Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 620
Idadi hiyo
Sure comredyWenda Mkuu na pia hapo wameweka hivyo ili kupima upepo bila shaka kama watapata idadi yao basi wengine watatemwa ila endapo idadi haitoridhisha basi naamini KOZI zingine wanaweza kuwa Considered nao.
NendaMm Changamoto ipo kwenye umri. Je kama umri umesogea Kama 34 hivi je naweza vamia? Swali la kizushi. .
ndo maana ya kuvamiaMm Changamoto ipo kwenye umri. Je kama umri umesogea Kama 34 hivi je naweza vamia? Swali la kizushi. .
Kama siyo wa kujitolea usiende kulemamluki ua hawakosi
nani kasema anaendaKama siyo wa kujitolea usiende kule
Twende mkuu tuka test mitambo lamda inaweza ikatiki si nasikia nafasi ni 500 hivo op Magu na Kikwete hawezi fikia hiyo idadi wenye vigezo.nani kasema anaenda
kumbe ni leoNaombeni mrejesho nini kinaendelea huko, hasa kwa mjibu wa sheria wanaruhusiwa?




, watu tushakul shavu tpa