Uhuru katika Mahusiano?

Dhaaaaa aiseeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]c Chek kwa Mazur ila huyo jamaa anavotaka hapo n kizungumkut kwakweli
 
Dhaaaaa aiseeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]c Chek kwa Mazur ila huyo jamaa anavotaka hapo n kizungumkut kwakweli
Mhuni TU Huyu..
 
Mkuuu NAPOLEON sijaona ukinicheka huku.... Maana nlitegemea kichambo na kicheko chako... Au umeenda kanisani Kutafuta mrembo.
 
Pole Sana Hapo ndo napoonaga %99.99 ya wanaume ni waongo jmn lkn sio lazima uwe kwenye mahusiano
Hata sisi pia usipompenda mtu Simu na sms zake Ni kero... Ila tatizo ALINIAMINISHA Sana kuwa ananipenda... Yaani SANA...kumbe LOOOH it was a lie
 
Mtu kutaka Uhuru katika Mahusiano maana Yake Nini?.
Kumpigia mpnz wako simu 3 times in a span of 5 hours nazo hajapokea Ni kumnyima Uhuru?..

Kuwa katika Mahusiano na kuishi Kama haupo katika Mahusiano ndo Uhuru?

Kwakweli nishaurini sielewi
Mh Jambo lako ni gumu jmn,ila kuna kauli nimewahi kuisikia inasema hakunaga ubussy kwenye mapenzi ,,,,km unapiga simu Mara zote hizo mtu hapokei kuna tatizo hapo hamna cha uhuru Wala nn
 
Dada yangu huyo rafiki yako wa kiume anakupenda tena inaweza kuwa sana tu. Kuna wale watu ambao hata upbringing yao imechangia how they are. Kabla ya kuamua chochote hebu chunguza kidogo tu upbringing yake. I am sure kuna kitu unaweza kupata huko ambacho kinaweza kukufanya wewe kujua the right way of you showing your love to him. Na yeye akareceive your love whole heartedly na akalearn to love you the way you want to be loved. Don't give up mapema. Huwezi jua kuna siku anaweza akawa gratefully kuwa you stayed when he gave you all the reasons to leave. Hold on kidogo.
 
-Ukishaanza kulalamika kuhusu mahusiano jua una fosi vitu.
- Do not chase anyone, a person who real appreciate you will walk with you
-Jiongeze mamdogo acha kuyaishi maisha ya mtu mpaka yanaku --suffocate hivyo aisee Usawa huu wa msukuma tarehe 3 january unaumiza kichwa na mtoto wa mtu[emoji849] Njoo Kidimbwi uko casper nyovest atakuwepo Tonight utafakari maisha kwa mapana[emoji2]
 
Duuh... hii comment sio mchezo....ndefu kuliko uzi wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…