Uimara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Uimara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Inashangaza kuona vichwa mbalimbali vya habari vikishabikia sakata la akina Zitto Kabwe kama ndio anguko au mpasuko ndani ya CHADEMA. Binafsi sioni kama kuna mpasuko wala vipande ndani ya CHADEMA ila naona kinazidi kuimarika baada ya kugundua mbinu za usaliti na hujuma ambazo zingefanikiwa zingechangia kukivuruga chama.

Ndugu yangu amakyasa, nakubaliana nawewe kwamba huo Mpasuko unaonekana na hao wa "handisi" wa habari lakini "waandishi" wa habari wanajua kabisa kwamba CHADEMA imewajibisha pandikizi na kimsingi waandishi wa habari ni wachache sana wengi ni "WAHANDISI" wa habari.

Akili zao ndo ziko vipandevipande kwani zimegawanyika upande maslahi binafsi,upande ajira na upande Taaluma hivyo zina shindwa kuona jambo kwa uhalisia wake wanaishia kuona maluweluwe na vipandevipande kutegemeana na akili na utashi wake umeathiriwa vipi na rushwa ,ukabila wake ,udini na ujinga wa kujitakia.

Si unakumbuka hata Mkapa wakati wa kipindi chake alisema Tanzania haina waandishi wa habari anaoweza kuhojiana nao kwani uwezo wao wakuelewa uko chini sana. Lakini na sisitiza kwamba kwa mtazamo wangu simaanishi waandishi wote kwamba wana silika ya namna hii ila wengi sana ni "kanjanja" kiasi ya kwamba wanawafunika waandishi waadilifu.
 
Bravo mkuu!
Bahati mbaya sana kuna wapuuzi wanaokataa kuukubali ukweli kuwa Zito ni MSALITI na hana thamani mbele ya jamii kwa kununuliwa na afanye kazi ya CCM Kuondoka kwake Chadema ni njia ya kuimarisha chama na kulinda misingi ya upinzani wa kweli kwa manufaa ya WaTanzania....Walidhani kuwa angweza kufanya kama alivyofanya Mrema huko nyuma kwa kuibomoa NCCR Mageuzi.. Kasi ya Chadema iko palepale na hao Zito sympathisers waondoke naye tu!

Ni kweli mkuu kama wanaona Zitto ni dili sana si wamchukue rasmi kuliko kujifichaficha naye wakati imeshafahamika wanamtumia kwa njia za panya!
 
Inashangaza kuona vichwa mbalimbali vya habari vikishabikia sakata la akina Zitto Kabwe kama ndio anguko au mpasuko ndani ya CHADEMA. Binafsi sioni kama kuna mpasuko wala vipande ndani ya CHADEMA ila naona kinazidi kuimarika baada ya kugundua mbinu za usaliti na hujuma ambazo zingefanikiwa zingechangia kukivuruga chama.

Ndani ya Katiba ya Chadema toleo la 2006. Katika Kanuni za Uendeshaji Kazi za Chama. Sura ya 10, Ibara ya ix, imeandikwa: "Kiongozi asijihusishe au kushiriki na vikundi vya kuchonganisha au kuzua migogoro ndani ya Uongozi wa Chama au Wanachama wake."

Na katika Katiba hiyo hiyo Sura ya 7 kuhusu kazi za Kamati Kuu, Ibara ya 7, Ibara ndogo t, imeandikwa: "Kufanya uamuzi juu ya mapendekezo ya kufukuza Mwanachama." Na Ibara ndogo v, imeandikwa: "Kumwachisha ujumbe wa Kamati Kuu mjumbe mteule ambaye ataenda kinyume na Katiba, Kanuni na Maadili au kushindwa kukidhi matakwa ya kuteuliwa kwake."
 
Sera duni za CCM sitegemei zana bora na za kisasa za karne hii

Kweli Mkuu , Zana zinazotumika hata Adam na Hawa wakifufuka leo hapa Tanzania hawatashtushwa sana na maendeleo ya Tanzania kwani mambo mengi watayakuta kama walivyo yaacha hasa kwenye Teknolojia,Kilimo,Matibabu sema tu kwenye Dhambi hasa ya Wizi,wivu,Mauwaji Uzinzi na Ufisadi watakuta tuko very advanced kuliko kipindi chao hii yote ni kutokana na sera mbovu za CCM kwa takriban miaka 50 (nusu Karne) ya Uhuru
 
Hi ni kwao wote wenye tamaa ya kufa kwa hiki chama,

Sisi kama wafuatiliaji wa mambo yatokeayo kwa umakini na uweledi wa hali ya juu, tuna imani kuu na viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo katika wafanyayo, najua kama wewe ni kati ya watu wanaotamani chama hiki kife unatambua wazi kwamba safu ya uongozi kwenye hiki chama ni imara hakuna, kimoyo moyo unakubali na najua hata unatamani kingekamata nchi.

Ni watu wanaofanya mambo kwa umakini na uweledi uliotukuka katika kila nyanja ya kiuongozi wa kisiasa.

Histry tells a lot on the strength ya viongozi hawa na haina haja ya kuanza kuelezea hapa. Sio tu safu ya juu ya uongozi, hata wanachama wake "kwa asilimia kubwa" ni watu makini, wasioyumbishwa na wanaofanya maamuzi baada ya upembuzi yakinifu wa mambo, pole yao wanaohisi kuna kufa kwa hiki chama hata siku moja.

Lengo si kukiangusha "the green" but kuwa na ukombozi wa 2 wa mtanzania na ukombozi huo unaanza na kukiangusha hiki kilichopo sasa madarakani.

Ushauri
Kama watanzania, tuyafanye maisha yetu yawe na tendency ya kufanya maamuzi baada ya kuwaza kiundani kidogo, na si kukurupuka,kurubuniwa au kudanganywa. Kama ni msomi, usiidharau elimu yako kwa kutetea issues zibomoazo nchi, kuwa na msimamo katika kuchambua national events na kuwa stable katika kuconclude, kamwe usiupambe uongo ama kuufukia ukweli, kwa njia hiyo unaikalia elimu yako na utashi ulio nao unless hauithamini.

Nalink uimara wa kisomo, si kisomo tu, na utashi ulio nao na uimara wa viongozi wa chadema kwani wafanyayo ni wazi yanatakiwa kuwa supported, na mtu yoyote afanyaye visivyo waziwazi kama yatokeayo sasa achukuliwe hatua stahiki bila kujali uimara wake katika chama na nchi kwa ujumla. Thats the spirit ya mtu yoyote mwenye msimamo. Mke hawezi kukucheat kwenye ndoa mara kadhaa, ukapata tetesi, ukaconfirm then ukamvumilia tuuuuuuuu, unafuga chatu atakayekumeza any time.

Chadema songa mbele, tuchambuao mambo kwa umakini na uimara tuko nyuma yenu na tunajua mnatambua hilo na ndo maana mnatoa maamuzi yanayoweza kuonekana sio lakini mnajua watu wapo nyuma yenu na ni watu makini.

Peoples' power - Nguvu ya uma daima

Ndani ya Katiba ya Chadema toleo la 2006. Katika Kanuni za Uendeshaji Kazi za Chama. Sura ya 10, Ibara ya ix, imeandikwa: "Kiongozi asijihusishe au kushiriki na vikundi vya kuchonganisha au kuzua migogoro ndani ya Uongozi wa Chama au Wanachama wake."

Na katika Katiba hiyo hiyo Sura ya 7 kuhusu kazi za Kamati Kuu, Ibara ya 7, Ibara ndogo t, imeandikwa: "Kufanya uamuzi juu ya mapendekezo ya kufukuza Mwanachama." Na Ibara ndogo v, imeandikwa: "Kumwachisha ujumbe wa Kamati Kuu mjumbe mteule ambaye ataenda kinyume na Katiba, Kanuni na Maadili au kushindwa kukidhi matakwa ya kuteuliwa kwake."
 
Ndugu yangu amakyasa, nakubaliana nawewe kwamba huo Mpasuko unaonekana na hao wa "handisi" wa habari lakini "waandishi" wa habari wanajua kabisa kwamba CHADEMA imewajibisha pandikizi na kimsingi waandishi wa habari ni wachache sana wengi ni "WAHANDISI" wa habari.

Akili zao ndo ziko vipandevipande kwani zimegawanyika upande maslahi binafsi,upande ajira na upande Taaluma hivyo zina shindwa kuona jambo kwa uhalisia wake wanaishia kuona maluweluwe na vipandevipande kutegemeana na akili na utashi wake umeathiriwa vipi na rushwa ,ukabila wake ,udini na ujinga wa kujitakia.

Si unakumbuka hata Mkapa wakati wa kipindi chake alisema Tanzania haina waandishi wa habari anaoweza kuhojiana nao kwani uwezo wao wakuelewa uko chini sana. Lakini na sisitiza kwamba kwa mtazamo wangu simaanishi waandishi wote kwamba wana silika ya namna hii ila wengi sana ni "kanjanja" kiasi ya kwamba wanawafunika waandishi waadilifu.
Uko sahihi mkuu
 
Cdadema ni chama makini na hakitayumbishwa na mapimbi waliozoea kutoa rushwa ili mambo yao yaende kama sera za ma ccm yanavyotaka,angalia ma ccm yanavyolindana majitu yanatoa rushwa ,yanaingiza Tanzania hasara ya mabilion na wanawajua lakini hayachukui hatua,yanalindana.Chadema hakuna huo upuuzi.
 
