Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,898
Kama kawaida mambo ya ya mitandao habari hukimbia.Mchana jamaa mwanachama na mwanafunzi anayesoma huko Uhalozi kanipeperushia barua hii nami kidogo nimesita .Nikaona wacha niiilete hapa nanyi mpate kuona na waandishi wa Tanzania waone na hata kama kweli kuna watu wanafanya kazi chafu ya kuzima mawazo ya watu wajue kama huyu anavyo pewa na wengine tumepewa na tuna laani sana kitendo hiki cha kutishiana .
Ukweli ni Huu Kuhusu CCM
Ndugu zangu mimi si mwanachama katika Emaili zenu lakini huwa napatiwa E-maili nyingi mnazo fanya majadiliano kupitia kwa rafiki yangu mmoja. Leo nimeamua kuuwandika ili niwarifu ukwweli juu ya CCM.
CCM intumia njia ya kuwagawa wananchi ili kupata ushindi na hata inapoiba kura inafnya hivyo. Kupitia mbinu hiyo imefanikiwa kuvunja chama cha NCCR Magezu, hivyoviyo ndivyo itakufa CUF na CHADEMA.
NCCR mageuzi walitegewa mtego wakupta majibo kule Moshi. Kwa kupitia majimbo hayo chama hicho kikaitwa chama cha Wachaga.
Mtegu huohua ndiyo unaoa chama cha mzee cheo kwani kinaonekana ni chama cha Wasukuma.
CUF wametegewa majimbo Pemba lakini wanahakikisha hakuna jimbo lolote lile la Bara watakalo pata. Ndiyo mana wametumia nguvu kubwa kule Bukuba, Tunduru Shinynga, Kilwa, Lindi. Lengo nikufanya chama hicho ni cha wapemba. Aidha wamekuwa wakisingizia chama hicho ni cha kisultani na kina lengu lakubagua watu wasio kuwa waislamu. Kada wa CCM Kingunge alithibitisha kauli hii hivi karibuni.
Kwa taarifa yenu CHADAMA itashinda majimbo zaidi 2010 lakini majimbo hayo yote yatakuwa sehemu zabara yaini mbali na maeno yapwani.Maeneo haya yatakuwa ni maeneo yale yano kaliwa na Wakiristo. Wakijaribu kupta wafuasi maeneo ya pwana CHADEMA wataibiwa kura au hata kuawa wagopmbea wao. Lengo ni kukifanya chama hicho ni cha watu wasio na asili ya pwani na vile vile ni chama cha wakirsto.
Huu ndiyo ukweli. Vilevile nipenda kuwaonya nyinyi binafsi na hizi E-maili zenu zitawafikisha mahali pabaya kama hamkua makini.
Jama wanambinu zote.