ujambazi CBA Nyerere Rd: Picha kamili

hakyamungu hii movie kali,natamani hata ningekuwa sterring..wamevuta mshiko kilaini kweli..italian job!congrants my fellas..next time nipeni mchongo...ila nikifa nisizikwe dar...nipelekwe maande mamba.
 
mie hao jamaa hata siwalaumu banaa..magamba wanatuibia pesa zetu za rada wanaficha uswisi acha nao wajichukulie chao ahaaaha.
 
“Tunajua mnaturekodi
kwenye kamera zenu na
sisi tunaifahamu vizuri
teknolojia hii, ndiyo
maana tunalazimika
kuharibu mtandao
mzima,” mmoja wa
jambazi alikaririwa
akisema huku akifungua
mtambo wa kamera.
Baada ya kumaliza
kuharibu mitambo ya
kamera, waliondoka na
maguni ya fedha na
kwenda walikoegesha
magari yao ya kifahari
na kupakia.



Kuhusu camera za security, majambazi hao hawaelewi vizuri jinsi zinavyofanya kazi.

Camera zinatuma picha zake moja kwa moja kwenye server na hata kama ukiharibu camera, bado wanaweza kupata picha zilizorekodiwa kabla ya kuharibu mitambo. Picha zote zinakuwa uploaded kwenye DriveHQ FTP server palepale zinapochukuliwa na zinabaki.

"Even if an intruder destroys a security camera, he cannot destroy the recorded data, which can be immensely helpful for tracking down the intruder."

Labda tupate jibu huo mtambo wa kamera maana yake ni hiyo ftp server au la kabla ya kudhani hawajui hiyo technolojia ... ama?
 
Kuhusu camera za security, majambazi hao hawaelewi vizuri jinsi zinavyofanya kazi.

Camera zinatuma picha zake moja kwa moja kwenye server na hata kama ukiharibu camera, bado wanaweza kupata picha zilizorekodiwa kabla ya kuharibu mitambo. Picha zote zinakuwa uploaded kwenye DriveHQ FTP server palepale zinapochukuliwa na zinabaki.

"Even if an intruder destroys a security camera, he cannot destroy the recorded data, which can be immensely helpful for tracking down the intruder."

Kama kuna insider atakuwa alizima huo mtambo wao wakajifanya wanauharibu ili kuzuga Mwanaukweli
 
Last edited by a moderator:
Kuhusu camera za security, majambazi hao hawaelewi vizuri jinsi zinavyofanya kazi.

Camera zinatuma picha zake moja kwa moja kwenye server na hata kama ukiharibu camera, bado wanaweza kupata picha zilizorekodiwa kabla ya kuharibu mitambo. Picha zote zinakuwa uploaded kwenye DriveHQ FTP server palepale zinapochukuliwa na zinabaki.

"Even if an intruder destroys a security camera, he cannot destroy the recorded data, which can be immensely helpful for tracking down the intruder."

Itakuwa waliaribu DVR ambayo inakua na HDD ndani.
HDD zinakuaga swapped jioni hivyo hawawezi pata picha za siku hiyo.
Unless kama wana record kwenda kwenye external server in real time ambayo kwa internet ya kibongo si rahisi.
 
Mie katika taarifa nzima ya Kova niliguswa na "verse" aliyoachia kudai eti hawatakubali mwandishi yeyote yule atishwe kwa sababu waandishi wa habari ni "rafiki wa polisi." Kazi kwenu wapenzi wa taarabu!
 
Labda tupate jibu huo mtambo wa kamera maana yake ni hiyo ftp server au la kabla ya kudhani hawajui hiyo technolojia ... ama?


Inawezekana wanajua hiyo teknolojia. Lakini hapa kwa wanaohitaji kuweka security camera kwa ajili ya kupata picha hata wakiwa hawapo eneo la tukio, au baada ya tukio kutokea wana na namna ya kuunganisha camera zao na server. Hii inawezesha camera ipeleke kwenye server picha zote mara moja na mtu anaweza ku monitor hata akiwa mbali kwa kuingia kwenye internet na kuingia kwenye website ya server kuingiza username na password.

Server hiyo mara zote inakuwa off-site server. Ni kama server inayotunza kumbukumbu zako za kwenye akaunti yako ya yahoo.com au ya facebook. Yaani haiwi kwenye jengo hilo, hivyo wezi au moto, haufuti picha zilizorekodiwa.

