maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 686
- 1,491
Kuumwa kote kule umeshindwa kufa?lakini naamini mwaka huu humalizi mwakaGentleman,
hakuna mamluki, mchochezi au gaidi wa kupora mali au kuharibu miundombinu ya umma au binafsi ya wananchi atachekewa na vyombo imara sana vya ulinzi na usalama nchini hata kwa sekunde moja tu.
lazima kuwe na heshima kwa taifa![]()