KAKA A TAIFA JF-Expert Member Apr 27, 2011 566 80 Sep 8, 2011 #1 Hapa ni kijijini pakistani.hawa jamaa wakija hapa wanajifanya dharau /babukubwa kumbe kwao kama kwa kambi ya fisi tu Attachments UHINDINI.jpg 27.8 KB · Views: 264
Hapa ni kijijini pakistani.hawa jamaa wakija hapa wanajifanya dharau /babukubwa kumbe kwao kama kwa kambi ya fisi tu
Lily Flower JF-Expert Member Oct 16, 2009 2,553 1,197 Sep 8, 2011 #2 Hao wakaaji kwenye hiyo nyumba miaka mitano ijayo watajikuta kwenye maji. Upande wa pili wa sarafu.
happiness win JF-Expert Member Aug 30, 2011 2,461 1,384 Sep 8, 2011 #3 Tena wanatudharau sana. Maisha ya wazawa ni duni, wao wakuja wanatesa tuu!
FaizaFoxy Platinum Member Apr 13, 2011 92,883 109,211 Sep 8, 2011 #5 KAKA A TAIFA said: Hapa ni kijijini pakistani.hawa jamaa wakija hapa wanajifanya dharau /babukubwa kumbe kwao kama kwa kambi ya fisi tu Click to expand... Hiyo ni kawaida, tazama hata hapa kwetu wenye dharau utakuta wametoka kwenye mazingira tatanishi kama hayo.
KAKA A TAIFA said: Hapa ni kijijini pakistani.hawa jamaa wakija hapa wanajifanya dharau /babukubwa kumbe kwao kama kwa kambi ya fisi tu Click to expand... Hiyo ni kawaida, tazama hata hapa kwetu wenye dharau utakuta wametoka kwenye mazingira tatanishi kama hayo.