Asante mkuu kwa taarifa ulizotuma hapa,hii chain iliyokuwa inaendelea kati ya hawa jamaa ilikuwa hatari na hii haimtoi Frànco ktk kundi la waliokufa kwa Sida.
absolutelyGoogle wanasema alikata moto 1990 nadhani ilitokana na shock ya mzee baba nae kuonekana ameenda kwa maradhi yasiyo ya starabu.walipishana miezi tu!
naamAsante mkuu kwa taarifa ulizotuma hapa,hii chain iliyokuwa inaendelea kati ya hawa jamaa ilikuwa hatari na hii haimtoi Frànco ktk kundi la waliokufa kwa Sida.
Franco alifariki October 1989,Mpongo Love January 15/90 mentor wake kihoro kikamtoa January 21/90.nimejifunza mengi sana hapa.
Mobutu mhuni alifanya Congo kama geto lake..........Bila kumsahau Thomas @sankara,huyu walimuuwa ila alikuwa rais kijana mwenye muono wa mbali sana.inafurahisha sana mkuu na hawa ni watu kwa kiasi kikubwa wametupa heshima kubwa kimataifa ila Mobutu alizingua sana.
naamJamaa naitafuta historia yake mtandaoni ipo fupi mno,but siku moja ntaenda kinshasa nikapige stori na jamaa zake nimjue vizuri
naamJamaa naitafuta historia yake mtandaoni ipo fupi mno,but siku moja ntaenda kinshasa nikapige stori na jamaa zake nimjue vizuri
unajichanganya mkuuMwanzo hiyo nchi iliitwa congo,,ilipofika 1970's mobutu akaiita zaire mpaka 1997 ,kabila akaiita drc congo
jf kuna madini ya maana,blessed jfMkuu Lucas Mobutu sina nia ya kukosoa bandiko lako but hapo kwenye wimbo Candidat Na Biso Mobutu naomba niongeze nyama kidogo kuhusu huu wimbo.
Baada ya kutoa wimbo wa kumtuhumu rais Mobutu kwa uongozi wake wa mkono wa chuma iliamriwa Frànco akamatwe atiwe jela,kisha Mobutu akampa options mbili either atumie kipaji chake kutunga wimbo mzuri utakaomfanya azidi kupendwa na wananchi wake au aendelee kukaa jela{tukumbuke huu wimbo wa kum-dis Mobutu ulipokelewa vizuri sana na masahabiki wa Frànco so nikama aliambiwa atafute kitu cha kuyafuta yale mawazo mabaya kwa wananchi kisha apandikize mazuri yanayomuhusu yeye}.
Ndipo alipotunga huu wimbo canditad na biso Mobutu na inasemekana Mobutu alipousikiliza kwa mara ya kwanza tu aliamuru Frànco atolewe jela upesi sana na apelekwe ikulu ambako ilifanyika sherehe ya kukata na shoka kwa muda wa siku tatu kisha Mobutu akataka ampe Frànco madaraka ya kisiasa ambapo aliyakataa akaomba apewe ruhusa ya kufanya shughuli zake za kimuziki kwa uhuru tu.
Copied.......
nakipataje mkuuSana,,alikua na nyumba zingine inapita hata miaka 3 hajazitembelea,
Mkewe anatajwa kuwa na nguo zaidi ya elfu moja,
Mkuu ukitaka mengi kitafute kitabu kinaitwa a la cour de mobutu,kimeandikwa na pierre jansen,mpwa wake
Kwahiyo kila Rais anaingia na Jina lake..unajichanganya mkuu
awali Congo ilikuwa inaitwa leopdvile,miaka 70's Mobutu akaibadilisha kuwa Zaire mwaka 1997 Laurent kabila akaiita congo
Leopold ville ni mji huo ,ambayo ni kinshasa ya leo,iliitwa kinshasa miaka ya 1970's ,maelezo yangu yapo sahihiunajichanganya mkuu
awali Congo ilikuwa inaitwa leopdvile,miaka 70's Mobutu akaibadilisha kuwa Zaire mwaka 1997 Laurent kabila akaiita congo
Kipo amazon na mitandao mingine ya kununua vitu online,,,,but hata dar nadhani kinaweza patikananakipataje mkuu
Mobutu na laurent kabila ndio waliibadili majina lakini kasavubu na kabila mdogo hawajabadiliKwahiyo kila Rais anaingia na Jina lake..
lete story mkuuUzi huu una mengi kuhusu Franco bahati mbaya kuna mengi kiasi fulani hayako sawa. Nitaupitia wote na nitaweka yale ninayo yafahamu. By the way leo 19.03.2018 Le Vieux and Grand Poete Papa Simon Lutumba alias Simaro Massiya Lutumba aamefikisha miaka 80 na anastaafu rasmi kupiga muziki. Huwezi uakaongelea mziki wa Franco bila kuangalia mchango wa Simaro.