo mnayo yapata kwa watu wenu watu wenu wanawadanganya njoo mjionee watu hali waliyo nayo mwisho nishauri kama ela hakuna basi rudisha korosho za watu ili kuepuka rahana za watu
 
pakapori

JF-Expert Member
Sep 13, 2015
535
1,000
Ila tunachanganyana sana sio siri. SI JUZI TU HAPA wakulima wa korosho walikuwa wanaimba na kumsifia mkulu kuwa amewakomboa kwenye swala la KOROSHO...!!!

Hii ni nini tena sasa, mi hata sielewi nishike lipi niache lipi aaarrgghh..!!

So wale wakulima walikuwa wanaigiza au..!!?
 
Ninaweza

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
9,844
2,000

Hata hukuelewa kuwa waliandaliwa kufanya walicho kifanya???.
Mtoa mada haelewi kuwa rais ndo chanzo cha taabu yote hii
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
48,658
2,000
Ila tunachanganyana sana sio siri. SI JUZI TU HAPA wakulima wa korosho walikuwa wanaimba na kumsifia mkulu kuwa amewakomboa kwenye swala la KOROSHO...!!!

Hii ni nini tena sasa, mi hata sielewi nishike lipi niache lipi aaarrgghh..!!

So wale wakulima walikuwa wanaigiza au..!!?
Ukisikia kupangwa ndiyo ile

Ova
 
kibhojela

JF-Expert Member
Mar 7, 2018
992
2,000
Hivi hao wakulima wa korosho wanashindwa kubangua korosho locally wauze kwa bei nzuri!?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom