Uhuru katika Mahusiano?

Analyst .. rafiki yangu amini tu kwamba itakuwa umempenda mpenzi wa mtu mwingine bila wewe kujua .. huyo jamaa ana mwanamke mwingine ambaye yeye anaona huyo ndiye mtu sahihi kwake so muda wake anampatia huyo
 
NAJUTA kuweka bandiko humu...Amani yangu Kama inataka kutoweka hivi
Jikaze .. tatizo binaadamu huwa tunapenda kupewa taarifa zile ambazo zinatupendeza kuzisikia ... Lakini katika hii statement yako ukweli ndio huo

Huyo jamaa hakupendi alikuwa anataka kukutumia tu kingono ... Hapo hakuna mapenzi kamili Bali Kuna mapenzi ya upande 1 tu na yanatoka kwako
 
Hakuna Uhuru kwenye mapenzi. Kwenye hiyo situation inategemea ni muda gani unapigia simu?
 
Ukishasikia mtu anaongea kauli kama

I need freedom
Lets breakup for a while
Lets have a space

Jua hakuna tena mapenzi mkuu. Hakuna kitu kama hicho. Kwenye mapenz hakuna uhuru hakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…