Uhuru katika Mahusiano?

Uhuru katika Mahusiano?

Kiingereza siyo lugha yangu mama. Hapo sijakuelewa, naomba uandike kwa Kiswahili nikuzindue bibie.
Sikujua kama mtu anaweza danganya kwa kiasi kile....Alifanya kila afanyalo kuaniaminisha kuwa alikua na NIA YA KWELI...
 
Ungekuwa karibu yangu ningekupiga bonge la kofi sababu unauliza swali la hovyo.

ULITAKIWA UFANYE KINYUME CHAKE. hivi kuna mtu ushawahi kusikia kafa kisa hayupo kwenye Mahusiano ?

Pili, waoaji tunajulikana, haya mahusiano ya kipuuzi huwa yanaondoa baraka na mwisho wa siku mnapotezeana muda.
Ndo hivyo sasa...... Hakuna naloweza fanya
 
Wenyewe huwa mna kauli zenu Mapenzi hayachagui. Huwa nawatazama sana.
Mapenzi hayachagui Vipi..... We jua TU moyo wa mtu Ni KICHAKA..
Huwezi jua kilichoko moyoni. Ama akwambie au akuoneshe kwa vitendo
 
Mapenzi hayachagui Vipi..... We jua TU moyo wa mtu Ni KICHAKA..
Huwezi jua kilichoko moyoni. Ama akwambie au akuoneshe kwa vitendo
Ngoja nikuulize swali, unamjuaje muoaji ?

Hakuna cha kichaka wala Pori, tatizo huwa mnapenda mnavyoviona na kuvisikia yaani mnatanguliza matamanio.
 
You thank God and move on.

Sio makosa kwako kumuamini bcoz aliweka mazingira ya wewe kumwamini.La msingi ni kwamba sasahivi umeshamjua ni mtu wa namna gani.
Yaani I don't understand....Iv tried my level best to live the best life I could... I've done everything... I have prayed, I am a devoted Muslim.... I try my level best to live a God pleasing life..

But this is what I reap.... I feel defeated today... But I haven't lost hope in my God.
 
Ngoja nikuulize swali, unamjuaje muoaji ?

Hakuna cha kichaka wala Pori, tatizo huwa mnapenda mnavyoviona na kuvisikia yaani mnatanguliza matamanio.
Sasa ULITAKA NIFANYAJE.... Mi naona unanilaumu bure Tu....
 
Kwa aloyafanya ...ujumbe Ni hanipendi... Coz huwezi mpenda mtu Ukasema maneno Kama aloyasema..Doooh
So wewe umeamuaje? Au ni privacy

Vyovyote itakavyokua ndugu yetu katika jf fanya maamuzi magumu.. Huyo mtu ana take advantage of you, mimi as a man najua jinsi men wote tulivyo mimi pia nimewahi mtreat mwanamke mmoja hivyo hivyo cz sikua na interest nae lakini kutokana na mazingira niliyokulia nafsi ilikua inanihukumu sana mpaka nikaamua kumueleza ukweli.

Kama ilivyo kwa wanawake na kwa wanaume ni the same thing "mtu akishajua kua unampenda sana na kwake haujiwezi basi cha moto utakiona.

Kama wengine walivyokushauri chukua maamuzi magumu maumivu yatakupiga lakini at the end utapona na utakua free zaidi. Inaonekana hujawahi kuachwa ndio maana may be unajionea sana huruma
Once you care your fucked! Hi ndio nature yetu waswahili hasa katika mahusiano sikufahamu wala hunifahamu ila note my words usipochukua hatua now utateseka sana.. Mbali na kuteseka pia utapoteza muda wako mwingi sana na pengine ukaja kukumbuka shuka angali kushakucha tayari
 
Noted...
 
Mtu akishajua unampenda umekwisha wallahi yaani atakupasua hilo bichwa

Kisha atakuzungusha kama mpiga picha na hakuna kitu utamfanya zaidi sana utajichatisha
Well said bi dada,, kuna sehemu humu nilishawahi kuandika kua watu waki master issue ya ku balance shobo basi wataishi kwa amani na furaha kubwa sana.. Anyway habari ya mwaka mpya.
 
Mtu akishajua unampenda umekwisha wallahi yaani atakupasua hilo bichwa

Kisha atakuzungusha kama mpiga picha na hakuna kitu utamfanya zaidi sana utajichatisha
Aiseeee...sio Unaanza mpenda bali anakufanya umpende kwa maneno na vitendo...wallahi I was gullible.
But anakuwa keshazoea Sana kucheza na hisia za Watu so ...anajua want buttons to push and results to expect.

Nampongeza Sana kwa KUCHEZA shere na moyo Wangu....Sina hata Dua mbaya ya kuombea...Mapenzi hayalazimishwi....labda alishindwa endelea kuigiza kupenda..
 
Well said bi dada,, kuna sehemu humu nilishawahi kuandika kua watu waki master issue ya ku balance shobo basi wataishi kwa amani na furaha kubwa sana.. Anyway habari ya mwaka mpya.
Kubalance shobo...dooh yaani ndo ile akikaa kimya na wewe kimya..akikutafuta sawa...asipokutafuta sawa...

Mnaishi mnaviziana..yanini sasa hayo.. Mimi SIPENDI kufanya Mambo nusunusu..
Nimependa NIMEUMIA...LENGO LAKE LIMETIA...
NAMUOMBEA TU ampate atakae mpenda KWELI. ACHANE na habari za kuumiza Watu.
 
Kubalance shobo...dooh yaani ndo ile akikaa kimya na wewe kimya..akikutafuta sawa...asipokutafuta sawa...

Mnaishi mnaviziana..sijakuwa kwenye Mahusiano Tangu 2014 Labda nlikua mshamba
Huenda hio nayo ni aina mojawapo ya kubalance shobo, utafanya hivyo lakini bado itakuumiza kwa sababu solution pekee kwenye scenario kama yako ni ku move on basi yani kama kwenye jino dawa yake ni kung'oa tu zingine zote ni mbwembwe .
Balance shobo ninayoisema mimi ni hii ya kiutu uzima.. Kama ukishaona hapa sipendwi basi mwambie tu ukweli mwenzako kua kutokana na sababu hii na hii naona ni kama we will never make it so kila mtu aendelee na hamsini zake, very simple and clear

Always ukweli unatuweka huru.
 
Back
Top Bottom