Uhamiaji Badilikeni: Acheni kufanya kazi kwa mazoea

Manelezu

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
1,510
2,000
Kati ya taasisi za serikali inayonishangaza katika utendaji wake ni uhamiaji. Especially linapokuja suala la international passport, acheni bureaucracy.

Jana nilienda na rafiki yangu ambayo wote tulikuwa na sababu zetu, mmoja akitaka kurenew passport apate ya electronic, mwingine ndio anataka passport kwa mara ya kwanza, kwakweli nilijua you have changed lakini nimekutana na mambo yale yale ya kipindi kile natafuta passport Kwa Mara ya kwanza "bureaucracy".

Hivi niwaulize do someone need a reason that is so appealing to you guys ili mumpe passport?

Just imagine mtu una passport ambayo tayari umeisafiria nchi kibao umeona urenew upate ya electronic lakini bado kuna unaletea usumbufu, what reason do you need? Hivi kwanini kigezo chenu kisiwe mtu ni Mtanzania na mkaconfirm 100% ni Mtanzania then mkampatia? Hivi dunia ya leo do I need a complex reason that is so appealing ili tu nipewe passport? Seriously?

Dunia mbona imebadilika sana? Tunataka kuwa kama hawa watu weupe harafu mambo yetu bado ya aina hii? .

Yani ninaweza kuwa na vijisenti vyangu bank nikasema aisee nasikia Wachina wameendelea sana jebu ngoja nikaone na Mimi. Hiyo ni sababu tosha sana! Sio lazima niseme naenda China kununua nguo au machine or whatever reason you think is much better that this one.

Jamani dunia imebadilika, hebu acheni haya mambo ya " kishamba" mtu kama ni Mtanzania, mmejihakikishia hivyo basi MPE, acheni usumbufu, probably I wanna go to China and wanna "bung" a Chinese, do you really wanna know? What if that is my legit reason? Aisee toa passport, acheni haya mambo kufikiri ukipata passport ni kama port of gold, hicho ni kitambulisho tu cha Mtanzania nje ya nchi na ni HAKI YAKE!
 
Samwel Ngulinzira

Verified Member
Aug 5, 2017
1,711
2,000
Naunga mkono hoja...Ongeza na hili, mtu yoyote akienda kuomba passport lazima wamwambie sio raia pamoja na maneno ya kukatisha tamaa.
"Rudi kesho", " unatusumbua", "kwanza unafanana na Wakenya utakua Mkenya wewe". Uhamiaji kuna haja ya kuufanyia mabadiliko.
Napendekeza uhamiaji wafanye kazi ya kuthibitisha uraia halafu passport zitoke TRA kama walivyofanya kwenye leseni za udereva
 
TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
9,548
2,000
Naunga mkono hoja...Ongeza na hili, mtu yoyote akienda kuomba passport lazima wamwambie sio raia
Doooh.

Sasa wakishakwambia siyo Raia ndiyo hawakupi kabisa Ppt au wanakutikisa tu ili uwape chochote kitu?

Mi hizi kero nikifikaga pale nakamata mmoja namvutia Laki yake na nusu namwambia niko kwenye kibanda cha chips pale nje, utaniita zamu yangu ikifika.. Na ppt unaondoka nayo the same Day.
 
Mzigua90

JF-Expert Member
Sep 23, 2014
35,720
2,000
Mimi kuna kaka aliniambia, "kupata passport sio kitu kirahisi dada unatakiwa kuihangaikia. Wenzio wanakujaga mara 30 na wanakosa, wewe mara mbili tu unalalamika".

Wameshaona kusumbua watu hata kwa makosa yanayosababishwa na kupishana kwao maelezo basi ni sawa tu.
Walinikasirisha mpaka midomo ikawa inacheza.

Sema nikatumia kujuana kwangu nikaipata week tu na sikutoa hela yoyote zaidi ya hela halali inayolipwa
 
st44273

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
337
225
Naunga mkono hoja...Ongeza na hili, mtu yoyote akienda kuomba passport lazima wamwambie sio raia pamoja na maneno ya kukatisha tamaa.
"Rudi kesho", " unatusumbua", "kwanza unafanana na Wakenya utakua Mkenya wewe". Uhamiaji kuna haja ya kuufanyia mabadiliko.
Napendekeza uhamiaji wafanye kazi ya kuthibitisha uraia halafu passport zitoke TRA kama walivyofanya kwenye leseni za udereva
Naunga mkono hoja,hivi inaingia akilini mtu unaenda ku renew passport ambayo umekaa nayo miaka nenda rudi,una national id bado unawekewa mizengwe mara oh we will mtanzania,mara uje na invitation letter na visababu vingi tu ambavyo havina msingi wowote. Ingekuwa vizuri utoaji wa passport wangepewa wengine hasa TRA kama ulivyosema. Wao uhamiaji wabaki na mambo ya uhamiaji/uraia tu.
 
