Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,138
degree yenyewe usiwe ticha au coz za ajabu ajabuKwa Tangazo wanataka Degree tu au Advance Diploma yaani hata watu wa Diploma ya kawaida hawaruhusiwi.
degree yenyewe usiwe ticha au coz za ajabu ajabuKwa Tangazo wanataka Degree tu au Advance Diploma yaani hata watu wa Diploma ya kawaida hawaruhusiwi.
Degree hawaja limit kozi zipi na zipi ila wenye hizo course hapo tajwa ni Highly considered.degree yenyewe usiwe ticha au coz za ajabu ajabu
Utaondolewa kibabe hakuna namna!Tunavamia bogi tu mze akuna namna.
usishangae hicho ndio kikawa kigezo kikuu mkuu.Degree hawaja limit kozi zipi na zipi ila wenye hizo course hapo tajwa ni Highly considered.
Wenda Mkuu na pia hapo wameweka hivyo ili kupima upepo bila shaka kama watapata idadi yao basi wengine watatemwa ila endapo idadi haitoridhisha basi naamini KOZI zingine wanaweza kuwa Considered nao.usishangae hicho ndio kikawa kigezo kikuu mkuu.
yaani ao ni vipaumbele, ata 4m 4 wa izo OP wapo na wataenda bila cheti cha taaluma yoyote, na wapo watakaobahatkaWenda Mkuu na pia hapo wameweka hivyo ili kupima upepo bila shaka kama watapata idadi yao basi wengine watatemwa ila endapo idadi haitoridhisha basi naamini KOZI zingine wanaweza kuwa Considered nao.
Kwa Tangazo lilivyo mtu wa STD VII, FORM 4,6,na DIP hawahusiki.yaani ao ni vipaumbele, ata 4m 4 wa izo OP wapo na wataenda bila cheti cha taaluma yoyote, na wapo watakaobahatka
Form 4 na 6 hao lazima wawepo kwenye kozi kinacho fanyika hapo saivi ni kutafuta hao wenye mahitaji maalum afu wakisha malizana nao wanahamia vikosini kuchukua Form 4 na 6 ili kujaza bogi.Kwa Tangazo lilivyo mtu wa STD VII, FORM 4,6,na DIP hawahusiki.
Subiri nikudadavulie kulingana na Tangazo lilivyo.
Ni hivi Nafasi Zinahitaji Watu Wenye Degree/Advance Dip pia wakasema kwa kozi tajwa hapo juu WATAPEWA KIPAUMBELE.
Kwa maana hiyo basi Tangazo waziwazi linawakataa watu wa Darasa la Saba,Form 4,Form 6,au DIP maana hawajawataja tu ila TANGAZO LIKO BASED NA DEGREE/ADVANCE DIP na wakagusia FANI HUSIKA WATAPEWA KIPAUMBELE it means ukichambua hapo FANI NYINGINE kama Accounts,Logistics n.k Wanaweza fikiriwa kama watahisi kuna uhitaji.
Na Kwa nature ya Tangazo kama utakuwa mfatiliaji wa Màtangazo ya UHAMIAJI bila shaka wanahitajika MAAFISA-DEGREE/ADVANCE DIP na Sidhani kama ni KONSTEBO-FORM 4 na kina KOPLO-DIP/FORM 6.
Nakutakia kilaa la kheri katika kujaribu kwako![]()

kamata uyooooForm 4 na 6 hao lazima wawepo kwenye kozi kinacho fanyika hapo saivi ni kutafuta hao wenye mahitaji maalum afu wakisha malizana nao wanahamia vikosini kuchukua Form 4 na 6 ili kujaza bogi.![]()
![]()
![]()
yaani, tukabadlshane ata no.Uhamiaji kuna totoz asee
TUNAENDA MWENYE WIVU AJINYONGE... na nyie mliojitolea mtakosa, kwanza ua hamjui kingereza![]()



😂😂😂 We dogo boyaa sanaa asee.TUNAENDA MWENYE WIVU AJINYONGE... na nyie mliojitolea mtakosa, kwanza ua hamjui kingereza![]()
Kawaida tu ni rank moja na Polisi,Magereza,Zima moto ila tu Hahah Uhamiaji umatemate upo mzee hawa Hasa ukiwekwa huko Boarder Doh.Mishahara yao ipoje ktk hii idara!
Jamani wakuvamia bogi tujuane, ikiwezekana twende wote, tustupane wakuu



hebu njoo pm kamanda. Una morale sana maana ata mimi naibuka pale na magamba yangu ila sina tu cheti cha jkt