Uimara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Uimara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Ushauri wangu wa bure kwa zzk atubu mbele ya watanzania kujihusisha na usaliti wa kutisha namna hii
 
Mkuu hapo umenena,huwezi kulinganisha uhodari wa zzk na Mbowe au Slaa.hao watu ni mhimu sana katika taifa hili.Vyama vingapi havina hata diwani.kushawishi watu siyo mchezo
 
Hi ni kwao wote wenye tamaa ya kufa kwa hiki chama,

Sisi kama wafuatiliaji wa mambo yatokeayo kwa umakini na uweledi wa hali ya juu, tuna imani kuu na viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo katika wafanyayo, najua kama wewe ni kati ya watu wanaotamani chama hiki kife unatambua wazi kwamba safu ya uongozi kwenye hiki chama ni imara hakuna, kimoyo moyo unakubali na najua hata unatamani kingekamata nchi.

Ni watu wanaofanya mambo kwa umakini na uweledi uliotukuka katika kila nyanja ya kiuongozi wa kisiasa.

Histry tells a lot on the strength ya viongozi hawa na haina haja ya kuanza kuelezea hapa. Sio tu safu ya juu ya uongozi, hata wanachama wake "kwa asilimia kubwa" ni watu makini, wasioyumbishwa na wanaofanya maamuzi baada ya upembuzi yakinifu wa mambo, pole yao wanaohisi kuna kufa kwa hiki chama hata siku moja.

Lengo si kukiangusha "the green" but kuwa na ukombozi wa 2 wa mtanzania na ukombozi huo unaanza na kukiangusha hiki kilichopo sasa madarakani.

Ushauri
Kama watanzania, tuyafanye maisha yetu yawe na tendency ya kufanya maamuzi baada ya kuwaza kiundani kidogo, na si kukurupuka,kurubuniwa au kudanganywa. Kama ni msomi, usiidharau elimu yako kwa kutetea issues zibomoazo nchi, kuwa na msimamo katika kuchambua national events na kuwa stable katika kuconclude, kamwe usiupambe uongo ama kuufukia ukweli, kwa njia hiyo unaikalia elimu yako na utashi ulio nao unless hauithamini.

Nalink uimara wa kisomo, si kisomo tu, na utashi ulio nao na uimara wa viongozi wa chadema kwani wafanyayo ni wazi yanatakiwa kuwa supported, na mtu yoyote afanyaye visivyo waziwazi kama yatokeayo sasa achukuliwe hatua stahiki bila kujali uimara wake katika chama na nchi kwa ujumla. Thats the spirit ya mtu yoyote mwenye msimamo. Mke hawezi kukucheat kwenye ndoa mara kadhaa, ukapata tetesi, ukaconfirm then ukamvumilia tuuuuuuuu, unafuga chatu atakayekumeza any time.

Chadema songa mbele, tuchambuao mambo kwa umakini na uimara tuko nyuma yenu na tunajua mnatambua hilo na ndo maana mnatoa maamuzi yanayoweza kuonekana sio lakini mnajua watu wapo nyuma yenu na ni watu makini.

Peoples' power - Nguvu ya uma daima

wewe mchaga?? huo ndio ukweli sema lingine
 
sawa mkuu kumekucha virusi vimetolewa.nadhani zzk ameisha,ilawanaweza kumdai hela zao akina mwigulu
 
Tatizo niwale walio kuwa wana lipwa na zzk,watachacha sana na zzk alikuwa mjanja alikuwa ana walipa kidogokidogo.sasa hivi deal lime haribika hawezi kuwalipa,ndiyo kufulia kunakuja mkuu
 
Hi ni kwao wote wenye tamaa ya kufa kwa hiki chama,

Sisi kama wafuatiliaji wa mambo yatokeayo kwa umakini na uweledi wa hali ya juu, tuna imani kuu na viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo katika wafanyayo, najua kama wewe ni kati ya watu wanaotamani chama hiki kife unatambua wazi kwamba safu ya uongozi kwenye hiki chama ni imara hakuna, kimoyo moyo unakubali na najua hata unatamani kingekamata nchi.

Ni watu wanaofanya mambo kwa umakini na uweledi uliotukuka katika kila nyanja ya kiuongozi wa kisiasa.

Histry tells a lot on the strength ya viongozi hawa na haina haja ya kuanza kuelezea hapa. Sio tu safu ya juu ya uongozi, hata wanachama wake "kwa asilimia kubwa" ni watu makini, wasioyumbishwa na wanaofanya maamuzi baada ya upembuzi yakinifu wa mambo, pole yao wanaohisi kuna kufa kwa hiki chama hata siku moja.

Lengo si kukiangusha "the green" but kuwa na ukombozi wa 2 wa mtanzania na ukombozi huo unaanza na kukiangusha hiki kilichopo sasa madarakani.

Ushauri
Kama watanzania, tuyafanye maisha yetu yawe na tendency ya kufanya maamuzi baada ya kuwaza kiundani kidogo, na si kukurupuka,kurubuniwa au kudanganywa. Kama ni msomi, usiidharau elimu yako kwa kutetea issues zibomoazo nchi, kuwa na msimamo katika kuchambua national events na kuwa stable katika kuconclude, kamwe usiupambe uongo ama kuufukia ukweli, kwa njia hiyo unaikalia elimu yako na utashi ulio nao unless hauithamini.

Nalink uimara wa kisomo, si kisomo tu, na utashi ulio nao na uimara wa viongozi wa chadema kwani wafanyayo ni wazi yanatakiwa kuwa supported, na mtu yoyote afanyaye visivyo waziwazi kama yatokeayo sasa achukuliwe hatua stahiki bila kujali uimara wake katika chama na nchi kwa ujumla. Thats the spirit ya mtu yoyote mwenye msimamo. Mke hawezi kukucheat kwenye ndoa mara kadhaa, ukapata tetesi, ukaconfirm then ukamvumilia tuuuuuuuu, unafuga chatu atakayekumeza any time.

Chadema songa mbele, tuchambuao mambo kwa umakini na uimara tuko nyuma yenu na tunajua mnatambua hilo na ndo maana mnatoa maamuzi yanayoweza kuonekana sio lakini mnajua watu wapo nyuma yenu na ni watu makini.

Peoples' power - Nguvu ya uma daima
Mkuu watoke hawa na wamchukue na zzk na vibarua wake wote
 
Mimi nionavyo mipasuko ni sehemu ya maisha, ukiwa mtu wa kukimbia mipasuko mahala pako ni kaburini tu maanake wapi utaikosa nenda serkalini utaikuta mipasuko, nenda ccm utaikuta tena ya cdm ni chamtoto kama vile Magamba yaliyoshindikana na mengine mengi ambayo si vyema kuyasema, kwa maoni yangu you better go kwani watu kama ww hukimbia hata family zao ukitokea mpasuko (Poeeeeee!)
 
wewe mchaga?? huo ndio ukweli sema lingine

Mimi mchaga pure mzee............lakini nikueleze kweli hakuna dhana ya ukabila hapa, tunashukuru watu kama wewe wanaoeneza dhana hii na ya udini na ukanda to the extent zimekosa mashiko sasa, mtu akizisikia hashituki kabisa, na uimara wa chadema tena hakuna kiongozi utakayemsikia kasimama anaongelea kupinga vitu hivi, hawana muda, wao ni kuongelea maslahi ya chama, ila kumbuka aliyoongea huyo kwenye link hapo chini kule arumeru!!! hii hapa naattach tukumbushane mkuu, na uniambie kama jamaa alikuwa na lengo la kuleta ukombozi kwa watu wa Arumeru

Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru - YouTube

Ahsante, na please fikiri kiundani na uachane na hizi dhana za udini, ukabila na ukanda, coz kiukweli hazijengi na zinaonyesha ni namna gani unahusika katika kuiangusha nchi.
 
Wanamtandao zitto na kitilia hawana nafasi cdm
yaani kwa hili chadema wamecheza kama messi , hakuna ajizi hawa watu walisukwa wakimalize chama wamewawahi vizuri ,futa delete kabisa . sisi chadema tunasema MAWE YATAIVA NA KUNI ZITABAKI , wakujiua wajiue
 
Sasa Huyo pimbi wenu Zitto anaweza kukiongoza chama hiki? Unajua watu wafupi wanajifanya wanajua sana. Tumeigundua hila ya ccm ya kutugombanisha na fedha anazohongwa na ccm kupitia TISS kwa account ya TSA. Mbowe ni kijana angekuwa mzee madai yenu yangekuwa na nguvu. Pimbi nyie.
 
Ndo maana unaona wewe binafsi hakuna anguko,lakini wenye upeo mpana wameshaona tatizo la chadema.
Kama chama kinazidi kuimarika,kuna wanachama wangapi wameingia nakutoka baada ya ZZK kuvuliwa madara?

Hakuna wanachama waliotoka. ila wametoka wasaliti tu na wafuasi wao ,nasi tunataka tuone wasaliti wanaisha ndani ya chadema na tubaki na watu waminifu na makini zaidi. Ni afadhali tubaki waadilifu watano kuliko wasaliti milioni. Dr na Mbowe na kamati kwa ujumla timua masalia yote na hakuna kutangaza demokrasia tena ndani ya chama kwani inatumika vibaya na mamluki ya ccm ili kuua chama cha watanzania.
 
Pesa ya TISS imeanza kufanya kazi, zitafunguliwa ID hapa hata elfu kumi
Join Date : 29th November 2013
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received 0

Likes Given 0

Toa justification sio unaropoka ropoka tu hapa.
 
Back
Top Bottom