Uhuru katika Mahusiano?

Uhuru katika Mahusiano?

Well said bi dada,, kuna sehemu humu nilishawahi kuandika kua watu waki master issue ya ku balance shobo basi wataishi kwa amani na furaha kubwa sana.. Anyway habari ya mwaka mpya.
Sure mkuu
Inauma mno kupenda usipopendwa ila ndiyo hakuna namna zaidi ya kujiengua tu

Habari ya mwaka mpya nzuri tu sijui kwako
Ila dah nimekumbuka leo nimekutana na comment yako mahali nimecheka
 
Aiseeee...sio Unaanza mpenda bali anakufanya umpende kwa maneno na vitendo...wallahi I was gullible.
But anakuwa keshazoea Sana kucheza na hisia za Watu so ...anajua want buttons to push and results to expect.

Nampongeza Sana kwa KUCHEZA shere na moyo Wangu....Sina hata Dua mbaya ya kuombea...Mapenzi hayalazimishwi....labda alishindwa endelea kuigiza kupenda..
Gullible and naive

Pole sana lakini unaambiwa you haven't lived until you love somebody
 
Sure mkuu
Inauma mno kupenda usipopendwa ila ndiyo hakuna namna zaidi ya kujiengua tu

Habari ya mwaka mpya nzuri tu sijui kwako
Ila dah nimekumbuka leo nimekutana na comment yako mahali nimecheka
Mwaka..Mpya ndo huu Mkuu.. Natumani Mambo mazuri yaja.
 
Labda maana sielewi....Mi sioni Kama namyima Uhuru..Simu hua napiga akiwa hayupo kazini...akiwa kazini sipigagi Simu..

Sasa mpnz wako kukupigia simu ndo kumyima Uhuru..Tena penzi jipya? Lakini Simu zangu hapokeagi ...Mara nililala mapema, Mara sikuisikia, saiv ndo anasema hawezi kukaa na Simu muda wote nanyima Uhuru wakufanya Mambo mengine...

Sasa Kama unamambo Mengine unafanya SI unasema Tatizo liko wapi...nipo kwenye kikao...Kutokupokea Simu Mimi naona Kama Dharau...

ukilalamika anakata Simu eti Kama huelewi Basi...jamani Mapenzi yakigumu Hakuna kumbembelezana...Hakuna romantic language...yaani yeye anachoona kinafaa ndo hicho hicho...Mtu anaamini yupo sawa haijalishi Wewe unaumia au la...

Mi sioni Kama huu Ni upendo..Mapenzi Ni mahaba na kuhurumiana...
Mtu unasafiri unaenda mbali huko mkoani utakaa labda wiki mbili...huwezi kumuaga mpnz wako Tena Ni dakika 20 TU a Gari....

Minaamini kwenye Mapenzi furaha ya mpnz wako Ni kipaumbele...Kama mtu hainvest kumfanya mpnz wake afurahi...Basi hapo HAKUNA MAPENZI.
Huyu jamaa ana viashiria vya kuwa mume wa mtu by 85% !!! Je, umejiridhisha jamaa sio mume wa mtu?
 
Huyu jamaa ana viashiria vya kuwa mume wa mtu by 85% !!! Je, umejiridhisha jamaa sio mume wa mtu?
Sijui... kwakweli.. according to his actions and words he assured me this wasn't the case.Maybe it was a lie... who knows
 
Namini Nashangaaa...Uhuru upi yaani anautaka..wakufanya Nini..mpaka Mimi Simu zangu zimpunguzie huo Uhuru...

Huyu mwanaume Ni Mgumu Sana...yaani anamisimamo ya Ajabu Sana...hata ukisema nampeleka ndugu yangu hospital..anajibu HAYA....like hata kuuliza anaumwa Nini nalo hawezi...eti kwani Huyu ndungu yako Ni Wewe?
Hahahah jamaa yuko vizuri sana 😂😂😂 hadi anaburudisha. Hivi ndio wanawake janja janja mnavyotakiwa muendeshwe! Maana wengine ulikuwa unawaona mazoba ila kwa huyu baharia hutachomoka hapo. Sijui kwanini huwa mnapendaga abusers nyie watu ila polite guys kwenu ni mazoba.
 
Hahahah jamaa yuko vizuri sana [emoji23][emoji23][emoji23] hadi anaburudisha. Hivi ndio wanawake janja janja mnavyotakiwa muendeshwe! Maana wengine ulikuwa unawaona mazoba.
Sawa....
 
Labda nikuulize jambo moja very critical. Huwa maongezi yako yanatawaliwa na nini? Yani what do you talk about most of the times ukimpigia simu?
Mi nishaelezea yoote hapo juu... Asubuhu hi sijisikii Tena kuongelea hili
 
Nikipiga coz alisema yupo njiani kurudi home ..ilikua sa nane..nikawa natuma msg hajibu...nikapiga coz nikitaka kuonana nae...coz anasafiri kesho...anasema kuonana haikua kwenye ratiba yeye hawezi vunja ratiba zake.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]...KHAAAAAAAAAAAA

Sasa hapa ndoa Mimi kwakweli itakuwa ngumu kufungwa...Mambo yashakuwa Magumu mwanzo kabisa.
Dah kwa haya majibu hamna ushauri zaidi ya wewe kuchukua time tu. Jikate tu hapo hamna uhusiano! Wewe ndio umependa na unajali haswa ila mwenzio hayupo on the same page.
 
Dah kwa haya majibu hamna ushauri zaidi ya wewe kuchukua time tu. Jikate tu hapo hamna uhusiano! Wewe ndio umependa na unajali haswa ila mwenzio hayupo on the same page.
I guess... It's my fault to love back where I thought I was loved..
Nimemsamehe tu.... Mapenzi hayalazimishwi.... Sina hata kinyongo.. japo itanichukua muda maumivu kuisha
 
Back
Top Bottom