KAKA A TAIFA JF-Expert Member Joined Apr 27, 2011 Posts 566 Reaction score 83 Sep 8, 2011 #1 Hapa ni kijijini pakistani.hawa jamaa wakija hapa wanajifanya dharau /babukubwa kumbe kwao kama kwa kambi ya fisi tu Attachments UHINDINI.jpg 27.8 KB · Views: 275
Hapa ni kijijini pakistani.hawa jamaa wakija hapa wanajifanya dharau /babukubwa kumbe kwao kama kwa kambi ya fisi tu
Lily Flower JF-Expert Member Joined Oct 16, 2009 Posts 2,553 Reaction score 1,199 Sep 8, 2011 #2 Hao wakaaji kwenye hiyo nyumba miaka mitano ijayo watajikuta kwenye maji. Upande wa pili wa sarafu.
happiness win JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,461 Reaction score 1,394 Sep 8, 2011 #3 Tena wanatudharau sana. Maisha ya wazawa ni duni, wao wakuja wanatesa tuu!
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,589 Sep 8, 2011 #4 duu hata bongo pazuri
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,806 Sep 8, 2011 #5 KAKA A TAIFA said: Hapa ni kijijini pakistani.hawa jamaa wakija hapa wanajifanya dharau /babukubwa kumbe kwao kama kwa kambi ya fisi tu Click to expand... Hiyo ni kawaida, tazama hata hapa kwetu wenye dharau utakuta wametoka kwenye mazingira tatanishi kama hayo.
KAKA A TAIFA said: Hapa ni kijijini pakistani.hawa jamaa wakija hapa wanajifanya dharau /babukubwa kumbe kwao kama kwa kambi ya fisi tu Click to expand... Hiyo ni kawaida, tazama hata hapa kwetu wenye dharau utakuta wametoka kwenye mazingira tatanishi kama hayo.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,832 Reaction score 13,798 Sep 8, 2011 #6 Wanaipata kweli.