Mzigua90

JF-Expert Member
Sep 23, 2014
35,720
2,000
Kwanza wanaongea kibabe sana jamani. Hawana lugha laini ya kumjibu mtu. Huu usumbufu wanawapa watu ni kuonyesha tu ubabe wao ndio maana vitu vidogo tu mtu anasumbuliwa navyo hata mara 5
 
Manelezu

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
1,510
2,000
Doooh.

Sasa wakishakwambia siyo Raia ndiyo hawakupi kabisa Ppt au wanakutikisa tu ili uwape chochote kitu?

Mi hizi kero nikifikaga pale nakamata mmoja namvutia Laki yake na nusu namwambia niko kwenye kibanda cha chips pale nje, utaniita zamu yangu ikifika.. Na ppt unaondoka nayo the same Day.
Haya ndio mambo hatuyataki, aisee passport mpaka nihonge? Tutaendelea kweli? Hata Ku renew tu na lishangongwa Mara kibao nchi kibao? Mara leta leseni ya biashara, Mara kalete invitation letter, Mara vile, the helll? Damn! Whats wrong with our heads?
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
15,673
2,000
Kati ya taasisi za serikali inayonishangaza katika utendaji wake ni uhamiaji. Especially linapokuja suala la international passport, acheni bureaucracy.

Jana nilienda na rafiki yangu ambayo wote tulikuwa na sababu zetu, mmoja akitaka kurenew passport apate ya electronic, mwingine ndio anataka passport kwa mara ya kwanza, kwakweli nilijua you have changed lakini nimekutana na mambo yale yale ya kipindi kile natafuta passport Kwa Mara ya kwanza "bureaucracy".

Hivi niwaulize do someone need a reason that is so appealing to you guys ili mumpe passport?

Just imagine mtu una passport ambayo tayari umeisafiria nchi kibao umeona urenew upate ya electronic lakini bado kuna unaletea usumbufu, what reason do you need? Hivi kwanini kigezo chenu kisiwe mtu ni Mtanzania na mkaconfirm 100% ni Mtanzania then mkampatia? Hivi dunia ya leo do I need a complex reason that is so appealing ili tu nipewe passport? Seriously?

Dunia mbona imebadilika sana? Tunataka kuwa kama hawa watu weupe harafu mambo yetu bado ya aina hii? .

Yani ninaweza kuwa na vijisenti vyangu bank nikasema aisee nasikia Wachina wameendelea sana jebu ngoja nikaone na Mimi. Hiyo ni sababu tosha sana! Sio lazima niseme naenda China kununua nguo au machine or whatever reason you think is much better that this one.

Jamani dunia imebadilika, hebu acheni haya mambo ya " kishamba" mtu kama ni Mtanzania, mmejihakikishia hivyo basi MPE, acheni usumbufu, probably I wanna go to China and wanna "bung" a Chinese, do you really wanna know? What if that is my legit reason? Aisee toa passport, acheni haya mambo kufikiri ukipata passport ni kama port of gold, hicho ni kitambulisho tu cha Mtanzania nje ya nchi na ni HAKI YAKE!
Ulaya America Asia na Nchi zilizoendele kama South Africa passports ni kitu cha lazima kuwa nacho hakuna usumbufu kuipata inachukua masaa siku kuipata, pia kwa Tanzania passport inalipiwa tshs 150, 000\= wakiwa smart wataingiza pesa nyingi sana kwani watanzania wengi wanataka passport lakini wanakatishwa tamaa na usumbufu wa maswali ya kijinga jinga, Rushwa na mengineyo mengi ya hovyo hovyo.
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
15,673
2,000
Haya ndio mambo hatuyataki, aisee passport mpaka nihonge? Tutaendelea kweli? Hata Ku renew tu na lishangongwa Mara kibao nchi kibao? Mara leta leseni ya biashara, Mara kalete invitation letter, Mara vile, the helll? Damn! Whats wrong with our heads?
Passport inalipiwa tshs 150,000/= wapo watanzania wengi wanataka kulipa hizo pesa lakini cha ajabu uhamiaji wanazikataa pesa kwa visingizio na usumbufu usio na kichwa wala miguu, Serikali inakosa mapato kwa uzembe wa watumishi wake wenyewe.
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
15,673
2,000
Watu milion 10 tu wakinunua pasiport kwa tshs 150, 000 Serikali itaingiza Tilion 1.5 na zaidi ukichunguza kiundani utagundua Serikali wanapoteza pato kubwa kwa usumbufu wa wafanyakazi wa uhamiaji, maswali ya msingi yabakie kwa yule Mtanzania anayeomba passport kwa mara ya kwanza, lakini Mtanzania ambaye ana passport ya zamani anataka mpya waacha usumbufu, watumie kumbukumbu za zamani kumpatia passport mpya. Huu ujinga ndiyo umeludumaza Taifa hili, uhamiaji badilikeni mwende na wakati.
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
15,673
2,000
Haya ndio mambo hatuyataki, aisee passport mpaka nihonge? Tutaendelea kweli? Hata Ku renew tu na lishangongwa Mara kibao nchi kibao? Mara leta leseni ya biashara, Mara kalete invitation letter, Mara vile, the helll? Damn! Whats wrong with our heads?
Kenya Uganda na Nchi zingine hawana usumbufu ukiwa na kitambulisho cha Taifa unapatiwa passport bila usumbufu na Nchi kuingiza pato la Taifa.
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
15,673
2,000
Mimi kuna kaka aliniambia, "kupata passport sio kitu kirahisi dada unatakiwa kuihangaikia. Wenzio wanakujaga mara 30 na wanakosa, wewe mara mbili tu unalalamika".

