Uhamiaji wanahoji Uraia wangu. Kwanini?

Uhamiaji wanahoji Uraia wangu. Kwanini?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,925
Reaction score
51,010
Siku ya Uteuzi wangu kuwa Mgombea Udiwani Kata ya Gangilonga niliwekewa pingamizi la umri wangu. Nilipeleka vielelezo nikashinda.

Jana niliitwa UHAMIAJI kwamba nashukiwa Uraia wangu. Wanadai kuzaliwa na kukulia Tanzania hakutoi hakikisho la kwamba Mimi ni raia.

Kwa nini wanahoji Uraia wangu baada ya kugombea Udiwani!!
 
Hauku hojiwa na uzalendo wako Kama halisi au laa
 
Sio wewe tu peke yako Watanzania wengi sana hawajijuhi kama SIO raia.Watanzania wengi tu wanaishi kwa mazoea tu.Sheria yetu ya uraia ni mbaya sana kwa Watu wa Mipakani.
Kwanini iwe mbaya kwa watu wa mipakani.
 
Utakuwa umegusa sharubu za simba (Wenye nchi) wakati anakula nyama.
 
Kwani kuhoji uraia wako siyo jukumu lao? Kama wewe Ni mtanzania kweli wathibitishie hao maana ndiyo wenye mamlaka hayo, usitafute huruma humu maana hatukufahamu background yako.

Peleka vielelezo ili uwahakikishie unachokiamini.
Mataga bana, wewe bibi yako alipaswa kuambiwa sio raiya mrudishwe kinshasa mkacheze kiwasenza na mijegejo
 
Back
Top Bottom