ha!ha!haa unanchekeshaga mwenzio refer chit chat kwenye misemo ya khanga"Suruali ulivaa na nani hadi msuli uvae na mimi?"
''Kwani bikini ulivaa na nani hadi shimizi uje uvae na mimi..?''"Suruali ulivaa na nani hadi msuli uvae na mimi?"
Hawa vijana wa kizazi hiki mi nakwambia hawajatulia...yaani ukichapiwa ukauke, wakati mi najua nikichapiwa-.....NI TIKETI YA SAFARI KWAO...:wave::wave::wave::A S 13::A S 13::A S-frusty::A S-frusty::A S-frusty::A S 114::A S 114:Hahaha sass mkuun@pakajimmy ukisikia na ule wa kuchapiwa ni siri ya ndani si unaweza kuchanganyikiwa? Jawilat hebu come zis way
Maana yake ndo siri ya ndani..Aisee huo wa kuchapiwa siri ya ndani huwa simwelewi, najiuliza huyu anajua manna yake au?
Aisee huo wa kuchapiwa siri ya ndani huwa simwelewi, najiuliza huyu anajua manna yake au?
Ngalikihinja habari ya asubuhi ndugu yangu?Maana yake ndo siri ya ndani..
Kwani wewe ukichapwa unatangaza..??nasikia wazee wa zaman ndio walisema hayo asa cjui ni kweli
humu kama kuna wazee wa zaman watupe maana
Sijambo bana, ingawa sijui huu undugu ulianza lini... Yaani ingekuwa kuleeee, mbona ungejuta kuniita ndugu.... Yaani ninge....... anywayNgalikihinja habari ya asubuhi ndugu yangu?
Bikra ulitolewa na nani? hadi uje unigande mimi niliyekukuta ushatanuliwa?
''Kwani bikini ulivaa na nani hadi shimizi uje uvae na mimi..?''