Ujana maji ya moto,msaada kwenye tuta tafadhali...

Ujana maji ya moto,msaada kwenye tuta tafadhali...

Hapo ndo ninapowachukia wanaume wanaotutendea mabaya,usiwe katili wa moyo kiasi hicho bro!!kumbuka nae bila wewe kumzalisha pasipo ndoa huenda angekuwa na ndoa inayokubalika mbele ya mungu na hata wazazi pia,cha msingi oa mama mtoto wako acha kuongeza wahanga wa maumivu ya mapenzi.
 
acha umalaya maku ni zilezile na bao ni lilelile au huyo wa sasa ukipiga bao utamu unachukua dakika 60????
 
yaan kila tusi ninalolifikiria naona km vl halitakufaa kwa upuuzi unaotaka kufanya.........eti nampenda!!!!!!!!! kwani huyo mama mtoto hukumpenda, km hukuwa unampenda umekaa nae miaka 8 ukitafuta nn...........mijanaume mingine sijui ikoje, km umelogwa vile. ------- kbs, halafu ukishamuacha unategemea nani atamuoa. Ningekuwa na uwezo ningekugeuza ukawa chizi tu ikajulikana moja na mama mtoto akawa hana maumivu makali km hayo unayotarajia kumpa kwaajili ya umalaya wako.
 
Miaka 8 ya mahusiano na kumzalisha juu, na kutaka kuoa mwingine bila kuwa na sababu ya msingi kukufanya usimuoe mzaz mwenzio huo ni ubinafsi. Maumivu na uchungu atakayopata mwenzio itakuwa laana kwako na hutakuwa na raha milele Mungu atasikia kilio chao na adhabu ni hapahapa dunian kwa kumpotezea mda na ni wangap amewakataa kwa ajili yako.
 
yeah jamaa jinga hili alafu anakuja anajiita kidume
Tena ni lijinga sn na wala halijitambui kbs. Ningekuwa nalifaham ningelizaba ht makofi. badala ya kuwaza future ya mtoto wake lenyewe kwa umalaya wake linawaza chupi. Huyo aliemzalisha sasa hv amemuona ana kasoro gani???????????
 
Aiseeeee Wanaume watu wabaya sana yaani umemchakaza dada wa watu miaka yote hiyo mbaya umemzalisha afu unataka uoe mwingine???????
 
Life has a cunning way of paying back! and it doesn't wait until you are dead, either! If you indeed abandon this innocent baby and her deeply hurt mother, be readily willing to receive what life has in store for you. The past will eventually catch up with you someday!

PP
 
girls please please tujifunze kitu hapa na tuchukue hatua kama noma naiwe noma unizalishe nikae nawewe miaka zaidi ya 2 yote sikuoni una dalili yoyote mmhh akili kumkichwa.
 
Yan upo kwenye mahusiano miaka 8 na unaleta ungese? wengine hata miezi 6 hatufikishi na tunasota wa kuwapata hao wa miaka 8
 
Habari watu wa humu ndani,

Mimi ni kijana nina mpenzi wangu tangu tupo advance(secondary school) ,almost ni kama miaka nane hivi tupo ndani ya mahusiano.

Tukafanikiwa kupata mtoto, pande zote mbili za wazazi wanajua hali halisi.

Ni miaka mi nne sasa tupo mbali mbali hii ni kutokana nami kuamishiwa kikazi mkoa mwingine,but mahitaji yote ya mtoto namtimizia.

Huku nilipo ndani ya miaka miwili iliyopita nimejikuta nipo kwny mahusiano mapya na msichana mwingne,huyu msichana tumetokea mkoa mmoja,anaijua familia yangu nami naijua familia yao mwanzo mwisho, nimemueleza hali halisi ya kwamba nina mtoto,na amekubaliana na hali na anataka tuoane.

Ki ukweli nami nampenda sana tena sana tu.

Nia yangu kuja hapa ni kuomba msaada na mawazo yenu, nitaanzaje kumwambia mpenzi wangu wa mwanzo kama nina mtu mpya ambae nipo tayari kumuoa!!?
acha uzinzi baki njia kuu
 
Kweli ujana maji ya moto
mwambie tu kama ulivoanza kumtongoza huyo mpya??
na mtoto je ???
 
Hapo ndo ninapowachukia wanaume wanaotutendea mabaya,usiwe katili wa moyo kiasi hicho bro!!kumbuka nae bila wewe kumzalisha pasipo ndoa huenda angekuwa na ndoa inayokubalika mbele ya mungu na hata wazazi pia,cha msingi oa mama mtoto wako acha kuongeza wahanga wa maumivu ya mapenzi.

Yaan watu wengine hawana huruma kabisa
Vip angetendwa yeye ???
 
Sikushangai! kwasababu kila mwanadamu ni mbinafsi
Hauoni uthamani wa maisha mlivyo share na huyo dada miaka nane ndio maana umeamua kumpush away na kukumbatia mtu mwingine
Huoni thamani ya mtoto ulienae hasa pale atakapo kuwa akilelewa na wazazi wote wawili kwa amani
Penzi halilazimishwi nenda mwache dada wawatu usije kumletea maradhi bure
 
Nakukumbusha kuwa hakuna jipya lolote ambalo huyo dada mpya atakufanyia yote ni yale yale zaidi zaidi utafika muda nae utamchoka sijui utatafuta mwingine .You can create your own happiness kakangu hata na huyo ambaye umezaa nae
 
Back
Top Bottom