Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,188
- 30,845
Nashauri ukifanya biashara na hawa jamaa uwe makini sana. Ni wajinga na wasumbufu sana.
Nilifanya shughuli pale mwisho wa wiki nashangaa siku ya kupamba ukumbi Ile jumamosi tunajikuta wapambaji wawili na kila mtu kalipia ukumbi na ana risiti kwa siku hiyo hiyo!! Baada ya fujo nyingi mmoja wetu akakubali kuachia ukumbi.
Mwanzo ukilipia vinywaji na chakula kuna kuwa na option ya kuongeza vinywaji kwa jinsi mahitaji yatakavyojitokeza, bei tumekubiana ni shilingi 4000 kwa chupa ya bia na 1000 maji/soda baada ya zoezi zima usiku Saa ya kufunga hesabu wanadai eti bei ni 5000 kwa 1500! Wachina washenzi sana hawa.
Ukiingia nao mkataba hawa jamaa Fanya juu chini uandikishane nao mkataba.
Tahadhari