Uhamiaji wanahoji Uraia wangu. Kwanini?

Uhamiaji wanahoji Uraia wangu. Kwanini?

Siku ya Uteuzi wangu kuwa Mgombea Udiwani Kata ya Gangilonga niliwekewa pingamizi la umri wangu. Nilipeleka vielelezo nikashinda.

Jana niliitwa UHAMIAJI kwamba nashukiwa Uraia wangu. Wanadai kuzaliwa na kukulia Tanzania hakutoi hakikisho la kwamba Mimi ni raia.

Kwa nini wanahoji Uraia wangu baada ya kugombea Udiwani!!

Wakishindwa kwenye uraia wako watakuja kwenye jinsia yako, hawana maana hao.

Mkuu,Wewe ni kutoka mkoa gani ???--- Kigoma nini??!
 
Mkuu, kajieleze" kwani huna uwezo wa kujieleza wewe?

Sikulaumu, Ila nazilaumu Sheria zetu na ukarimu wa Watanzania, huko nyuma Taifa letu tulikuwa tukiishi na wahutu kibao na Watusi wengi tu, sasa mtu akishukiwa, kazi ni kujieleza tu yanaisha kwani ni kawaida
 
Hapohapo ndiyo pakuchom[SUP]O[/SUP]kea,waambie ww ni mdachi uzamie huko baadae unarudi bongo fullshavu
 
Kwani kuhoji uraia wako siyo jukumu lao? Kama wewe Ni mtanzania kweli wathibitishie hao maana ndiyo wenye mamlaka hayo, usitafute huruma humu maana hatukufahamu background yako.

Peleka vielelezo ili uwahakikishie unachokiamini.
Shida Ni kwa nini sasa wakati Wa uchaguzi?
 
Siku ya Uteuzi wangu kuwa Mgombea Udiwani Kata ya Gangilonga niliwekewa pingamizi la umri wangu. Nilipeleka vielelezo nikashinda.

Jana niliitwa UHAMIAJI kwamba nashukiwa Uraia wangu. Wanadai kuzaliwa na kukulia Tanzania hakutoi hakikisho la kwamba Mimi ni raia.

Kwa nini wanahoji Uraia wangu baada ya kugombea Udiwani!!

Kama hili lina 'Ukweli' basi 'nimesikitika' sana tu kwani nina 'uhakika' hata hapo UHAMIAJI tukisema 'tukague' Watanzania 'halisi' anaweza asiwepo.
 
Siku ya Uteuzi wangu kuwa Mgombea Udiwani Kata ya Gangilonga niliwekewa pingamizi la umri wangu. Nilipeleka vielelezo nikashinda.

Jana niliitwa UHAMIAJI kwamba nashukiwa Uraia wangu. Wanadai kuzaliwa na kukulia Tanzania hakutoi hakikisho la kwamba Mimi ni raia.

Kwa nini wanahoji Uraia wangu baada ya kugombea Udiwani!!
dah... pole sana mkuu. but hili nalo litapita tu!
 
Kwani kuhoji uraia wako siyo jukumu lao? Kama wewe Ni mtanzania kweli wathibitishie hao maana ndiyo wenye mamlaka hayo, usitafute huruma humu maana hatukufahamu background yako.

Peleka vielelezo ili uwahakikishie unachokiamini.
Vielelezo kama nini vile?cheti za kueleza kama wewe ni shoga mbobezi?
 
Kwani kuhoji uraia wako siyo jukumu lao? Kama wewe Ni mtanzania kweli wathibitishie hao maana ndiyo wenye mamlaka hayo, usitafute huruma humu maana hatukufahamu background yako.

Peleka vielelezo ili uwahakikishie unachokiamini.
Hivi hadi leo hufahamu kuwa suala la uhamiaji kwa TZ, Linatumika kama silaha ya kisiasa?!!
 
Wakwambie basi Kama wewe siyo mtanzania. Nchi yako ni ipi ili ukagombee huko kuliko kukupotezea muda.
Wewe si raia yaani wewe si mtanzania wanadhani wewe Ni wa nchi gani? Unagombea kupitia CCM au ,pambana Hadi kiama mkombe.
 
Siku ya Uteuzi wangu kuwa Mgombea Udiwani Kata ya Gangilonga niliwekewa pingamizi la umri wangu. Nilipeleka vielelezo nikashinda.

Jana niliitwa UHAMIAJI kwamba nashukiwa Uraia wangu. Wanadai kuzaliwa na kukulia Tanzania hakutoi hakikisho la kwamba Mimi ni raia.

Kwa nini wanahoji Uraia wangu baada ya kugombea Udiwani!!
Mbona unaleta habari nusunusu? Sema wewe Raia wa wapi, Kama mtanzania taja Kijiji kata tarafa na wilaya halafu uimbe wimbo wa taifa.
 
Back
Top Bottom