Uislamu unafeli wapi? Imani moja ila msimamo haupo! Iddi lini?

squirtinator

JF-Expert Member
Sep 20, 2015
2,765
4,174
Habari zenu!
Na wale waliofunga na kumaliza na wanaokaribia kumaliza nao napenda niwape hongera kwa hilo!

Ishu yangu ni ndogo, inakuwaje dini "kubwa" duniani ila ina misimamo tofauti tofauti? mimi nimejikita ktk suala hili la iddi. Hii sio mara ya kwanza kutokea mkanganyiko!

Hapa tanzania, waislamu wengine wanadai sherehe yao ni leo na wengine wakidai ni kesho na hata wengine wakidai labda keshokutwa. Ni kwamba hapa Tz dini hii imekosa viongozi wenye msimamo au ndio ilivyo?

Kuna waislamu wako Uarabuni leo, kesho wakija bongo wanakula iddi mara mbili. Sina uhakika na Kenya na Uganda iddi ni lini ingawa nimeona mabandiko mitandaoni yakionesha kuwa iddi kwa ni leo, JE NI WAPI HASA UISLAMU UNAKOSEA? UPANDE WA PILI VITU KAMA HIVI HUWA FIXED, MNAJUA HATA MIAKA 10 MBELE!
 
Sio uislam hio ni shida ya dini nyingi duniani,tena Bora uislam kwenye IDD tu,Kuna dini wanatumia kitabu kimoja lakini kuna kundi wanaruhusu kunywa pombe, lingine wanakataza kula nguruwe,lingine viongozi wao hawaoi(maajabu hayo).......
Kitimoto waislam washika dini wanakula
Pombe waanzilisha wa ukristo yaani Roman wanakunywa pombe

Mimi huwa nashangaa mamluki wa juzi ndio wanajifanya waislam

Kuna uislam kama nchi za kiarabu, na ndio wafiraji na wala kitimoto, Wewe mtanzania dini unasimuliwa

Kuna ukristo kama Vatican lakini Wao ndio wabakaji na walawiti na dini wanaijua

Ahaaa tufanye kazi, Imani ina wenyewe
 
Aiseeeeeee,akirudi niambie
 
Sio uislam hio ni shida ya dini nyingi duniani,tena Bora uislam kwenye IDD tu,Kuna dini wanatumia kitabu kimoja lakini kuna kundi wanaruhusu kunywa pombe, lingine wanakataza kula nguruwe,lingine viongozi wao hawaoi(maajabu hayo).......

Kila ninaposoma vitabu vyenu huwa nakumbushwa UKWELI huu: mtu hawezi kusoma Qur'an na akabaki Muislamu unless mtu huyo ni sampuli ya Dr. Zakir Naik. Hebu soma hapa halafu uniambie kama kuna logic yeyote hapa:

Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) having said:
By Him in Whose Hand is my life, if you were not to commit sin, Allah would sweep you out of existence and He would replace (you by) those people who would commit sin and seek forgiveness from Allah, and He would have pardoned them.
(Reference: Sahih Muslim 2749).

Muhammad anasema usipofanya dhambi Allah anakuua ili aumbe watu watakaokuwa tayari kufanya dhambi ili waungame dhambi zao ili Allah awasemehe!! Really? Bado kuna watu wanaamini MUNGU kweli anaweza akaagiza mtu afanye dhambi?

🤣🤣🤣🤣
 
SAHIH MUSLM 2749 ni reference ya kuruani hiyo?
 
Kitimoto waislam washika dini wanakula
Pombe waanzilisha wa ukristo yaani Roman wanakunywa pombe

Mimi huwa nashangaa mamluki wa juzi ndio wanajifanya waislam

Kuna uislam kama nchi za kiarabu, na ndio wafiraji na wala kitimoto, Wewe mtanzania dini unasimuliwa

Kuna ukristo kama Vatican lakini Wao ndio wabakaji na walawiti na dini wanaijua

Ahaaa tufanye kazi, Imani ina wenyewe

Gussie; kuwepo na padre mbakaji hakufanyi Ukristo uwe ni dini ya ubakaji. Ukristo (kama ulivyo Uislamu) haupimwi kwa matendo ya mtu binafsi bali maandiko yake yanaagiza nini.
Kwa mfano, usishangae kusikia wafanyakazi wa ndani wanawake wanabakwa huko Uarabuni maana Uislamu umehalalisha mwanaume kuwalala walio chini ya milki yake. Akifanya hivyo mtu anaejiita Mkristo basi atakuwa ameasi Ukristo.
 
Back
Top Bottom