DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,049
- 30,955
- Thread starter
-
- #61
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Ukiona hivyo ujue limenigusa kwenye himaya yangu.Halafu wewe cephalocaudo wewee nakuona nakuona tu hili swali nikama mara ya pili hii unaniswalika Wee haya tu sijaelewa intention yako .
Cc Smart911
Kweli ya NGOSWE mwachie NGOSWE.Nilitaka kusema nikasita. Shilawadu wako kazini
nakubaliana nawe..uhuru mpaka uwekewe mipaka..la sivyo ndoa yenyu itakuwa yenye matatizo
KbsaaaKweli ya NGOSWE mwachie NGOSWE.
Sisi tuendelee tu na by laws zetu.Kbsaaa
Na tutakatiza tu hakuna namnaSisi tuendelee tu na by laws zetu.
KabisaaaaaaNa tutakatiza tu hakuna namna
Hahaha Pole sana Wee mkuu halafu wewe halafu wewe unafanana na rafiki yangu mmoja hivi humu alikua anapatikana sana sana mpaka mida hii Tehteh. Sijui Yukwapi nowdays[emoji1] [emoji1] [emoji1] Ukiona hivyo ujue limenigusa kwenye himaya yangu.
pamoja na hayo inategemea na hali halisi ya familia.can you imagine una mke ambaye anarejea nyumbani wakati wowote ama anatoka wakati wowote sababu ana uhuru??.ifahamike kuwa mwanamke yeyote aliye na ustaarabu na akili zake muda wote hutegemea maamuzi ya ndoa yafanywe na mume.si ujinga wala kujishusha ila yapaswa kuwa hivyo..maana mwenyezi mungu alimpa mwanamme uongozi na mke awe msaidizi wake katika maswala ya ndoa...hivyo,unapompa mkeo uhuru kwa lolote ina maana amepata uwezo wa kufanya maamuzi yoyote bila kukushirikisha wewe mume..it cant work in any way because in most cases freedom raises the status of individuals to the same level..hivyo mnakuwa sawa to the extent that anyone can make decisions without necessarily consulting the other..sisemi uhuru asipewe mwanamke..ninachosema ni kuwa uhuru wake uwe na heshima kwa mumewe wala asiutumie uhuru huo bila hekima...
80% trueeeee.
kuna furaha ya aina fulani unayoipata kama mke unapomuuliza mumeo ruhusa ya kufanya jambo fulani..hivyohivyo,kuna furaha ambayo mwanamume hupata wakati ameulizwa ruhusa na mkewe kabla ya kufanya jambo fulani...
can you imagine una mke ambaye anarejea nyumbani wakati wowote ama anatoka wakati wowote sababu ana uhuru... cant work in any way because in most cases freedom raises the status of individuals to the same level..hivyo mnakuwa sawa to the extent that anyone can make decisions without necessarily consulting the other..sisemi uhuru asipewe mwanamke..ninachosema ni kuwa uhuru wake uwe na heshima kwa mumewe wala asiutumie uhuru huo bila hekima...
Kumbe unajua kbsa ulikuwa unatega watu. Umesema vzr, watu wanandoa lazima wakae chini na kupanga malengo yao ya baadae kea ajilibya familia yao. Na kwa kufanya hivyo lazima makubaliano yawepo kwenye matumizi ya vipato vyao. Tunapoongelea uhuru sio uvujaji wa vipato. Naomba mwenye kuweza kuliweka vzr asaidie ili tusipotoshe/kubatilisha dhumuni la ndoapamoja na hayo inategemea na hali halisi ya familia.
Familia inaweza kuwa na malengo ya kifedha ambayo yanahitaji accountability kwa wanandoa wote wawili...kama mmeweka
lengo fulani halafu mkashindwa kulifikia kwa sababu mmoja wenu alitumia hela kinyume na
mipangilio je hapo kusiwe na kuhojiana?..
kwa hiyo kila mtu atumie hela zake kama anavyopenda bila kujali kesho kisa tu ana kipato?