Ujana maji ya moto,msaada kwenye tuta tafadhali...

Ujana maji ya moto,msaada kwenye tuta tafadhali...

A cha upuuzi bro mama watoto wako anakupenda ndiomana akakuzawadia mtoto tulia melee motto apate faraja ya baba name mama na c MTU baki michepuko sio dili Baki kwenye njia kuu japo kunafoleni ila in salama
 
wanaume bwana mkishazalisha watoto wa wenzenu mna wa damp halafu yeye aolewe na nani kumhuzunisha mdada wa watu ndo mana huwa hamfanikiwi mnaanza kutafta mchawi unakuta mdada wa watu anakulilia halafu ufikirii mtoto wenu itakuwaje punguza u selfish wewe
 
Vijana bwana, mnayakoroga then mnakuja mbio tusuruhishe, Huyo ulompa mimba ukimuacha unataka aolewe na nani? Nani atakubali kuoa msimbe?
 
Yani ndo mana swala zima la kuzaa nalipostpone till nimevaa shela,..maluweluwe mengii..nikiwaza nipate ujauzito af jamaa akatae au aoe mwingine mhh..
 
Muoe huyo wa pili halafu kwa bahati nzuri ukute ni tasa na mama mtoto wako apate mwanaume haraka. But usije Jf kulalama tena.
 
Haya mwambie huyo mama wa mtoto wako ajue hana mume hapo
 
wanaume bwana mkishazalisha watoto wa wenzenu mna wa damp halafu yeye aolewe na nani kumhuzunisha mdada wa watu ndo mana huwa hamfanikiwi mnaanza kutafta mchawi unakuta mdada wa watu anakulilia halafu ufikirii mtoto wenu itakuwaje punguza u selfish wewe

wapo lakini wanaume walio soo responsible hadi raha yani..unakuta baba anampenda mtoto kuliko mama,sema ndo vile bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi
 
Lea mtoto na mchumba wako wa secondary, uhusiano umedumu miaka 8 afu umwache kirahisi, laana itakutafuna
 
Dunia ya sasa ina wanaume kwa asilimia kubwa wasio jiamini,wasiojielewa,wanaoyumbishwa na maisha na waliokosa msimamo katika maisha yao. Msaada wao katika jamii zetu ni mdogo
Nawaheshimu sana wanaume wenye msimamo na kujiamini.
Jusr imagin this is happening to your sister.
 
wanaume wote baba yao ni mmoja, wachache sana wanakuwa na mawazo waliyopewa na malezi ya mama...
 
Habari watu wa humu ndani,
mi ni kijana nina mpenzi wangu tangu tupo advance(secondary school) ,almost ni kama miaka nane hivi tupo ndani ya mahusiano.Tukafanikiwa kupata mtoto, pande zote mbili za wazazi wanajua hali halisi.Ni miaka mi nne sasa tupo mbali mbali hii ni kutokana nami kuamishiwa kikazi mkoa mwingine,but mahitaji yote ya mtoto namtimizia.Huku nilipo ndani ya miaka miwili iliyopita nimejikuta nipo kwny mahusiano mapya na msichana mwingne,huyu msichana tumetokea mkoa mmoja,anaijua familia yangu nami naijua familia yao mwanzo mwisho, nimemueleza hali halisi ya kwamba nina mtoto,na amekubaliana na hali na anataka tuoane.Ki ukweli nami nampenda sana tena sana tu.Nia yangu kuja hapa ni kuomba msaada na mawazo yenu, nitaanzaje kumwambia mpenzi wangu wa mwanzo kama nina mtu mpya ambae nipo tayari kumuoa!!?
Acha tamaa ndugu yangu je usengehamishiwa huko ulipo ungeingia mahusioano mapya?? fikiria future ya mwanao yeye ndie utakaemuathiri.unachokitafuta hasa ni nini.yaani sikuuungi mkono hata kidigo
 
Yani natamani kukupa tusi kubwa.... yani ulimpa mimba una mtoto unataka kuoa mwingine eti unampenda huyo wa mwanzo si ulimpenda mpaka ukawa unakula kavu .... we mkaka angali mwanao na future ya binti wa watu acha ubinafsi et mapenzi nyambafu kabisa huna akili wewe... kwani kipapuchi cha huyu mpya na wa zamani tofauti ni nini? Ungekuwa na akili ungemuoa huyo mama watoto wako siku nyingi sana.... acha ubinafsi

jamani...
 
it takes alot to be a man.....you are a failure at that
 
Back
Top Bottom