Ujambazi Unaofanywa Na Polisi Tarime !

Ujambazi Unaofanywa Na Polisi Tarime !

Wasije kuwa ni watu baki, waliovaa sare za Manji...!

Kama mtu kakutwa na Majora ya kushona sare za Jeshi, atafutwe na yule anaeshona sare za Polisi, ili kujua ukweli wa wale Askari feki, tunaosikia wanakamatwa mara kwa mara.

Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
 
Ulitakiwa uwarekodi na kurusha video youtube tu, na hapo ndio wanakuwa wamekomeshwa.
 
Baada ya kuvuka sehemu moja inayoitwa Nyancha Bukenye mida hii kuna polisi wanasimamisha kila gari linalopita barabarani na kuwalazimisha madereva kutoa hela wakidai wana speed na makosa mengine ya kulazimisha. Mmoja wao anatoa kauli chafu sana kwa madereva, anawaambia asiyetaka kutumia barabara anunue ndege apae usitumie barabara

Hawa watu wanataka hela yoyote siyo chini ya 20,000. Mimi wamenilazimishia makosa sita na kutaka 180,000 baada ya mabishani wakasema watanipunguzia iwe laki moja. Ukiwaambie wakupe risiti wanasema wanakupeleka kituoni huko utapata evidence ya speed yako huko. Ukikomaa sana, wanakupa risiti feki, lakini lazima uwape hela kwanza. Nimefanikiwa kumpata mdada anayekusanya hela ni WP 9555 PC Grace. Kamanda Siro imulike ofisi ya OCD Tarime. Watasababisha vurugu maana huu unyanganyi siyo wa kawaida. Huyo Grace aisaidie polisi kufanya uchunguzi. Wana Land rover Defender Pick up nyeupe iliyofichwa kwenye Kichaka

UPDATE. Huyo Grace hakuwa na sauti. Kazi yake ilikuwa ni kukusanya Hela. Steringi alikuwa ni Mzee mmoja aliyevaa Uniform pamoja na Kijana aliyevaa nguo ZA Kiraia. Alivaa T-shirt ya rangi ya damu ya Mzee, yenye mistari mieusi
Sirro ana kazi ngumu sana. Polisi wengi ni kero.Hawapo kwa ajili ya kulinda wananchi na mali zao kabisa,but the opposite is true.Hawa wanalichafua jeshi letu.Jeshi la Polisi linahitali complete overhaul ili ku-root out elements hizi mbaya.
 
Kaka ukiwa unaenda mbali na uonevu juu, no vigumu kufikiria kurekodi
Lakini hiyo ndio njia ya kuwaadabisha. Hao polisi hata upeleke taarifa kwa Sirro hakuna hatua itakayochukuliwa ila ikirushwa video youtube wanachukuliwa hatua kwa kuwa wanakuwa wameaibishwa.
 
Wanatafuta malor ya transit lengo nikuweka mazingira magumu ya kibiashara kati ya kenya na tz, hapo mkuu kuna malorry kibao yamesimamishwa ya vyakula(mchele,maharage...nk) yasiingie tarime kisa chakula kitapelekwa kenya....wametengeneza mrad wao hapo

Sent from my GT-I9105P using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kuvuka sehemu moja inayoitwa Nyancha Bukenye mida hii kuna polisi wanasimamisha kila gari linalopita barabarani na kuwalazimisha madereva kutoa hela wakidai wana speed na makosa mengine ya kulazimisha. Mmoja wao anatoa kauli chafu sana kwa madereva, anawaambia asiyetaka kutumia barabara anunue ndege apae usitumie barabara

Hawa watu wanataka hela yoyote siyo chini ya 20,000. Mimi wamenilazimishia makosa sita na kutaka 180,000 baada ya mabishani wakasema watanipunguzia iwe laki moja. Ukiwaambie wakupe risiti wanasema wanakupeleka kituoni huko utapata evidence ya speed yako huko. Ukikomaa sana, wanakupa risiti feki, lakini lazima uwape hela kwanza. Nimefanikiwa kumpata mdada anayekusanya hela ni WP 9555 PC Grace. Kamanda Siro imulike ofisi ya OCD Tarime. Watasababisha vurugu maana huu unyanganyi siyo wa kawaida. Huyo Grace aisaidie polisi kufanya uchunguzi. Wana Land rover Defender Pick up nyeupe iliyofichwa kwenye Kichaka

UPDATE. Huyo Grace hakuwa na sauti. Kazi yake ilikuwa ni kukusanya Hela. Steringi alikuwa ni Mzee mmoja aliyevaa Uniform pamoja na Kijana aliyevaa nguo ZA Kiraia. Alivaa T-shirt ya rangi ya damu ya Mzee, yenye mistari mieusi
Ndio maana yanashambuliwa kila kona. Yanakera haya majitu balaa
 
Kwanini usiende takukuru kama unauhakika wanatoa risiti feki,acha kulalama onana na taasisi husika badala ya kuja kulia mitandaoni

Sent from my TECNO_
W4 using JamiiForums mobile app
Nawewe ni mmojawapo wahao wanyakuzi?
 
Usiwaite police unachafua jina la jeshi letu la polisi. Tumia neno official criminals.

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Ili kazi iwe nzuri,penye tochi mbele yake iwepo EFD machine.
Alama zote za usalama barabara zirejewe upya ili kuongeza/kupunguza au kuboresha pale inapowezekana.
Alama nyingi zinaweza kuwa ni chanzo cha ajali na uhalifu kwa mfano penye bamps si salama sana nyakati za usiku,lakini pia maeneo yaliyokuwa hayana nyumba kando ya barabara leo hii nyumba zimefuata barabara ilihali hakuna alama za either 50/60Km/Hr.
Vile vile alama zote zinazohusu highway ziwekwe ili kuendana na ukuaji wa miji.
 
Mkuu hawa jamaa, EFD kwao siyo issue. Wanachotaka ni hela ZA pombe jioni baada ya kazi. Mwenye akili timamu hawezi kuishi kwa unyanganyi
 
Ndio maana yanashambuliwa kila kona. Yanakera haya majitu balaa
Mashambulizi wanajitakia wenyewe. Mbaya zaidi ni jinsi wanannchi wanafurahi polisi akiuwawa. Ni kutokana na uonevu wao
 
Nashukuru kuanzia apa tarime mjini sirari nyamongo hakuna trafiki aliewah nisimamisha maana kwanza huwa sisimami pili spd zangu sio chn ya 100 pole mkuu

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Hawa watu wamemumwagia Mpinga mchanga kwenye wali. OCD wa Tarime ajitayarishe. Polisi barabarani wasafishwe
 
Notification unapigwa ya mwaka 2011 sasa sijui risit zilizopitwa na wakati zinaruhusiwa????

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwanini usiende takukuru kama unauhakika wanatoa risiti feki,acha kulalama onana na taasisi husika badala ya kuja kulia mitandaoni

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Wewe na W4 nahisi umezoea kutumia mitumbwi. Na roho yako huji kununua gari *****
 
Hawa wahuni ndio kamanda siro anawazungumzia
Notification unapigwa ya mwaka 2011 sasa sijui risit zilizopitwa na wakati zinaruhusiwa????

Post sent using JamiiForums mobile app
I
 
Back
Top Bottom