na wewe unakuwayaani hapo ndio upeo wa akili yako ulipoishia? au kwa kuwa mtoa uzi hamshei mama? kwa taarifa yako kila dhuluma moja kwa mtanzania ni hasara kwa taifa zima we poyoyo; na bahati yako hapa siwezi kukuzaba vibao
Mkuu Freeland ubaguzi wa Waafrika unatokana na wao kubaguliwa kwa kiasi kikubwa sana..kwanhiyo ile hali ya wao kubaguliwa kwa miaka na miiaka inawafanya na wao kuwa na "roho ngumu" ya kubagua...Ukitaka kujua hilo,basi soma sehemu ya Quotes ya Mario Balotelli
View attachment 326548
Wanayo makaratasi yote...n huyu mvivu analalamika tu hapaSuala siyo kuajiriwa wageni, suala ni wageni kuwa na makaratasi yanayowaruhusu kuajiriwa.
Kwani Coca-Cola Kwanza ikiwa ya Mengi ndio isimulikwe na vyombo vya dola?
kwenye private sector mshahara wako ni bargaining power yakoWacha uzembe wa kufikiri. Just imagine, mtanzania ni mhasibu, salary yake ni 650,000/- lkn PS wa MD ni mhindi, mshahara wake 2,650,000/-. We unaona sawa?
kwani hapa kuna kongamano la vyama? wewe unawakilisha chama gani arif?Chadema muwe makini sana tena sana uchaguzi ujao mnaweza msipate jimbo lolote labda kwenu kaskazini. Watu wanaiona rangi yenu halisi sasa.
mlalamikaji halalamikii ishu ya vibali ila analalamikia jamaa kupewa laki sita ya msosi.vibali vipohili jamaa akili yakeina matatizo nenda nchi nyingine uishi au kufanya kazi bila kibali ndio utajua kwanini tunatakiwa kuchukua hatua
of course most of you are incompetentincompetent y'A%s%s kumbe sikukosea kukuita poyoyo
acheni hasira onyesha productivity yako utalipwa vizuriHuelewi kitu unachoongea ndugu yangu. Ila bila shaka ww utakuwa ni kijana mmoja hvi mpuuzi sana , ambaye bado unanyonya kwa wazazi..
Haya kazana sana
Kumbe uhamiaji wamekula rushwa!!!!Sio Coca Cola kwanza tu mkuu,week kadhaa zimepita maafisa wa Uhamiaji toka Mkoa wa Kibaha walitembelea Makao Makuu ya Lake Oil Kibaha,pale tulitoa taarifa kuwa kuna wageni wengi wasio na uhalali wa kufnya kazi Tz,sbb kazi wanazofanya ni za kawaida sana ambazo zinaweza kufanywa na wazawa..Lakini wale mabos wasio na vibali walijifungia chooni na wengine walijificha darini,jamaa wa Uhamiaji wakaondoka na kurudi siku ya tatu yake
Wakala mkwanja wao then wakasepa,tulipowauliza wakasema wao hawana mamlaka ya kuwaondoa sbb vibali vya kazi vinatolewa na Idara ya Kazi na si wao Uhamiaji hivyo ikifika hapo wao hawana meno.Mpaka sasa pale Lake Oil kuna wahindi wasio na uhalali wa kukaa,wanatembea usiku tu mtaani mchana wanajifungia kwenye ofisi na magodauni...Tembeleeni tena Lake Oil kusafisha hawa wageni wasio na uhalali wa kukaa nchini,Uhamiaji Mkoa wa Kibaha hawa jamaa huwa wanafichwa chooni mkija
Wako kama polisi tu.Hii Idara ya Uhamiaji ilitakiwa ivunjwe kabisa iundwe upya/nyingine
Hawa watu wanachojua ni kupokea rushwa tu.
You must be out of your mind. Kwanini wasilipwe hiyo laki sita kwao?hapa ni nini hasa..wivu wa watu kulipwa laki sita ya chakula au?
hio ni kampuni binafsi arif
You must be out of your mind. Kwanini wasilipwe hiyo laki sita kwao? Hamna nchi yoyote duniani inayowaachia wageni kuajiriwa kiholela kama unavyotaka kutuaminisha. Kama wwe ni mmoja wao, pack and go before..........
