ujambazi CBA Nyerere Rd: Picha kamili

Dah!jamaa walijipanga na hii movie lazima inamkono wa wafanyakazi haiwezekani wajue nani anamiliki funguo ya strong room na kwenye atm,this is a set up,na polisi ccm walikua wapi?ingekua maandamano ya chadema walishakwenda na mavitambaa yao mekundu
 
Taarifa zilitolewa mapema sasa inakuwaje wafike baada ya tukio? hili ndo swala wanalolipigia kelele CDM kila siku Polisi mshahara wao mdogo ndo inasababisha wajiingize kwenye uharifu kama huu haiingii akilini kusiwe hata na mnyukano kati ya hao majambawazi na polisi ilo ni dili na ndo maana mapolisi mshahara mdogo maisha wanayoishi ya kifahari wanatoa wapi fedha kama sio hizo za ujambawazi na zile wanazopewa na CCM kwa kuidhibiti CDM.
 
Aiseee babaangu jeshi la policcm wanajisahau sana ndio maana majambazi wana wana2mia mwanya huo kufanya uwalifu,,

ngoja nikapate mbege

Jeshi lipo active kwenye kuzuia maandamano na mikutano hata hivyo jamaa walikuwa strategic kwa kuzuia mianya ya kufanya mawasiliano
 
Hii lazima itainvolve mlolongo wa watu..kuanzia bank mpaka polisi.

Ni kweli mkuu maana inaonekana polisi walisafisha njia ili jamaa waibe kisha waondoke kirahisi. Trafiki aliyekuwa zamu ya kuongoza magari TAZARA saa hizo atakuwa anafahamu vizuri mchoro mzima maana inaonekana magari kutokea TAZARA yalizuiliwa kuja mjini kana kwamba kuna msafara wa rais unapita ili kutoleta usumbufu kwa hawa majambazi wakati wa kuondoka.
 
Kaaz kwelikweli! Mabomu ni ya kuua Raia na CDM sio wezi na majambaz....

Hebu tumia akili ilozokua nazo, we umekalia kisiasa tu, basi utakuwa wewe kamanda wa mapolisi, majanbazi yakiingia utapiga mabomu yako ndani ya benki, sasa sijui kama utaitwa Akilimali au Akikitope
 
Dah!jamaa walijipanga na hii movie lazima inamkono wa wafanyakazi haiwezekani wajue nani anamiliki funguo ya strong room na kwenye atm,this is a set up,na polisi ccm walikua wapi?ingekua maandamano ya chadema walishakwenda na mavitambaa yao mekundu

hayana akili haya maroboti ya ccm,yanajua kupiga raia tu ambao hawajajiandaa kwa vita,hawawezi kufanya chochote kwa intelligent people kama hawa majambazi
 
Taarifa zilitolewa mapema sasa inakuwaje wafike baada ya tukio? hili ndo swala wanalolipigia kelele CDM kila siku Polisi mshahara wao mdogo ndo inasababisha wajiingize kwenye uharifu kama huu haiingii akilini kusiwe hata na mnyukano kati ya hao majambawazi na polisi ilo ni dili na ndo maana mapolisi mshahara mdogo maisha wanayoishi ya kifahari wanatoa wapi fedha kama sio hizo za ujambawazi na zile wanazopewa na CCM kwa kuidhibiti CDM.

kwenye maandamano ya CDM yanafika mapeeeeema haya mapunga
 
Mchoro umetulia! Kama naona vile gari zinavyo split maeneo ya kamata! Jamaa walipanga game fresh sana. Nawapongeza!

Get rich or die trying! Curtis - 50 cent!
 
Kazi kweli kweli polisi waonyeshe intelijensia yao sasa si kuleta watu fake kusema hawa ndio walioiba pesa hapo CBA kama walivyo fake mtu kwa Ulimboka!
 
Huu ni mpango ambao umefanywa hasa msongamano wa magari kutokuwepo(hii nchi wameiozesha
 
Trafiki watakuwa walisafisha njia (barabara) ili jamaa wapite, inawezekana vipi Nyerere ikawa empty saa 2:45 asubuhi halafu wanaelekea mjini!
Hiyo kuelekea mjini ni zuga tuu ili kuwatia maboya polisi ionekane wameingia town hivyo iwe ngumu kuwasaka, wakati polisi wakiwa buzy town, hizo gari tatu kila moja ilikula direction yake na hakuna RV popote!.

Kwa wenzetu chopper za polisi hizi ndizo kazi zake, huku kwetu, ni usafiri tuu wa IGP na mara moja moja ampe lift Waziri!. Kama chopper ingeruka pale pale iliporipotiwa, chances zipo wangeitrace hata gari moja tuu na kuwashika wote!.

