ujambazi CBA Nyerere Rd: Picha kamili

Kama kawaida yao, wameshirikiana na askari wetu wanaokula kodi zetu. Na muda si mrefu watakamata watu wa uongo waje kutudanganya watanzania kama siku zote wanavyofanyaga. Mambo kama hayo huwa yanasukwa muda mrefu sana, usikute hata wenye bank wanahusika. Kifupi yani ungebahatika kujua mchezo unavyochezwa na waliohusika, ungecheka mpaka mbavu ziume, maana inakuwaga ni michezo ya kuigiza kwa ajili ya lengo fulani. Mengine yote yatakayofuata ni taratibu za kawaida kama vile wanafanya kazi kufuatilia.
 
Hebu tumia akili ilozokua nazo, we umekalia kisiasa tu, basi utakuwa wewe kamanda wa mapolisi, majanbazi yakiingia utapiga mabomu yako ndani ya benki, sasa sijui kama utaitwa Akilimali au Akikitope

kama walipiga ndani ya kaofisi kadogo ka kata walishindwaje kupiga ndani ya benk,hongera majambazi
 
Tupendekeze tuanze kulindwa na majambazi,ni very strategic kuliko hao policcm.hongera majambazi kazi nzuri.
 
Back
Top Bottom