incompetent y'A%s%s kumbe sikukosea kukuita poyoyojitumeni acheni ku panic bila sababu...ninyi competence zero unategemea nani akuajiri...kwa taarifa yako Coca-Cola kwanza ni Ya mengi...hadi kufikia kuajiri wageni ninyi ni incompetent. ...
Kwakweli nchi hii inasikitisha sana. Vijana wetu wanalia hawana ajira huku baadhi ya nafasi za ajira wanapewa wageni kutoka nje tena kinachosikitisha zaidi unakuta kazi wanazofanya hata watanzania wanaweza kuzifanya. Tena utakuta hao wageni hata vibali vya kufanya kazi hapa nchini hawana.
Tazama, mimi ni mwajiriwa kwenye kampuni ya Cocacola Kwanza ( Mikocheni ). Hapa kwetu Secretary wa mkurugenzi ( MD ) ni raia wa Somalia.
Operation manager ( Oloto ) ni Mkenya
Warehouse manager ( Otaigo ) ni Mkenya
Country Salle's and marketing ( Nalacka ) ni muhindi
Logistic manager ( Pankaj ) ni muhindi
Hapa kwetu yupo fundi gereji mzungu hata kiswahili tu hajui. ( Hivi nchi hii haina mafundi gereji bingwa hadi waje hawa wazungu?? )
Ndugu zangu, hawa niliowataja hapa juu ni wachache mno. Ukweli ni kwamba kuna wageni wengi sana hapa Cocacola. Mishahara wanayolipwa ndo balaa sasa. Kuna watu hapa Cocacola kwanza wanafahamika kama experts. Hawa ndo usiseme kabisa. Kwanza inasemekana wanalipwa kwa dollar. Tazama, hawa watu kila ijumaa wanapewa laki 6 kila mmoja ( pesa ya kutumia weak end). Nyumba, gari, mafuta, chakila matibabu nk wanalipiwa na kampuni. Na kwa kweli kazi wanazofanya hata hawa vijana wetu wa kitanzania wanaweza kabisa kuzifanya.
Juzi maafisa wa uhamiaji walifika hapa kazini. Lakini wageni wote walishtuana na kutoweka na wengine magari yao waliyaterekeza. Mwishowe maafisa hao wa uhamiaji wakaishia kuwakama vijana wadogo wadogo ambapo mmoja tunamfahamu ni mkenya. Ila wale vigogo walitoweka karibu wote. Sasa hivi hawa watu wanakuja kazini kwa kunusa tu yaani kwa kuchungulia.
Maafisa wa uhamiaji hebu njooni tena hapa Cocacola Kwanza ltd (mikocheni ) mje mfanye msako wa kina. Kuna wageni kibao hapa. Njooni jamani. Tena muanze na Oloto , Otaigo na Pankaj maana hawa watu wanajiona wadogo zake mungu mbele ya wazawa.
( Nchi hii itaendelea kweli kama tukiwazarau wazawa na kuwajari wageni? )
Umeongea Point Sana Kuna Wahindi Kibao Hapa Nchini Wanatembea Usiku Tu Mchana WanajifungiaHii Idara ya Uhamiaji ilitakiwa ivunjwe kabisa iundwe upya/nyingine
Hawa watu wanachojua ni kupokea rushwa tu.
Mshkaji ana wivu wa kike,wenzio unamwona kama msomali lakini ni raia wa Tanzania!Pili,hao Wadosi ni experts,hapa ni nini hasa..wivu wa watu kulipwa laki sita ya chakula au?
hio ni kampuni binafsi arif
hili jamaa akili yakeina matatizo nenda nchi nyingine uishi au kufanya kazi bila kibali ndio utajua kwanini tunatakiwa kuchukua hatuahapa ni nini hasa..wivu wa watu kulipwa laki sita ya chakula au?
hio ni kampuni binafsi arif
jitumeni acheni ku panic bila sababu...ninyi competence zero unategemea nani akuajiri...kwa taarifa yako Coca-Cola kwanza ni Ya mengi...hadi kufikia kuajiri wageni ninyi ni incompetent. ...
Acha ujinga wewe , una akili kweli au we ni chizi.?? Unaelewa haya maswala ya ajira?
jitumeni acheni ku panic bila sababu...ninyi competence zero unategemea nani akuajiri...kwa taarifa yako Coca-Cola kwanza ni Ya mengi...hadi kufikia kuajiri wageni ninyi ni incompetent. ...
Wacha uzembe wa kufikiri. Just imagine, mtanzania ni mhasibu, salary yake ni 650,000/- lkn PS wa MD ni mhindi, mshahara wake 2,650,000/-. We unaona sawa?hapa ni nini hasa..wivu wa watu kulipwa laki sita ya chakula au?
hio ni kampuni binafsi arif
Wabongo mko shallow kwenye soko la ajira..incompetence..wavivu kujituma na wala hamna ubunifu..malizia but Jeuri vikabaila uchwara kama nyie ni wa kuchapwa makofi na kuwapigeni persona-non-grata in 24hrs
na nyie wagunya? wezi wa kubwa wa rasilimali za wazawa na manakuja na geneWabongo mko shallow kwenye soko la ajira..incompetence..wavivu kujituma na wala hamna ubunifu..
Wabongo mko shallow kwenye soko la ajira..incompetence..wavivu kujituma na wala hamna ubunifu..
Hamfanyi kazi bali tunawatuma kufanya kazi...wenyewe hamuwezi kujiongoza...mnaweza kuiba tu..na nyie wagunya? wezi wa kubwa wa rasilimali za wazawa na manakuja na gene
na nyie wagunya wezi wakubwa? mbona huongelei kuwa hapo idarani pako ww unalipwa mshahara wa bure kazi zote zinafanywa na sie utuitao incompetent .........stu.pi,d bast,stard!😡
Suala siyo kuajiriwa wageni, suala ni wageni kuwa na makaratasi yanayowaruhusu kuajiriwa.jitumeni acheni ku panic bila sababu...ninyi competence zero unategemea nani akuajiri...kwa taarifa yako Coca-Cola kwanza ni Ya mengi...hadi kufikia kuajiri wageni ninyi ni incompetent. ...
Mkuu Freeland ubaguzi wa Waafrika unatokana na wao kubaguliwa kwa kiasi kikubwa sana..kwanhiyo ile hali ya wao kubaguliwa kwa miaka na miiaka inawafanya na wao kuwa na "roho ngumu" ya kubagua...Ukitaka kujua hilo,basi soma sehemu ya Quotes ya Mario Balotellinani amekwambia hawana uhalali?
we hujui tu...Hakuna mijitu mibaguzi kama mijitu meusi ...huoni yanachofanya zanzibar
Hamfanyi kazi bali tunawatuma kufanya kazi...wenyewe hamuwezi kujiongoza...mnaweza kuiba tu..
wewe ni pumbaf na lofa. kwanin unakuwa mjinga hivi. ufanyweje uwe mzalendo. wanawake kama nyinyi mkiwa hata hamsini hapa nchini nchi haitakaa iendelee kamweWaache wageni wafanye kazi, sisi tukatekeleze sera ya kilimo kwanza