Kilichofanywa na CHADEMA ni Hatua madhubuti ambayo vyama vingi haviwezi kufanya. KUTEGEMEA CHADEMA ITAKUFA KWA KUMWONDOA ZITTO ni sawa na KUTEGEMEA MAJI YA MTO RUFIJI YAPANDE MLIMA KILIMANJARO. Hii ndo chama ya Wanyonge, sio Relatives company ya CC Wamo. Kikwete family, Sitta Family, Lowassa Family, Ben Family, Kembe Family, Makamba Family, Nape Family, UNAFANANA NA HAO???????
 
Hivyo wewe ----- unashabikia ma ccm wakati kila siku mawazili wako wanakutukana matusi ya nguoni,haya katumie kibatari ----- wewe,ccm inawenyewe utaishia ushabiki tu huku babu yako anakaa nyumba ya nyasi.
 
Nakupa like. Kuna wenginewaliwahi kusema siku 90 (akitanganza baba mwenye nyumba) wanang'oa mafisadi wote lakini mpaka leo tunaelekea mwaka hamna jawabu. Wakaja na majangili kukamatwa lakini mpaka leo kinana bado anatamba mtaani na kujizolea maelfu ya masikini wa fikira kuleta kwenye chama. Mwenye kaya aliwahi kusema anamajina ya wauza unga lakini yuko kimya kuwapeleka mahakamani, hadi imefikia hatua hadi wabunge wake wanatajwa kwenye sakata hilo na bado yupo kimya.

Zitto baada ya kukili kwamba yeye ni binadamu ndo maana alifanya aliyoyafanya alitakiwa kuwaachia watu wasiotawaliwa na ubinadamu iliwafanye kazi kwa misingi ya sheria na uwajibikaji.

Mtu yoyote asiyefumbwa na ujinga angejiunga na chadema maana ni chama pekee sasa kinachoonesha unafiki kwake ni mwiko.

Mungu endelea kukibariki na kuwaweka wazi hawa wasaliti (Yudas)
 
marehemu chadema, rest in peace!!!!!!! tulikupenda lakini wachaga wamekupenda zaidi, to hell
 
Inashangaza kuona vichwa mbalimbali vya habari vikishabikia sakata la akina Zitto Kabwe kama ndio anguko au mpasuko ndani ya CHADEMA. Binafsi sioni kama kuna mpasuko wala vipande ndani ya CHADEMA ila naona kinazidi kuimarika baada ya kugundua mbinu za usaliti na hujuma ambazo zingefanikiwa zingechangia kukivuruga chama.

Ndugu yangu kuna usemi usemao ADUI MUOMBEE NJAA, ndio ccm wanautumia huu kuukuza ili kuwakatisha tamaa wapenzi na wanachama wa cdm, lakini hawatafanikiwa na cdm ndio inazidi kuimalika.hizo ni nyufa alizo sema jk nyerere na tumeziona na tumeziziba na nyumba kuimalika.
 
Bravo mkuu!
Bahati mbaya sana kuna wapuuzi wanaokataa kuukubali ukweli kuwa Zito ni MSALITI na hana thamani mbele ya jamii kwa kununuliwa na afanye kazi ya CCM Kuondoka kwake Chadema ni njia ya kuimarisha chama na kulinda misingi ya upinzani wa kweli kwa manufaa ya WaTanzania....Walidhani kuwa angweza kufanya kama alivyofanya Mrema huko nyuma kwa kuibomoa NCCR Mageuzi.. Kasi ya Chadema iko palepale na hao Zito sympathisers waondoke naye tu!

Ndugu yangu MBATATA . tatizo kubwa ni wengi kuwaamini hawa "Kanjanja" iwapo wao wenyewe hawawezi kujisimamia wala kipigania haki yao wanwezaje kupata uhalali wa kujua na kukosoa hatua za watu wanaokilinda chama chao dhidi ya Mapandikizi.

Kwenye Vyama vyao wenyewe hakuna Umoja wako shaghala baghala kwa hiyo wajirekebishe kwanza ili wao wenyewe wawe mfano...ameuwawa Daudi Mwangosi hatuja uona Msimamo wao wakaanza kusalitiana kwa kuandika habari za Mauaji kinyume cha makubaliano yao .Hatuja kaa sawa Mwingine Kang`olewa Macho badala ya kushtuka na kusimamam kwa pamoja wao wenyewe wakaanza kueneza consipiracy theory za ajabu ajabu.

Fani ya Habari imeingiliwa na Vipandikizi Wasafishe nyumba yao na kuondoa vipandevipande ndani ya nafsi zao ndipo wapate haki ya kupiga kelel kuhusu taasisi zingine.

Vinginevyo hawana moral Authority kabisa na habari zao ni uzushi na ushabiki usiozingatia maslahi mapana ya Taifa
 
kamwe chadema akiwez anguka sababu ya wachumia tumbo kama zitto
 
Back
Top Bottom