shabani mustafa
Member
- Apr 9, 2023
- 18
- 61
Maelezo Yako yanaonyesha hata chupi umevaa kichwani,mtu mzima hawezi kushabikia watu kufawewe unajuaje mm ni mpumbavu na unajuaje shilole alilipwa? na unaletaje ulinganisho wa mali na roho kwan mtaani mwizi hua tumafanyaje? ushawahi kuwaambia raia mwacheni mali sio bora kuliko alichooiba?
