Uingereza yatunga sheria kufunga website za ngono zote

Uingereza yatunga sheria kufunga website za ngono zote

Mimi naona basata na wizara iache unafiki wa kudeal na instagram na diamond bali iende kwenye website zenyewe izifungie kabisa...
Maana huwezi mfungia gigy money wakati kwenye net mambo yako wazi wazi..

Bongo wazifungie tu
tatizo mikataba mikataba baba washasaini ndo maana wanaongea sana akina mondi wakijifotoa lakini mavideo ya mtoni wanayaacha mikataba ...
 
Back
Top Bottom