Nakubandikia hapa maelezo ya jinsi ya kuiunganisha camera kwenye server

Introduction

If you've got a new security camera, or multiple security cameras that you want to set up around your home or business, remember, you need Camera FTP Service, powered by DriveHQ!
Why Camera FTP? Because:
(1) Security cameras are not secure themselves. They can be easily stolen or destroyed. For example, a burglar may break into your store and steal valuable goods. After that, he may set a fire. Your security cameras and all the recorded images and videos will be burned.
Using Camera FTP service, your cameras can automatically upload recorded images to our FTP server, which is hosted in a secure and remote location. A burglar can destroy the cameras, but he can never delete the recorded images!
(2) You can play back recorded images remotely. If you need to take a long trip, you can find things happened to your home or business remotely
(3) Real-time monitoring Because the cost of setting up your own FTP server can add up, and not only that, but if your images are stored on a machine at your home or business, they really aren't secure in the event of a burglary or disaster. And they surely won't be protected behind a reliable state of the art network and 24/7 security.
Getting Started

If you haven't already done so, you'll need to sign up for a CameraFT.com account. Go to www.CameraFTP.com and click on "Sign Up FREE!". We highly recommend you read our getting started guide and familiarize yourself with the service before continuing.
Security camera connections induce heavier loads on a server than regular file transfers. Because security cameras record images very frequently, they must also connect to the server very frequently. In order to use CameraFTP.com for your security cameras, you will need to become a paid member. Plans start as low as $2.99 a month. Check out our service pricing here and please order before proceeding.
Enabling Security Camera Features

Before you can configure your security camera to send images up to CameraFTP.com, you need to enable a couple features in your CameraFTP.com account.
Step 1: Logon to CameraFTP.com.com and go to My Storage
Step 2: Click on Option → Folder Options.
Step 3: Check the last option This account will only be used by a security camera. This will do two things. 1) A new Camera Show button will display in the My Storage toolbar area. Clicking on it will open CameraFTP.com's image player that will playback your captured images. 2) As your images are sent up to CameraFTP.com, sets of them will be packaged into a single zip file. They are packaged this way to provide a more efficient and optimized transfer.
Step 4 (recommended): If you plan on setting your cameras to send images to CameraFTP.com very frequently, you may find that your storage space consumed rapidly. To combat this issue, you can either order more storage space or enable the Automatic File Deletion feature. The Automatic File Deletion feature will delete files older than the specified time you choose. The time is based on when the file was uploaded or last changed, whichever is most recent. Be careful however - all files in your account are subject to this setting, not just the ones sent by security cameras.
Configuring your Security Camera

The configuration interface for your camera will differ slightly from our example below, but the basic inputs are the same for every camera. We recommend following the instructions included with your camera and using our instructions below as guidelines.
· In your camera setup page, find the section for FTP setup. The camera will require information about your FTP server including:
o Host name: connect to CameraFTP.com's special FTP server cameraftp.drivehq.com. Some cameras may only accept an IP address; if so, plug in 66.220.9.45. The port number is always 21.
o Your username and password are the same ones you use to logon to DriveHQ.
o The folder directory should be the name of the folder you want the images uploaded into. For example, if you have a folder inside My Storage called "Front Door", then you should type "Front Door" in this field. You may have to type in a forward slash "/" first, i.e. "/front door" (follow the instructions included with your camera).
If the folder doesn't already exist in your DriveHQ account at the time of this configuration, it will be automatically created by the camera before the first image is uploaded.
o Connection frequency – you must ensure that the camera connects to the FTP server no more than once every five seconds. Going over this frequency may be considered as abuse of the service; if you require higher connection frequency, please contact DriveHQ's sales team first.



Setup1.png


Natumaini nimeeleweka.

Benki na ofisi/kampuni nyingine zinazohitaji usalama wa hali ya juu, daima hutumia camera hizi zinayorusha picha zake kwenye server moja kwa moja .

Hiyo niliyoweka ni kampuni moja tu, lakini ziko nyingi na server za aina mbali mbali.

Soma zaidi

CameraFTP.com - Offsite storage for security camera, web camera, IP camera and FTP surveillance camera
 
Ni kwamba kadri security wanavyoongeza mbinu za kuwabana wahalifu, ndivyo na wahalifu wanakuwa wabunifu katika kugundua namna ya kushindana na mbinu za security.

