Uhusiano wako kazini utategemea na uwezo wako wa kutatua changamoto

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,421
40,410
Kama upo likizo na haupigiwi simu kutoka kazini kwako, kuulizwa kutoa ushauri kwa jambo lolote ambalo ni la kitaalamu 'technical'; Juwa ya kuwa wewe ni mzigo kazini, unatakiwa ujiongeze.

Kupigiwa kwako simu kutaonyesha umuhimu wako wewe katika hiyo ofisi unayofanyia kazi. Kama utapigiwa simu kwa mambo ya umbea umbea, ina maana thamani yako wewe hapo ofisini iko upande huo.

Uhusiano wako wewe kazini, utategemea na uwezo wako wa kutatua changamoto ngumu ambazo wengine hawawezi kuzitatua.
 
Sawa mkuu tumekupata uzuri😅
 
Not everyone at your workplace is your friend. Do your job. Get paid. Go home.
 
Nadhan wewe ndio unapaswa kuiona thaman yako kwanza kabla ya wengine..ukiishi kwa opinio za wengi utaish kitunwa sanaaa
Chukulia mwanzo wa likizo mpaka mwisho wa likizo,hujapigiwa simu kuulizwa kitu chochote kwenye taaluma yako, huwa unajisikiaje mkuu?
 
Mkuu siyo kila kazi ni za kuulizana maswali tu, sasa kwa mfano mimi ni mwalimu, shule imefungwa kila mtu kala 50 zake simu za nini? Weekends and Holidays are for my family. Na afterall usiishi kwa kugandana sana na watu mwisho wa siku utaishia kuzalisha maadui tu.
The way ulivyoandika unaonyesha dalili za unoko na kujipendekeza kwa boss mkuu.
images(4).jpg
 
Mkuu siyo kila kazi ni za kuulizana maswali tu, sasa kwa mfano mimi ni mwalimu, shule imefungwa kila mtu kala 50 zake simu za nini? Weekends and Holidays are for my family. Na afterall usiishi kwa kugandana sana na watu mwisho wa siku utaishia kuzalisha maadui tu.
The way ulivyoandika unaonyesha dalili za unoko na kujipendekeza kwa boss mkuu. View attachment 2052454
😂😂😂tunapeana uzoefu mkuu;we huwa hawakupigii kabisa?
 
Kama upo likizo na haupigiwi simu kutoka kazini kwako, kuulizwa kutoa ushauri kwa jambo lolote ambalo ni la kitaalamu 'technical'; Juwa ya kuwa wewe ni mzigo kazini, unatakiwa ujiongeze.

Kupigiwa kwako simu kutaonyesha umuhimu wako wewe katika hiyo ofisi unayofanyia kazi. Kama utapigiwa simu kwa mambo ya umbea umbea, ina maana thamani yako wewe hapo ofisini iko upande huo.

Uhusiano wako wewe kazini, utategemea na uwezo wako wa kutatua changamoto ngumu ambazo wengine hawawezi kuzitatua.

2AA6A2B0-AE5C-4AD3-A635-DE78BA27F516.jpeg
 
Back
Top Bottom