Ila pia lazima tukubali, jamaa wako smart!,

Its worth "Get Rich or Die Trying"!.
It seems, jamaa wamefanikiwa, kufanikiwa ni jambo moja na kumaitain kufanikiwa huko ni jambo jingine!.
Soon mtasikia wamebambwa kutokana na change ya lifestyle overningt!.
 
FACTS:
  • At around 06:00hrs, the day security guard (Mwita Kembaki) reported on duty.

  • At 06:40hrs, the CBA Branch Manager reports on duty and gains access to the offices
  • At 06:45hrs three cleaners, with a fourth person who is unknown to the guard arrives at the main door. All of them allowed in as the fourth person has a CBA I/D card.
  • 06:46hrs the three cleaners and the CBA branch Manager Miss. Victoria are overpowered and locked into a toilet by the fourth person who had gained entry with the cleaners.
  • Immediately five other intruders walk in the banking hall. They are also armed with three pistols and possible an AK 47 riffle. All personal items e.g. call phones, remote panic button are handed over to the intruders.

  • Between 06:47 and 08:00, a Security guard is forced to stand at the main entrance together with one of the intruders to open for bank employees. Any bank employee who walks in is ushered into the toilet.
  • At 08:02hrs the gang opens the strong room with the assistance of the bank manager and Mr. Baraka and open the safe. The gang packs the money into the bags which they had come with. The gang walks into an ATM and take some more money cassettes.
  • It is estimated that TZ shs.500,000,000/= (five hundred million) was robbed from the bank.
  • 08:10hrs the gang leaves the bank with money stashed in the three bags and drive off in a black land cruiser.
  • 08:19hrs police are informed and arrive at the scene
 
Kuna kampuni flani ya ulinzi nisingependa kuitaja jina lake kwani siko kibiashara zaidi, wao wana remote kwa wateja wao wote kiasi kwamba ikitokea mmevamiwa basi mnabonyeza tu ile remote wao kwenye system yao inaonyesha wapi msaada unahitajika, wanakuja haraka, sasa vipi kwa hizi Bank zetu kwanini nao wasiwe na system ya namna hiyo direct had Polisi kanda Maalum?
Au wana namna gani ya kutoa taarifa Polisi ili kupata msaada pale wanapovamiwa tofauti na kutegemea Simu?
 
