Uhamiaji wanafanya nini? Kumbe Hussein Bashe si Raia!

Status
Not open for further replies.
Wacha Wafu wazike Wafu wao.

na kweli wafu wazike wafu wao ,utajua tuu kuwa ni umbeya na majungu mpaka wanakosa fahamu kuelewa sheria,kama amesha thibitisha bashe kazaliwa tanzania .tayari hiyo ni raia .anachopaswa bashe kufanya ni atakapo fikisha miaka 18 kwaku wazazi sio raia ni kukana au kuukubali uraia wa wazazi wake, kuukana na kuwa raia kamili wa tanzania ,na hii nisheria inayo husu ata kama wazazi walikuja Tanzania kikazi kwa mkataba wa mwaka 1 wakizaa mtoto ni raia wa Tanzania ,sasa hayo wamaelezo yote ya masanja hayana maana ni upuuzi .haswa kitendo cha kuthibitisha bashe alizaliwa nzega ,hawa magamba majungu kama ndio ugali vile
 
Siasa noma! Wakati anamchimba mkwara mwenzake kuwa anatumia jina ambalo si lake,jamaa naye kaingia chimbo na kuibuka na haya,bila kuwa na mtu wa kumshika mkono,Bashe atapotea katika siasa!
 
Mi navojua kama alizaliwa hapa basi ni raia hata kama mimba ilipachikwa somaliland.
 
na kweli wafu wazike wafu wao ,utajua tuu kuwa ni umbeya na majungu mpaka wanakosa fahamu kuelewa sheria,kama amesha thibitisha bashe kazaliwa tanzania .tayari hiyo ni raia .anachopaswa bashe kufanya ni atakapo fikisha miaka 18 kwaku wazazi sio raia ni kukana au kuukubali uraia wa wazazi wake, kuukana na kuwa raia kamili wa tanzania ,na hii nisheria inayo husu ata kama wazazi walikuja Tanzania kikazi kwa mkataba wa mwaka 1 wakizaa mtoto ni raia wa Tanzania ,sasa hayo wamaelezo yote ya masanja hayana maana ni upuuzi .haswa kitendo cha kuthibitisha bashe alizaliwa nzega ,hawa magamba majungu kama ndio ugali vile

kaniudhi sana huyu mwenye uzi.kwanza kanimalizia charge kuscroll habari yake.
Pili bundle ,kwa mambo ganyash**z*.
Inaeleweka hata mkeo akiwa safarini state au nchi yeyote pale akijifungua mtoto anahesabika wa huko mpaka aje akane.
Sasa huyu manumbu...i mean masanja atwambie lini bashe aliukana uraia wa Tanzania.
 
Aha ha ha ha ha ha!!! kwi kwi kwi kwi kwi kwi!! teh teh teh teh teh!!!........Nimeupenda upuuzi wa CCM, huyu jamaa aliyeandika hii barua ametumai muda mwingi kumfuatilia Bashe na isitoshe watakuwa wana bifu la maana au katumiwa na watu wazito serikalini. Kama ni kweli JK alishawahi pia kuunga mkono kuwa Bashe sio raia basi, lazima kijana amwagwe ktk nafasi anayoitamani ukizingatia Rostam aliyekuwa anamsapoti kwa hali na mali kashajitoa ktk siasa uchwara za CCM, lazima wabaya wake ndani ya chama wamgombanie kama mpira wa kona. Se yetu macho, na hilo ni trela tu tuendelee kusubiria akina Kigwangalla, Kinana, Nkono na wengio watakuja na nyimbo zipi kama majina yao yakipigwa chini.

Magamba kazi wanayo na wasipokuwa makini huu ndo mwanzo wa kumalizana wenyewe kwa wenyewe. Mungu awajalie wafe kifo kisicho na mateso.
 
Katika dokumenti hizo inaonekana kama baba yake ana miaka miwili ya kuzaliwa. Fomu ya kwanza inaonekana alizaliwa mwaka 1928 na nyingine inadai mwaka 1947. Sasa sijui ukweli ni upi.
 
hapa swali ni moja tu alipofikisha umri wa miaka 18 aliukana uraia wa somalia?
 
Inaonekana Nzega kuna tatizo, iweje wengine wanaambiwa si raia (Bashe) na wengine wanatumia majina yasiyo yao (Mh. Kigwangallah). Inabidi tutafakari na kuchukua hatua.
 
Hivi huyu kijana Bashe imeshindikana kupambana nae kwa hoja hadi swala la uraia liwe issue kila siku? si amesafishwa huyu na vyombo vyetu?
 
Kweli Dr Kigwangala safari hii umefanya utafiti wa kutosha kuhusu Bashe. Big up lakini na wewe suala la kutumia jina la mtu bado hujalitolea ufafanuzi wa kutosha.
 
Naona Dr. Vitumbua anaendeleza mapambano dhidi ya bashe.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hivi huyu kijana Bashe imeshindikana kupambana nae kwa hoja hadi swala la uraia liwe issue kila siku? si amesafishwa huyu na vyombo vyetu?

Mdogo wake yuko CDM yeye hapigwi zengwe tusubiri uchaguzi akichukua form tu..................wanamkaba
 
Kuna haja ya Lukas Selelii kupiga jaramba mapema kupitia tiketi ya nguvu ya umma,NZEGA wamechoka na malumbano.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom