Uhuru katika Mahusiano?

Aliyekudanganya nani kuwa huu ndio mwisho wa bandiko? Subiri jamaa akutende kikwelikweli ndio akili itakusogea.
Jamani....mnanichulia TU..Nshaanza kuwachukia ..wakati bandiko nlileta mwenyewe [emoji3][emoji3]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Mkuu Acha kuisemea papuchi yangu
Haiwezekani yote ujibu ila swali hili unalikwepa kwepa tu wakati lipo wazi n jibu lake jepesi tu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haiwezekani yote ujibu ila swali hili unalikwepa kwepa tu wakati lipo wazi n jibu lake jepesi tu. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Eti Mundede
Mkuu Etrovert Hebu niache KIDOGO...hilo swali Jibu lake SINA
 
Daah mimi sijui nikoje ila kwa izi tabia navunja mahusiano mara moja . Nilisha mpenda mdada alikua mrembo sana kitu kilichomfanya ajiskie, ndo kila mara ananiambia yupo bize nikaona isiwe tabu sikumtafyta tena ila after kama miezi 3 akarudi kwa kasi ya ajabu nayeye ndo akawa msumbufu nikajua uko alikokua kaachika .

Trust me . Leave the table if respect is no longer saved.
 
Hawa wanawake wa sasa inatakiwa asikuzoee zoee kabisa ndo mtaenda sawa na atakupenda kama ambavo mleta mada anavohaha sai

We mvute vute kiasi ukishajilia vyako badili mfumo asikukariri la sivyo atakuona father Theresa
 
Wakiachikaga wanarudi kwa ukali kinoma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!!
Ungempigisha jaramba tu nae apige mark time kwanza
 
Naam ni huo huo nikasema huyu hii bangi aliyovuta leo itakuwa amevuta hadi mizizi [emoji23][emoji23]

Shukrani mkuu all the best to you too [emoji4][emoji4]
[emoji28] Nilimeza hadi moshi,, sema kuna mambo mengine watu hua wanazingua labda wanakua wanafanya utani ila kama wapo serious kwa akili zile hata mtoto wa chekechea hawezi kufanya mambo ya kijinga kama yale..

*** Much thanks be blessed.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mapenzi Ni Ushenzi
Ni kweli kabisa lakini tutafanyaje sasa zaidi ya kupambana na hali zetu.. Can you live without love? I mean hivi kuna mtu anaweza kuishi maisha yake yote bila mpenzi? Au mahusiano, Achana na watu special kama mapadri, watawa n.k
 
Huyo alizidi aisee...ndio tabu ya ku date wanafunzi wa sekondari.
Sio wanafunzi hata watu wa kawaida wapo.. Mfano yeye hakua wakusoma.. Tatizo kubwa nadhani sio mapenzi ila ni wivu tu ndio unakua unawasumbua na wivu ni nature ya mtu anazaliwa nayo au anaupata kutokana na mazingira aliyonayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…