WATU wanaodhaniwa
kuwa ni majambazi
wamevamia na kutumia
mbinu za uhalifu wa
hali ya juu na kupora
magunia ya fedha
kutoka Benki ya
Biashara ya Afrika
(CBA), iliyopo barabara
ya Nyerere, jijini Dar es
Salaam.
Tukio hilo linaloweza
kufananishwa na filamu
za kimafia, lilitokea
jana kati ya saa 2.30 na
saa 2.45 asubuhi.
Waliondoka na magunia
hayo wakiwa
wameyapakia kwenye
magari yao ya kifahari,
bila kuua wala kujeruhi
mtu.
Kamanda wa Polisi
Kanda Maalum ya Dar
es Salaam, Suleiman
Kova alithibitisha tukio
hilo na kusema fedha
walizoiba zinakadiriwa
kuwa zaidi ya Sh400
milioni.
“Hatufahamu kiasi
kamili lakini,
tulivyowahoji maofisa
wa benki wanasema ni
zaidi ya Sh400 milioni
ambazo zimeibiwa,”
alisema Kova.
Alifafanua kwamba
tayari meneja wa benki,
msaidizi wake na mlinzi
aliyekuwa zamu
wanashikiliwa na polisi
kwa ajili ya mahojiano.
Mashuhuda
Baadhi ya mashuhuda
wa tukio hilo walisema
watuhumiwa hao wa
ujambazi, waliingia
kwenye benki hiyo,
huku wakiwa wamevalia
vitambusho vya benki
kujifafanisha na
wafanyakazi wa benki
hiyo, mbinu ambayo
iliwahadaa watu
waliokuwa kwenye eneo
hilo wasishtuke kwa
lolote.
Vitambulisho hivyo
viliwafanya walinzi wa
benki hiyo kutokuwa na
wasiwasi na
watuhumiwa hao,
jambo lilitoa fursa kwao
kutekeleza uhalifu
katika mazingira ya
urahisi zaidi.
Baada ya kuingia ndani
ya benki, majambazi
hao wakiwa na bastola
yaliwaweka chini ya
ulinzi walinzi wa benki
hiyo .
Wakati hayo yakitokea
mmoja wa majambazi
hao aliamuru
wafanyakazi wa benki
hiyo kuendelea
kuwakaribisha wateja
wao na kila aliyekuwa
akiingia aliwekwa chini
ya ulinzi.
Mtuhumiwa mwingine
wa ujambazi akiwa na
bastola, alimfuata
mtunza funguo wa
chumba maalum cha
kuhifadhia fedha na
chumba cha Mashine za
Kutolea Fedha (ATM) na
kumwambia, atoe
funguo.
“Tena jambazi huyo
alimtaja kwa jina
mtunza funguo huku
akisema naomba
funguo za strong room
tumekuja kuchukua
fedha zetu,” alisema
mmoja wa mashuhuda
akimkariri jambazi huyo
na kusema alipewa
funguo bila kizuizi.
Baadaye majambazi hao
walifanikiwa kufungua
kwenye vyumba hivyo
na kuchukua fedha zote
na, kuzihifadhi kwenye
magunia manne.
Wakati shughuli hiyo
ikiendelea majambazi
wengine waliharibu
mitambo ya kamera
zinazoonyesha watu
wanaoingia na kutoka
kwenye benki hiyo.
“Tunajua mnaturekodi
kwenye kamera zenu na
sisi tunaifahamu vizuri
teknolojia hii, ndiyo
maana tunalazimika
kuharibu mtandao
mzima,” mmoja wa
jambazi alikaririwa
akisema huku akifungua
mtambo wa kamera.
Baada ya kumaliza
kuharibu mitambo ya
kamera, waliondoka na
maguni ya fedha na
kwenda walikoegesha
magari yao ya kifahari
na kupakia.
Walioshuhudia
walisema, majambazi
hao walikuwa
wakitumia magari
matatu ya aina ya
Toyota Land Cruiser,
Nissan Patrol na Toyota
Noah na kwamba,
wakati wakitekeleza
ujambazi huo madereva
wote walikuwa
wamebaki kwenye
magari hayo yaliyokuwa
yameegeshwa karibu na
benki hiyo.
Baada ya magari hayo
kupakia magunia hayo,
madereva hao
waliyaondoa magari
hayo kwa kasi kuelekea
eneo la katikati ya jiji.
Wameendelea kusema
kwamba wakati
majambazi hayo
yanaondoka katika
eneo hilo mnamo saa
2.45 asubuhi, hakukuwa
na msongamano wa
magari katika barabara
ya Nyerere kama
kawaida.
“Unafahamu muda huu
eneo hili huwa na
msongamano wa magari
lakini, tunashangaa
wakati tukio hili
linatokea hakukuwa na
magari hadi tukadhani
labda kuna msafara wa
viongozi,” alisema
mmoja wa mashuhuda.
Baada ya tukio hilo
kumalizika maofisa wa
Jeshi la Polisi walifika
katika benki hiyo
iliyopo kwenye jengo la
Jamana wakiongozwa
na Kamanda wa Kanda
Maalum ya Mkoa wa
Dar es Salaam,
Suleiman Kova.

Hii ishu imepangwa m2 wang na vibopa wa dsm inavyoonekana haiwezekani kabisa.
 
FACTS:
  • At around 06:00hrs, the day security guard (Mwita Kembaki) reported on duty.

  • At 06:40hrs, the CBA Branch Manager reports on duty and gains access to the offices
  • At 06:45hrs three cleaners, with a fourth person who is unknown to the guard arrives at the main door. All of them allowed in as the fourth person has a CBA I/D card.
  • 06:46hrs the three cleaners and the CBA branch Manager Miss. Victoria are overpowered and locked into a toilet by the fourth person who had gained entry with the cleaners.
  • Immediately five other intruders walk in the banking hall. They are also armed with three pistols and possible an AK 47 riffle. All personal items e.g. call phones, remote panic button are handed over to the intruders.

  • Between 06:47 and 08:00, a Security guard is forced to stand at the main entrance together with one of the intruders to open for bank employees. Any bank employee who walks in is ushered into the toilet.
  • At 08:02hrs the gang opens the strong room with the assistance of the bank manager and Mr. Baraka and open the safe. The gang packs the money into the bags which they had come with. The gang walks into an ATM and take some more money cassettes.
  • It is estimated that TZ shs.500,000,000/= (five hundred million) was robbed from the bank.
  • 08:10hrs the gang leaves the bank with money stashed in the three bags and drive off in a black land cruiser.
  • 08:19hrs police are informed and arrive at the scene

Kama ni hivi wanakamatika mapema. Vinginevyo ni mchongo. Turudi kwa Mwangos!
 
Back
Top Bottom