Kila mwanzo wa mwaka mtandao wa video za ngono wa pornhub huachia data za nchi zilizoangalia ngono na aina ya video za ngono zilizotafutwa na kutizamwa..mwaka huu pornhub wameachia taarifa za mtandao wao kuanzia january-December 2017,wameachia nchi zinazoongoza kuangalia video za ngono .
Katika taarifa hizo nchi 20 zenye "nyege'' ziliorozeshwa huku uingereza ikishika nafasi ya 2 nyuma ya swahiba wake marekani huku video zilizotafutwa kwa wingi ni kuhusiana na
-lesbian " usagaji"
-Hental
-Milf..
Data hizi imeiamsha serikali ya uingereza na saizi serikali ya uingereza inatafuta njia kudhibiti video za ngono nchini kwao ,kwa miaka 2 mfululizo UK inashika nafasi ya pili hata mwaka 2016 walishika nafasi ya 2.
Serikali ya uingereza inasema wahanga wakubwa ni vijana wadogo kuanzia miaka 10-17 wameathiriwa sana na filamu hizi hivyo kuathiri saikolojia yao na masomo yao ...
Tayari uingereza wameshaweka sheria mpya ambayo itaanza kutumika baada ya mwaka 2018,website zote za kikubwa zitafungwa na utaruhusiwa kutizama na kufungua mpaka usaini taarifa za miaka na utatakiwa kuthibitisha miaka yako kwa kuwasilisha nyaraka zako kama leseni nk.lengo kubwa ni kuwazuia watoto wasitizame ngono na masuala mengine ya kikubwa
Tayari sheria hio imekosolewa huku mcheza filamu za ngono maarufu Erika akisema sheria hio ni "panic law" Etica amesema sheria hio haitofanya kazi kwasababu vijana hao watatizama tu ngono ,watu wadogo wana akili sana wanajaribu kufahamu kuhusu ngono watatafuta njia zao tu mpaka watizame.Mcheza filamu huyo ameendelea kusema badala ya kutumia pesa za walipa kodi kuzuia kitu kinachopendwa na watu wanapaswa pesa hizo kuzipeleka kujenga taasisi ya kuelemisha vijana wadogo kuhusu ngono kwa njia ya ukweli,.hata mkifungia hao vijana wanakua ,wanapata hisia zao za kingono na njia wanayoona ni kutizama ngono kujirizisha..ameshauri wazazi na walimu wawaelimishe watoto na sio kuwaonea aibu .