Uhuni unaendelea kuruhusiwa Tanzania

Uhuni unaendelea kuruhusiwa Tanzania

Kuna hosp inatwa miabong ni ya wakorea,Hawa jamaa wanafanya huduma zao kuanzia jumanne mpaka jumapili,malipo yao yote wanapokea bila kutoa stakabadhi yoyote,hawalipi Kodi kifupi huo ushahidi wa kwanza watu wa tra sio kwamba hawajui kwa Hy tunatakiwa tuwawajibishe
sasa apo kuna kiongozi gan umemuona kaiba apo?
 
hasira za kuiba kwenye maduka ya watu? hasira za kuchoma huduma ambayo wewe mwenyewe unaitumia? huo ujinga lazima ufike mwisho na hakuna kucheka na mtu! umekopa pesa kujenga mwendo kasi wewe unachoma hio ndo unasema hasira?

2) ccm ina makosa gan? umekataa mwenyewe kwenda kwenye uchaguzi alafu utulaumu sisi, mzee risasi zitaendelea za kutosha
Narudia tena wewe na hao wenye project Yao hamsaidii lolote katika kutuliza hali hii ya chuki na visasi miongoni mwa watanzania. Acheni ligi, mpira huu mnaouchezea unakwenda kupasuka vipandevipande na there will be no remedy nawaambia.
Mkataeni kutumika kuibagaza na kubeza wenye kuwapoteza ndugu zao mtafute suluhu. Hii approach mnayotumia inazidi kuwaimarisha walioumizwa na siku wataamua liwalo na liwe mtaukimbia mji. Mali kitu Gani!
CCM inahusika pakubwa kwenye upuuzi hui kwani waliomo ndani humo na magalasa yanawazia matumbo Yao tu!
Umewahi kumsikia hata mbunge au waziri yeyote wa ccm akifungua mdomo zaidi ya huyo asiyejitambua na cheo chake Cha mchongo?
 
mali kitu gan? mbna hukuchoma mali zako? ama mbna mlizochoma hamna na je ulishawahi kutoa hizi ushauri kwa wananchi wenye hasira kali wanaochoma mwizi? au ndo mmekua wazee wa busara saaahv! alafu acheni kujipa umuhimu usio na mantik, yaani watu waache kuangalia mpira kisa una agenda zako za kisiasa? vpmmemaliza ku unfollow wasanii? ama mmemaliza kugomea show zao? ama mnadhan wote wana akili mbovu kama zenu
 
Dogo acha kuhemkwa na kukimbilia kujibu. Hoja ni kuwa, mnamsaidiaje rais wako kwenye agenda yake ya maridhiano Kama ninyi mnawabagaza, mnawadharau na kuwaita wahanga na marehemu wale wa maandamano wezi na waharibifu wa mali za watu na umma? Unasemaje kuhusu wale kina mama na watoto waliofuatwa majumbani na kuuliwa ndani ya nyumba zao? Hawa waliiba na kuchoma mali ya nani?
Mkiendelea kufanya mfanyayo hamtompata hata mmoja wa kuridhiana naye! Rejea tume ya rais wako na chande inavyohaha kuwatafuta wenye ushahidi ndio utajua naongelea kitu Gani. Acha umaamuma!
 
Naona bado mnaendelea kufuga uhuni na wahuni Tanzania bado hamjajifunza ile tarehe 29. Njia pekee ya kuiponya nchi yetu ni kuwamaliza wahuni lakini bado mnaendelea kuwalea.watanzania tumeamka na mkiendelea kuwafumbia macho wahuni mambo zaidi ya tarehe 29 yatatokea.
Nimeshangaa sana wakatoliki kuvalishwa vijola na madira. Hii nchi aliyeiroga kafa.
 
Dogo acha kuhemkwa na kukimbilia kujibu. Hoja ni kuwa, mnamsaidiaje rais wako kwenye agenda yake ya maridhiano Kama ninyi mnawabagaza, mnawadharau na kuwaita wahanga na marehemu wale wa maandamano wezi na waharibifu wa mali za watu na umma? Unasemaje kuhusu wale kina mama na watoto waliofuatwa majumbani na kuuliwa ndani ya nyumba zao? Hawa waliiba na kuchoma mali ya nani?
Mkiendelea kufanya mfanyayo hamtompata hata mmoja wa kuridhiana naye! Rejea tume ya rais wako na chande inavyohaha kuwatafuta wenye ushahidi ndio utajua naongelea kitu Gani. Acha umaamuma!
safi sana umekuja mahali husika, maridhiano ni kwa makundi yote! vp mliowachomea biashara zao hawastahili maridhiano? ama ni nyie mnajipa umuhimu kupitiliza? sisi tunakubaliana na maridhiano kwa wale wote ambao walipata msiba kwa bahati mbaya example wakati wahalifu wanafukuzwa, kwa mfano yule mtangazaji wa clouds yule familia yake ikisema inataka maridhiano ana haki zote za kupata hayo maridhiano

wewe umekaa mtandaoni unashawishi watu kwenda kuchoma mali za watu hujui kaanzia wap anaishi vp, msanii kapata show kwenye kampeni hana ata nafasi za uongozi mnaanzisha movement za unfollow sjui msiskilize nyimbo zao na leo unataka maridhiano 🤣 🤣 , nisiseme mengi
 
Rubbish!
 
Back
Top Bottom