Wameshaona kusumbua watu hata kwa makosa yanayosababishwa na kupishana kwao maelezo basi ni sawa tu.
Walinikasirisha mpaka midomo ikawa inacheza.

Sema nikatumia kujuana kwangu nikaipata week tu na sikutoa hela yoyote zaidi ya hela halali inayolipwa
Wapo wenzako wajanja zaidi hupata hata kwa masaa au siku Hiyo hiyo, connection ndiyo imeshika kasi kuliko chochote.
 
Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
3,345
2,000
Hii taifa inashangaza sana ukiachana na usumbufu wa uhamiaji ambapo passport kwao wanaona unaenda ku enjoy nje ya nchi kupita wao.

Kuna taasisi moja juzi nimeenda wanaanza kuniomba barua ya mwenyekiti wa mtaa sijui mjumbe ,nikawaambia nini maana ya kuniambia nije na kadi ya nida maana iyo ndio inataarifa zote za serikali kuanzia mtaa hadi familia. Si elewi nini maana ya kuwa na vitu hivyo

Maswali ya kujiuliza hivi serikali awaunganishi data zao kwa urahisi?
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
15,673
2,000
Naunga mkono hoja...Ongeza na hili, mtu yoyote akienda kuomba passport lazima wamwambie sio raia pamoja na maneno ya kukatisha tamaa.
"Rudi kesho", " unatusumbua", "kwanza unafanana na Wakenya utakua Mkenya wewe". Uhamiaji kuna haja ya kuufanyia mabadiliko.
Napendekeza uhamiaji wafanye kazi ya kuthibitisha uraia halafu passport zitoke TRA kama walivyofanya kwenye leseni za udereva
Passport zenyewe hawatoi bure lakini wanasumbua watu, ujinga wao ndiyo unawakosesha pesa, watanzania wakikosa usumbufu wakamua kulipa wataingiza pesa nyingi sana, nina imani uhamiaji wapo JF wakipita wataona la kujifunza na wakajirekebisha
 
LexPaulsen

Senior Member
Jul 30, 2018
169
500
Sijawahi kujua kwa nin waTZ tunabaniwa sana kupata hizi passport mpya as if ni ticket ya kwenda mbinguni, ni culture ya kitaahira hii, uhamiaji pale kuna watu wapumbavu sana, nlienda kutafuta passport mpya kma walivyotuambia tubadilishe, jamaa ananiuliza unakwenda huko kufanya nin, nkamwambia boss matembezi binafsi na kutalii tu, akagoma eti nilete uthibitisho ticket ya ndege, shwain kabisa....... nlirudi ofisini nkadraft barua ya safari za kufoji na partner company za nje ndo nikasikilizwa.

Mbaya zaid dawati la malalamiko/complains hata halifanyi kazi wahuni tu.
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
15,673
2,000
Hii taifa inashangaza sana ukiachana na usumbufu wa uhamiaji ambapo passport kwao wanaona unaenda ku enjoy nje ya nchi kupita wao.

Kuna taasisi moja juzi nimeenda wanaanza kuniomba barua ya mwenyekiti wa mtaa sijui mjumbe ,nikawaambia nini maana ya kuniambia nije na kadi ya nida maana iyo ndio inataarifa zote za serikali kuanzia mtaa hadi familia. Si elewi nini maana ya kuwa na vitu hivyo

Maswali ya kujiuliza hivi serikali awaunganishi data zao kwa urahisi?
Tanzania ya sasa imejaa vioja kila ofisi ya Serikali ina maswali ya kukatisha tamaa usumbufu wa kila Aina licha ya Rais magufuli kujinadi kuwa amemaliza urasimu kwenye ofisi za Serikali
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom