Ujana maji ya moto,msaada kwenye tuta tafadhali...

Ujana maji ya moto,msaada kwenye tuta tafadhali...

Mahusiano ya mbali mbali ndio madhara yake hayoooo....follow ur heart but take ur brain with u.
 
Nataka ujifikirie tu huyo uliyezaa naye, angekwambia kapata mwanaume mwingine anataka kuolewa, katikati ya penzi lenu. Je ungejisikiaje? jijibu mwenyewe chukua hatua.
 
We boya kweli! Sometimes nashindwa hata kucoment! Hebu jiweke nafasi ya huyo demu halafu uone hali yako itakuwaje, atleast ukamjengee nyumba umnunulie na gari na umfungulie biashara hapo ndio unaweza muacha na kuoa huyo kikaragosi mwngne! Manake it will be win win situation
 
Daaa onea huruma mwanao. Atalelewa na nani
 
umeshaharibu mtoto wa watu unaomba ushauri wa nini tena kumzalisha msichana alafu ukamuacha ni kumharibia mlolongo wa maisha yake milele .jaribu kufikiria kama huyo ni dada yako ndio kazalishwa then kaachwa.
 
what goes around comes around kama unaamua kumsalit mkeo ngoja kidogo utakipata,acha kumfuraisha shetan mrudie mkeo mkaanze maisha achana na huyo kahaba maana anajua una mke na mtoto anakutaka nini! Muogope Mungu wewe
 
Mijanaume mingine mizigo hapa duniani!! Nimekosa mtusi wa kukupa ngoja nimalizie hasira zangu hapa.....mfyyyyuuuuuuuuuuuuu!!! Huyo aliyekubebea lishahawa lako miezi tisa akaenda leba kuchanika na minyuzi kashonwa ukaitwa baba kifua mbele sahizi unaleta nyege zako mshindo eti nitaanzaje kumwambia n-y-ooooooo!! muonege aibu unadhani huyo uliyempata sasa atakupa furaha milele??? Umenichefua!!! Ndio madhara ya kuzaa kabla ya ndoa!!
 
Yaani wewe wa ajabu,miaka nane!!!
Huyo atakua alipika na kupakua,akafua na kunyoosha,akafagia na kudeki na mtoto ukamzalisha,leo unataka kuoa bint mwingine!!!
Haya wale wanaosaka ndoa kwa kufulishwa ma jeans mkuje!!!
 
usijipe kiuno kisichokuwa na ------ kijana hivi una mshahara wa aina gani kuhudumia nyumba mbili? maana unatakiwa kuhudumia mtoto wako na huyo mke wako mpya, yaani hapo ndipo mnapofail huyo wakwanza anakujua makoko na matandu unataka tena kuchukua mtu ambaye uanze kumwambia ukiona pua yangu iko upande ujue nina hasira lol!! muoe mama mtoto wako wewe
 
Habari watu wa humu ndani,

Mimi ni kijana nina mpenzi wangu tangu tupo advance(secondary school)
,almost ni kama miaka nane hivi tupo ndani ya mahusiano.

Tukafanikiwa kupata mtoto, pande zote mbili za wazazi wanajua hali
halisi.

Ni miaka mi nne sasa tupo mbali mbali hii ni kutokana nami kuamishiwa
kikazi mkoa mwingine,but mahitaji yote ya mtoto namtimizia.

Huku nilipo ndani ya miaka miwili iliyopita nimejikuta nipo kwny
mahusiano mapya na msichana mwingne,huyu msichana tumetokea mkoa
mmoja,anaijua familia yangu nami naijua familia yao mwanzo mwisho,
nimemueleza hali halisi ya kwamba nina mtoto,na amekubaliana na hali na
anataka tuoane.

Ki ukweli nami nampenda sana tena sana tu.

Nia yangu kuja hapa ni kuomba msaada na mawazo yenu, nitaanzaje
kumwambia mpenzi wangu wa mwanzo kama nina mtu mpya ambae nipo tayari
kumuoa!!?
Huna sifa za kua mwanaume wewe labda hyo ya kuwa na dushe tu! foolish
 
Ni umbali tu umekufanya utake kumtosa mzazi mwenzako,inaonekana ulimuahidi utamuoa na yeye akakakuamini,sasa unataka umtose vibaya hivyo,kamwoe mzazi mwenzako na tena muishi wote pamoja.Wewe unaoneka huwezi mapenzi ya mbali
 
Habari watu wa humu ndani,

Mimi ni kijana nina mpenzi wangu tangu tupo advance(secondary school) ,almost ni kama miaka nane hivi tupo ndani ya mahusiano.

Tukafanikiwa kupata mtoto, pande zote mbili za wazazi wanajua hali halisi.

Ni miaka mi nne sasa tupo mbali mbali hii ni kutokana nami kuamishiwa kikazi mkoa mwingine,but mahitaji yote ya mtoto namtimizia.

Huku nilipo ndani ya miaka miwili iliyopita nimejikuta nipo kwny mahusiano mapya na msichana mwingne,huyu msichana tumetokea mkoa mmoja,anaijua familia yangu nami naijua familia yao mwanzo mwisho, nimemueleza hali halisi ya kwamba nina mtoto,na amekubaliana na hali na anataka tuoane.

Ki ukweli nami nampenda sana tena sana tu.

Nia yangu kuja hapa ni kuomba msaada na mawazo yenu, nitaanzaje kumwambia mpenzi wangu wa mwanzo kama nina mtu mpya ambae nipo tayari kumuoa!!?
Acha umalaya dogo ishi na mkeo na mwanao mjenge familia yenu,usije pata mikosi ya kingese we mtu anakusubiri we unaleta unyambwa,unafyambwa nn!
 
Dont look at your self, look at the bigger picture. Ndo maana wengine wanaoa tu na kubaki vitombelo maisha yao yote sio kuwa hawakuweza kukomaa kuoa wanao wapenda, but they decided to be RESPONSIBLE for their past mistakes. Just going an extra mile to compansate the most loosing ones.

DO THE RIGHT THING KID! DO THE RIGHT THING!


Hapo umetamka story ya maisha yangu! Sina zaidi,ila yahitaji moyo!
 
yaani wanaume mnakuwaga kama nyoka muda mwingine,assume huyo ni mdogo wako alafu wewe ndo kaka mtu ungeto ushauri gani????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
ETI MPENZI WANGU WA ZAMANI NITAMWAMBIAJE??UNAMUITA MPENZI KABISA?

Kwann tusiashumu kama ndo mama yake:what:
 
Back
Top Bottom