Tabu ya wa tz kujifanya wachambuzi wa mambo kila mtu, kama inshu ya bashe ya uraia mbona uzi umekaa kichuki chuki tu na family ya bashe?
Kama sheria inasema mtu akikaa miaka 10 anastahili kupewa urai sasa unahoji nini kuhusu urai wa bashe wakati kazaliwa nzega? Kifupi mimi namfaham bashe namfaham baba yake sheikh Ibrahim ni mtu maarufu sana pale nzega kwa miaka mingi sana,
Nimekulia nzega nimesomea nzega,
Kwanza sijaona sababu ya msingi ya bashe kwenda kuomba urai wakati kazaliwa tz na nchi pekee aliyowahi kuishi,
Nadhani bashe anamtembeza ulimi nje kigwangala ndio sababu ya haya majungu,
Na nilisahau ule uamuzi wake umeishiwa wapi naona kimya, chezea posho wewe!!!?