Daah inawezekana angesumbua sana mkuu,swali la mwisho kama hutomaindi mkuu.Ilimbidi akimbie kwanza coz hakua amejipanga kuunda jeshi la msituni,lengo lake lilikua kui defend kinshasa,
Sasa wanajeshi wakubwa wakawa wameshaisaliti serikali,kwa kukimbia na kutoa mipango ya siri ya kijeshi hivo hakua na jinsi
But baàda ya kukimbia aliunda kikosi cha kuikomboa congo,but akafa mapema,nadhani asingekufa angesumbua sana serikali mpaka leo
Mkuu,Daah inawezekana angesumbua sana mkuu,swali la mwisho kama hutomaindi mkuu.
Kwa matendo ya Mobutu ni vitu gani vilikuvutia hadi akawa role model wako, maana story zake nyingi ni za mambo maovu labda unaweza kututajia mazuri yake kwa raia wake mkuu.
Sawa mkuu asante sana though historia ya Mobutu kila nikiionaga sehemu naona anaandikwa vibaya tu.Mkuu,
Jamaa namkubali coz ali hussle,,ametokea familia masikini sana,baba yake alikufa akiwa mdogo,akawa analelewa kwa ndugu tu,
Akapelekwa jeshini sababu ya utovu wa nidhamu,,
Alipokua rais,alii improve congo,wanafunzi wote chuo kikuu walipewa mikopo 100% ,alijenga miundombinu mingi
Alitumia muda wake kujitajirisha pia,,sio kila kitu aliiba kama inavyosema,
Kwenye budget alitenga pesa nyingi kwa ajili ya huduma za rais,na pia alipiga biashara kibao za kumuingizia pesa,,mwenyewe aliwahi kusema hivi "nina kama usd mill 5 tu bank,hiyo ni nini kwa rais wa nchi kubwa kama hii ?"
So inshort,alipambana kimaisha mpaka kuwa tajiri,ndo mana ni role model wangu,
pia kwa kiasi fulani alileta maendleo congo,kilichomkwamisha ni mataifa makubwa kuingilia,viongozi wake kuwa wezi pamoja na mtikisiko wa kiuchumi
daaahhhh Franco mbona kama alikuwa ana ng'ata nakupuliza hivi ""
ila mimi sijawahi kumjua huyo Jamaa kabisaaaa ...sijui kwaajili ya utoto enzi hizo...lakini mbona nawajua watu kama kina "" Thomas ..Sankara .Mobutu mwenyewe ''na kina Thom mboya''' huyo ilikuwaje mpka nikashindwa kumfahamu huyo Franco ""!!?
Hahaha kwann mkuu ? ,unajua hata hivo ni vigumu kupata kila kitu kumhusu kwa 100% mpaka kuuliza watu waliokua nae,,Sawa mkuu asante sana though historia ya Mobutu kila nikiionaga sehemu naona anaandikwa vibaya tu.
Thnxs for your time mkuu.
Hivi huyo gatto beevens yuko wapi sikuizi,mkuu ?Mkuu bila shaka wew utakuwa ni mkomunist maana hii list yako umemsahau tu J J Rawlin. Ila Franco yeyeni mwanamziki kama ungewataja wakina Ghatto, Pepe kale, TshalaMwana na wengineo anga za muziki ingekuwa sawa zaidi kuulizia kwanini hukumjua.
Hivi huyo gatto beevens yuko wapi sikuizi,mkuu ?
Hawa jamaa hivi kwann hawapendi kukaa kwao ?Sijajua mkuu maana nina muda sijamfuatilia, ila kama bado yupo hai huwenda yupo france au belgium
Hawa jamaa hivi kwann hawapendi kukaa kwao ?
Hitrel alisema hiviAsee siasa ni upuuzi sana!Yaani unakuta jitu ni boya flani tu halafu linaendesha mpaka wajanja.
hahaaaaa mkuu mimi mkomunist haswaaa...hao kina ghato ..pepe kale ..zaiko langa langa "" papa wemba ..kanda bongo man ..yondo sister (huniambii kitu kwahuyo mama namuelewa mnoo)Mkuu bila shaka wew utakuwa ni mkomunist maana hii list yako umemsahau tu J J Rawlin. Ila Franco yeyeni mwanamziki kama ungewataja wakina Ghatto, Pepe kale, TshalaMwana na wengineo anga za muziki ingekuwa sawa zaidi kuulizia kwanini hukumjua.
MBNA ktk historia ya kimzki ya Franco ukiisoma wekipedia inaonyesha mwaka 1977 alimsajil mpongo love? hebu tufafanulie
Kuhusu huo wimbo uko sahihi kabisa ulitungwa na Mayaula lakini ulipigwa na Tp OK jazz.
Daah itabidi nikitafute mkuu si unaju story za huku kijiweni tulishawahi kuambiwa idd amini alikua anakula nyama za watu,hahahHahaha kwann mkuu ? ,unajua hata hivo ni vigumu kupata kila kitu kumhusu kwa 100% mpaka kuuliza watu waliokua nae,,
stori nyingi kuhusu yeye za vijiweni ni uongo,
Kama unaweza tafuta kitabu chake alichoandikwa mwenyewe kipo
Na pia kuna kitabu kaandika mume wa binti yake,
unajichanganya mkuu
awali Congo ilikuwa inaitwa leopdvile,miaka 70's Mobutu akaibadilisha kuwa Zaire mwaka 1997 Laurent kabila akaiita congo
Mkuu,
Jamaa namkubali coz ali hussle,,ametokea familia masikini sana,baba yake alikufa akiwa mdogo,akawa analelewa kwa ndugu tu,
Akapelekwa jeshini sababu ya utovu wa nidhamu,,
Alipokua rais,alii improve congo,wanafunzi wote chuo kikuu walipewa mikopo 100% ,alijenga miundombinu mingi
Alitumia muda wake kujitajirisha pia,,sio kila kitu aliiba kama inavyosema,
Kwenye budget alitenga pesa nyingi kwa ajili ya huduma za rais,na pia alipiga biashara kibao za kumuingizia pesa,,mwenyewe aliwahi kusema hivi "nina kama usd mill 5 tu bank,hiyo ni nini kwa rais wa nchi kubwa kama hii ?"
So inshort,alipambana kimaisha mpaka kuwa tajiri,ndo mana ni role model wangu,
pia kwa kiasi fulani alileta maendleo congo,kilichomkwamisha ni mataifa makubwa kuingilia,viongozi wake kuwa wezi pamoja na mtikisiko wa kiuchumi
nimekupata mkuuKumbuka, Franco alikuwa na lebo yake ya muziki na alisajili wanamuziki pamoja na bendi kibao kwa mkataba ila si kama zilijiunga na OK Jazz, ilikuwa ni project tu. Baadhi ya hizo bendi na wanamuziki walipata kusajiliwa na Franco ni: Orchestre Stukas ya Lita Bembo, Waimbaji wa Zaiko Langa Langa kina Evoloko Joker, Nyoka Longo, Lengi Lengi, pamoja na Papa Wemba. Ukweli ni kwamba mwaka 1977 huo, ndipo M'pongo akatungiwa ule wimbo maarufu wa Ndaya na Mayaula Mayoni wakati Mayaula bado yuko OK Jazz. M'pomgo aliimba ule wimbo kwa kusaidiwa na baadhi ya wanamuziki wa OK Jazz ila hakuwa mwanamuziki wa OK Jazz, ni hayo tu.