Kati ya taasisi za serikali inayonishangaza katika utendaji wake ni uhamiaji. Especially linapokuja suala la international passport, acheni bureaucracy.
Jana nilienda na rafiki yangu ambayo wote tulikuwa na sababu zetu, mmoja akitaka kurenew passport apate ya electronic, mwingine ndio anataka passport kwa mara ya kwanza, kwakweli nilijua you have changed lakini nimekutana na mambo yale yale ya kipindi kile natafuta passport Kwa Mara ya kwanza "bureaucracy".
Hivi niwaulize do someone need a reason that is so appealing to you guys ili mumpe passport?
Just imagine mtu una passport ambayo tayari umeisafiria nchi kibao umeona urenew upate ya electronic lakini bado kuna unaletea usumbufu, what reason do you need? Hivi kwanini kigezo chenu kisiwe mtu ni Mtanzania na mkaconfirm 100% ni Mtanzania then mkampatia? Hivi dunia ya leo do I need a complex reason that is so appealing ili tu nipewe passport? Seriously?
Dunia mbona imebadilika sana? Tunataka kuwa kama hawa watu weupe harafu mambo yetu bado ya aina hii? .
Yani ninaweza kuwa na vijisenti vyangu bank nikasema aisee nasikia Wachina wameendelea sana jebu ngoja nikaone na Mimi. Hiyo ni sababu tosha sana! Sio lazima niseme naenda China kununua nguo au machine or whatever reason you think is much better that this one.
Jamani dunia imebadilika, hebu acheni haya mambo ya " kishamba" mtu kama ni Mtanzania, mmejihakikishia hivyo basi MPE, acheni usumbufu, probably I wanna go to China and wanna "bung" a Chinese, do you really wanna know? What if that is my legit reason? Aisee toa passport, acheni haya mambo kufikiri ukipata passport ni kama port of gold, hicho ni kitambulisho tu cha Mtanzania nje ya nchi na ni HAKI YAKE!