Naona huwajui wahindi wewe kwa wizi!
Ninavyofahamu mimi sheria ya uwekezaji inamtaka mwekezaji asiajiri wageni zaidi ya 5 lakini Coca wamezidi wapo 17!! ni ajabu sana said:Hii Ya kuajiri more than 5 foreigners ni kweli?
Country Salle's and marketing ( Nalacka ) ni muhindi
of course most of you are incompetent
utawala wa sasa ni wakukurupuka na kushtukiza,labda zamu yenu itakuwa mwezi wa saba mwaka 2019Kwakweli nchi hii inasikitisha sana. Vijana wetu wanalia hawana ajira huku baadhi ya nafasi za ajira wanapewa wageni kutoka nje tena kinachosikitisha zaidi unakuta kazi wanazofanya hata watanzania wanaweza kuzifanya. Tena utakuta hao wageni hata vibali vya kufanya kazi hapa nchini hawana.
Tazama, mimi ni mwajiriwa kwenye kampuni ya Cocacola Kwanza ( Mikocheni ). Hapa kwetu Secretary wa mkurugenzi ( MD ) ni raia wa Somalia.
Operation manager ( Oloto ) ni Mkenya
Warehouse manager ( Otaigo ) ni Mkenya
Country Salle's and marketing ( Nalacka ) ni muhindi
Logistic manager ( Pankaj ) ni muhindi
Hapa kwetu yupo fundi gereji mzungu hata kiswahili tu hajui. ( Hivi nchi hii haina mafundi gereji bingwa hadi waje hawa wazungu?? )
Ndugu zangu, hawa niliowataja hapa juu ni wachache mno. Ukweli ni kwamba kuna wageni wengi sana hapa Cocacola. Mishahara wanayolipwa ndo balaa sasa. Kuna watu hapa Cocacola kwanza wanafahamika kama experts. Hawa ndo usiseme kabisa. Kwanza inasemekana wanalipwa kwa dollar. Tazama, hawa watu kila ijumaa wanapewa laki 6 kila mmoja ( pesa ya kutumia weak end). Nyumba, gari, mafuta, chakila matibabu nk wanalipiwa na kampuni. Na kwa kweli kazi wanazofanya hata hawa vijana wetu wa kitanzania wanaweza kabisa kuzifanya.
Juzi maafisa wa uhamiaji walifika hapa kazini. Lakini wageni wote walishtuana na kutoweka na wengine magari yao waliyaterekeza. Mwishowe maafisa hao wa uhamiaji wakaishia kuwakama vijana wadogo wadogo ambapo mmoja tunamfahamu ni mkenya. Ila wale vigogo walitoweka karibu wote. Sasa hivi hawa watu wanakuja kazini kwa kunusa tu yaani kwa kuchungulia.
Maafisa wa uhamiaji hebu njooni tena hapa Cocacola Kwanza ltd (mikocheni ) mje mfanye msako wa kina. Kuna wageni kibao hapa. Njooni jamani. Tena muanze na Oloto , Otaigo na Pankaj maana hawa watu wanajiona wadogo zake mungu mbele ya wazawa.
( Nchi hii itaendelea kweli kama tukiwazarau wazawa na kuwajari wageni? )
bora hao wabongo wanaajira za kudumu huku kwa mengi sis ni vibarua na wapakiaji masanduku ya vyoda sehem zenye tija wahindi ndo wapo na wakenyaBakhresa food products ltd(csd)
1.gm-south African
2.finance controllers-indian
3.production supervisors-kenyans
4.head plant cleaner-kenyan
5-epr officers & managers-kenyans and Indians
6.Boilers-philipines
7.electrical manager-indian
8.Cost controllers Kenyan
9.internal auditor-indian
10.Mis Manager-indian
Watanzania wenye degree,masters they are working as technicians,hakuna XENOPHOBIA,dharau tu hiI