Ujana maji ya moto,msaada kwenye tuta tafadhali...

Ujana maji ya moto,msaada kwenye tuta tafadhali...

Habari watu wa humu ndani,

Mimi ni kijana nina mpenzi wangu tangu tupo advance(secondary school) ,almost ni kama miaka nane hivi tupo ndani ya mahusiano.

Tukafanikiwa kupata mtoto, pande zote mbili za wazazi wanajua hali halisi.

Ni miaka mi nne sasa tupo mbali mbali hii ni kutokana nami kuamishiwa kikazi mkoa mwingine,but mahitaji yote ya mtoto namtimizia.

Huku nilipo ndani ya miaka miwili iliyopita nimejikuta nipo kwny mahusiano mapya na msichana mwingne,huyu msichana tumetokea mkoa mmoja,anaijua familia yangu nami naijua familia yao mwanzo mwisho, nimemueleza hali halisi ya kwamba nina mtoto,na amekubaliana na hali na anataka tuoane.

Ki ukweli nami nampenda sana tena sana tu.

Nia yangu kuja hapa ni kuomba msaada na mawazo yenu, nitaanzaje kumwambia mpenzi wangu wa mwanzo kama nina mtu mpya ambae nipo tayari kumuoa!!?
Laiti Mngejua jinsi mnavyowapa wakati mgumu hawa mabinti mnaowazalisha na kuwaacha.siku aliyokuletea icho kiumbe ungemuomba Mungu usione mwaname mwingine ila yeye tu.
 
Laiti Mngejua jinsi mnavyowapa wakati mgumu hawa mabinti mnaowazalisha na kuwaacha.siku aliyokuletea icho kiumbe ungemuomba Mungu usione mwanamke mwingine ila yeye tu.

Think twice.
 
Watu wengine bwana wanapenda kuumiza wenzao,Hivi kama ungekuwa unampenda huyo mzazi mwenzio,Siungekuwa unamtumia nauli anakuja kukupa.....,kuliko stress ulizo jitakia! Kweli wewe numbu (kiazi)
 
Back
Top Bottom