Kwa hatua hii mbinu mpya ya security katika kutumia camera ni kuweka off site storage na surveillance.
 
Hizi tayari zinatumika kwa security Tanzania. Hasa kwa mabenki.



EyeView24 is the easy, smarter way to manage your security cameras. It is web-based, meaning that viewing, recording, playback and alert management is all done via the web. Your video footage is safely stored offsite and you need no recording software or video recorder. All you need is an IP Camera, an Internet connection and an EyeView24 account.

diagram.jpg



Key Features

  • Fully web-based, fully cross-browser
  • Remote recording
  • Offsite storage on secure servers
  • Instant email alert system
  • Mobile access with iPhone and iPad

Key Benefits

  • Access from anywhere, anytime
  • No recording device needed
  • Footage cannot be tampered with
  • Take instant action on security breaches
  • Stay in control, always and on the go


Live Viewing

View your cameras in real time from any computer or device connected to the Internet. You can control pan-tilt-zoom cameras and also turn off/on any integrated light LEDs.
EyeView24 supports unlimited cameras in a single account and allows you to view 16 cameras on one screen. Full screen viewing is available to make monitoring easy. Note that cameras can be in different geographical locations whilst viewable through a single interface, ideal for businesses with multiple locations.

Offsite Recording

With EyeView24, your camera's video footage is recorded remotely, so there is no need for any recording to take place on site.
Your video footage is stored on EyeView24′s secure servers, which are managed by us. Though, for data protection, we have no access to your video recordings!
Recording is triggered by motion detection built into the cameras. On detection, video images of the event are sent via the Internet to the EyeView24 servers, where they will be stored. Recorded event footage is accessible to you via your online EyeView24 account. Its simple.

Email Alerts

Not only does motion detection start the video recording, it will simultaneously alert you of the detected event via e-mail (and/or text messages via your phone provider is you so wish). This alert function can be switched on or off.
E-mails sent contain an image of the event so you can instantly assess whether there is an emergency. At this point, you also can simply login to your EyeView24 account and see the event happening in real time, whilst recordings are automatically taken at the same time.

Mobile Access

You can access EyeView24 using mobile devices with Internet connectivity, such as the iPhone and iPad. Live as well as recorded video can be viewed this way, so you can keep an eye on things on the go from wherever you are. It is great for peace of mind.
 
Kuhusu camera za security, majambazi hao hawaelewi vizuri jinsi zinavyofanya kazi.

Camera zinatuma picha zake moja kwa moja kwenye server na hata kama ukiharibu camera, bado wanaweza kupata picha zilizorekodiwa kabla ya kuharibu mitambo. Picha zote zinakuwa uploaded kwenye DriveHQ FTP server palepale zinapochukuliwa na zinabaki.

"Even if an intruder destroys a security camera, he cannot destroy the recorded data, which can be immensely helpful for tracking down the intruder."

Sure mkuu maana jana nasikia jambazi moja lilikuwa busy kuharibu kamera kumbe hajui ndivyo alivyokuwa anajitangaza biashara vizuri. But hili ni dili au vipi? Mbona polisi wamechukua low profile sana? Au wanatafukuru CDM na mauaji ya innocent civillians!!! Damu hizo zitawamaliza na vizazi vyao.
 
Polisi wetu hawana uwezo wa kupambana na watu wenye silaha, wao waambie watu walioshika kamera, magazeti etc.

Na jaribu kujiuliza kila mara polisi wetu wanahangaika na CDM kwa sababu wanajua hakuna mwenye silaha kati yao.

Sana sana utaona Kova anatangaza kwenye TV kwamba wamekamata silaha (baada ya kutonywa na wananchi) ila sio kupamabana na majambazi yenye silaha.
 
Wacha waibiwe tu hzo pesa! Kwani watazkwa nazo? Me nashangaa sana this time pesa inathaminiwa kulko hata bnadamu
Tumechoka bhana!
 
Hao ndio Polisi wetu wanawaua watu kwenye mikutano ya siasa lakini ni makini kwa dili za majambazi.Mwema, Kova na waziri wenu mmeshindwa kazi ondokeni.JK unahujumiwa bila kujua wewe unang'ang'ania CCM ibaki madarakani shauri yako, au labda ukistaafu utaendaishi Marekani.Kwani unakaa kimya nchi inachezewa hivi?Sisi hatuchoki kukushauri akili zako zichanganye na mbwaiwayu.
 
Back
Top Bottom