Uhindini

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
Hapa ni kijijini pakistani.hawa jamaa wakija hapa wanajifanya dharau /babukubwa kumbe kwao kama kwa kambi ya fisi tu
 
Attachments

  • UHINDINI.jpg
    UHINDINI.jpg
    27.8 KB · Views: 264
Hao wakaaji kwenye hiyo nyumba miaka mitano ijayo watajikuta kwenye maji.

Upande wa pili wa sarafu.
 
Hapa ni kijijini pakistani.hawa jamaa wakija hapa wanajifanya dharau /babukubwa kumbe kwao kama kwa kambi ya fisi tu

Hiyo ni kawaida, tazama hata hapa kwetu wenye dharau utakuta wametoka kwenye mazingira tatanishi kama hayo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom