Mwanangu utakuja kunihadithiaššmujibu wa sheria tunavamia bogi.
kwa herufi kubwa TUNAVAMIA BOGI
Mwanangu utakuja kunihadithiaššmujibu wa sheria tunavamia bogi.
kwa herufi kubwa TUNAVAMIA BOGI
Wale walio VAMIA BOGI la Madaktari wakati wa usaili TPDF waje watupe mrejesho. Watuhadithie maana hakuna formula huko na wale wa mujibu tunao taka KUVAMIA BOGI tupo na si haba mtaani pametupa Molari. Kwa kuwa kwenye kila KIBANGALA cha Mamba kitakachokuwa kinakatwa Kenge hatukosekani maana walisema "kwenye msafara wa Mamba Kenge hawawezi kosekana."Mwanangu utakuja kunihadithiašš
Hahahah ila watu wamujibu hiko cheti mnakitumiaga vizuri aseeššš hamvungiii yaani nakumbuka hata zile za TPA watu walivamia tu na wakapiga fresh.Wale walio VAMIA BOGI la Madaktari wakati wa usaili TPDF waje watupe mrejesho. Watuhadithie maana hakuna formula huko na wale wa mujibu tunao taka KUVAMIA BOGI tupo na si haba mtaani pametupa Molari. Kwa kuwa kwenye kila KIBANGALA cha Mamba kitakachokuwa kinakatwa Kenge hatukosekani maana walisema "kwenye msafara wa Mamba Kenge hawawezi kosekana."
mazee ka vp tuunde group la watsapp kuna maafisa uhamiaji wawili wamenipa details tukifukuzwa bas, ila twende mazeee, ilmrad atutapgwa, na wala hatuna vyetu fake, na hatupo mkoani yaani hamna hasaraWale walio VAMIA BOGI la Madaktari wakati wa usaili TPDF waje watupe mrejesho. Watuhadithie maana hakuna formula huko na wale wa mujibu tunao taka KUVAMIA BOGI tupo na si haba mtaani pametupa Molari. Kwa kuwa kwenye kila KIBANGALA cha Mamba kitakachokuwa kinakatwa Kenge hatukosekani maana walisema "kwenye msafara wa Mamba Kenge hawawezi kosekana."
Hahahah ila watu wamujibu hiko cheti mnakitumiaga vizuri aseehamvungiii yaani nakumbuka hata zile za TPA watu walivamia tu na wakapiga fresh.
Eti Huu ni upotoshaji? au kuna nia ovu hapa? Maana wenyewe JKT wamekana! sasa cha ajabu kwenye hiyo website yao tangazo lipo linataka vijana wafike Mgulani tarehe 10 August, 2019!!! au mtandao wao umedukuliwa??Idara ya uhamiaji yatangaza Fursa za ajira. Kuangalia sifa na maelezo zaidi pitia website ya www.jkt.go.tz..
Soma vizuri hyo barua ya kukakunisha Ni ya mwez gan. Then utaelewaEti Huu ni upotoshaji? au kuna nia ovu hapa? Maana wenyewe JKT wamekana! sasa cha ajabu kwenye hiyo website yao tangazo lipo linataka vijana wafike Mgulani tarehe 10 August, 2019!!! au mtandao wao umedukuliwa??
Binfsi si-elewi!
we acha kutukatisha tamaa, au unaijua kesho yakoMimi natoa tahadhali tu kwamba kwa wale walioenda mujibu wa sheria wasithubutu kwenda na kama hamkubaliani na mimi sawa mtakuja simulia wenyewe
Asante ni ya Julai 3, 2019! na hili tangazo linataka wasahiliwa Agosti 10, 2019 eneo ni lilelile!! Haya ya kuambiwa nimesikia na ya-kuona nimeona, sasa nami nijiongeze ki-vyanguSoma vizuri hyo barua ya kukakunisha Ni ya mwez gan. Then utaelewa
kuvamia bogi Kama kawamaafisa wa uhamiaji wanasema we nenda ukirudshwa bas we unatuombea mabaya, mbona una roho mbaya jamaa
Ninasemaje nendeni na msisahau kuja kutuhadithia mtakayoyapata hukomaafisa wa uhamiaji wanasema we nenda ukirudshwa bas we unatuombea mabaya, mbona una roho mbaya jamaa