Jstar1
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,392
- 1,416
ungeenda, watagawa magrouo naisNaombeni mrejesho nini kinaendelea huko, hasa kwa mjibu wa sheria wanaruhusiwa?
ungeenda, watagawa magrouo naisNaombeni mrejesho nini kinaendelea huko, hasa kwa mjibu wa sheria wanaruhusiwa?
Nyie Dogo keshatoboa TPA 😃😃 ndo maana hana habari tena na ule uzi wako wa kwenda DOHA vipi.nani kasema anaenda
Sipati picha chuoni watakoma naona😀😀 hizi tambo wanajua wana walokuwa wanakucheka.kumbe ni leo, watu tushakul shavu tpa
kuna mwngne alsemaga nmekosa kabisa wakat hajui loloteSipati picha chuoni watakoma naonahizi tambo wanajua wana walokuwa wanakucheka.
kumbe kulikua na umatiWatu walikua wengi Kama ..elfu 4 hivi bt walio fanyiwa usaili Ni OP kikwete na mgufuli kujitolea tu! Wengine walipigwa chini mapema sana
Pole mkuu ila mbona Tangazo lilisem vigezo vyote tunafeli wapi wasomi wenzangu ku risk hela hivyo kwa vigezo ambavyo wameshaweka.Nimeumia sana baada ya kutoka Shinyanga kuja dsm kujaribu bahati yangu kwa usaili wa uhamiaji na kuambiwa kuwa mimi mjibu wa sheria OP kikwete siruhusiwi hata kusogea tu.
Am very disappointed
Dah pole mkuu ni kweli najua Vijana tuna hali gani Awamu hii.Mkuu hali ngumu wakati mwingine tunaona bora tukajaribu bahati zetu, vigezo vingine vyote vipo sawa kabsa isipokuwa OP tu.
broo saiv umekua mtoa ushauriDah pole mkuu ni kweli najua Vijana tuna hali gani Awamu hii.
Tulopitia hii njia tunaelewa usife moyo
endelea kupambana kiongozi.
Mimi mdau sana wa hili jukwaa Kiongozi naamini hata wewe nilikupa madini siunakumbuka au umesahau?broo saiv umekua mtoa ushauri
nakumbuka manMimi mdau sana wa hili jukwaa Kiongozi naamini hata wewe nilikupa madini siunakumbuka au umesahau?