Uhamiaji walikuwa hawakujui lakini kwa vile umeamua kujipambanua lazima wafuatilie uraia wako, si wewe tu bali Wagombea wote hufuatiliwa Uraia wao na kujiridhisha. Cha msingi peleka vielelezo kuthibitisha uraia wako badala ya kuleta malalamiko humu JF maana hakuna kura za hurumu humuSiku ya Uteuzi wangu kuwa Mgombea Udiwani Kata ya Gangilonga niliwekewa pingamizi la umri wangu. Nilipeleka vielelezo nikashinda.
Jana niliitwa UHAMIAJI kwamba nashukiwa Uraia wangu. Wanadai kuzaliwa na kukulia Tanzania hakutoi hakikisho la kwamba Mimi ni raia.
Kwa nini wanahoji Uraia wangu baada ya kugombea Udiwani!!
CHADEMA!!Umegombea kwa chama gani? Tuanzie hapo
Kila la kheri kwenye yafuatayoHili jambo nimelimaliza salama. Wale wanaozua kwamba ni kila Mgombea huhojiwa kuhusu Uraia waache kwani haiwasaidii.
Ujinga wa kutumia taasisi za umma kwa faida binafsi sio sawa.
Amezaliwa Tanzania. Kasema na kukulia Tanzania. Anaishi Tanzania. Alipogombea ndio uraia wake una mashaka?Una uhakika gani kama ni mtanzania? Huenda ni masalia ya wapigania uhuru wa Zimbabwe na alizaliwa huko Zimbabwe.
Atoe uthibitisho.Amezaliwa Tanzania. Kasema na kukulia Tanzania. Anaishi Tanzania. Alipogombea ndio uraia wake una mashaka?
2010 ccm walimuengua Hussen Bashe kugombea jimbo la Nzega mjini kwa kigezo hakuwa raia wa Tanzania.Siku ya Uteuzi wangu kuwa Mgombea Udiwani Kata ya Gangilonga niliwekewa pingamizi la umri wangu. Nilipeleka vielelezo nikashinda.
Jana niliitwa UHAMIAJI kwamba nashukiwa Uraia wangu. Wanadai kuzaliwa na kukulia Tanzania hakutoi hakikisho la kwamba Mimi ni raia.
Kwa nini wanahoji Uraia wangu baada ya kugombea Udiwani!!
Hawataki wasio raia kuwa viongozi. Kama wewe ni raia halali si upeleke evidence tu iishe!! Sasa unakuja kulalamika huku hakuna wakukusaidi mkuu!Siku ya Uteuzi wangu kuwa Mgombea Udiwani Kata ya Gangilonga niliwekewa pingamizi la umri wangu. Nilipeleka vielelezo nikashinda.
Jana niliitwa UHAMIAJI kwamba nashukiwa Uraia wangu. Wanadai kuzaliwa na kukulia Tanzania hakutoi hakikisho la kwamba Mimi ni raia.
Kwa nini wanahoji Uraia wangu baada ya kugombea Udiwani!!
Kuishi unaweza ukaishi tu lakini unapotaka kuingia kwenye uongozi lazima wawe makini zaidi tusije ongozwa na watu ambao siyo raia. Nafikiri hiyo ni sawa tu!Amezaliwa Tanzania. Kasema na kukulia Tanzania. Anaishi Tanzania. Alipogombea ndio uraia wake una mashaka?
Kwa nini mantiki nyepesi tu zinawashinda kuzielewa??Kuishi unaweza ukaishi tu lakini unapotaka kuingia kwenye uongozi lazima wawe makini zaidi tusije ongozwa na watu ambao siyo raia. Nafikiri hiyo ni sawa tu!
Swali hilo muulize mwanasheria wako.Siku ya Uteuzi wangu kuwa Mgombea Udiwani Kata ya Gangilonga niliwekewa pingamizi la umri wangu. Nilipeleka vielelezo nikashinda.
Jana niliitwa UHAMIAJI kwamba nashukiwa Uraia wangu. Wanadai kuzaliwa na kukulia Tanzania hakutoi hakikisho la kwamba Mimi ni raia.
Kwa nini wanahoji Uraia wangu baada ya kugombea Udiwani!!
Wewe katetee uraia wako mkuu!Kwa nini mantiki nyepesi tu zinawashinda kuzielewa??