Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,971
- 22,163
Pengine gazeti la leo limetoa tu karobo kamchezo kanaonyika pale airport
ni kweli nimesoma nipashe kuna michezo michafu ambayo inahusishwa na wkubwa wa uhamiaji ambao huleta vibali feki na watu wawili ama watatu kuingia ndani kuanza kukusanya waliowaleta na kwenda kuonana na incharge wa uhamiaji ambae nae anakuwa amepewa maagizo kama si kukatiwa kabahasha ka jairo na baada ya hapo wale dagaa huamua nao kukomaa kudai ka doller mia mia na mwisho wa mchezo huishia hapo nje watu kupeana champagne na wengine wakitoka hutoa vibomu vya wine kwenye shati zao kutoaminikama wameingia tanzania
nahisi hii nchi imekosa uadilifu kila sehemu mungu atusaidie sana sana..wachi wana kundi lao wakija wanaingia moja kwa moja na kuongea na ma incharge na kuwakatia autashangaa mchina anaongea kiswahili kama anaishi tandale sio hao juzi kundi la wapalestina 15 wameingizwa wakisaidiwa na mkuu wa kazi mmoja ambae aliingia kwanza kabla awajatua ...na sio hivyo anakamemo kutoka kwa wakubwa wa nchi unaowajua nia hatari sana sana kuuza nchi kiasi hiki inatia aibu sana maofisa wanauza watu na mbaya kama mmesoma nipashe kumbe wanaokuja kuwatoa airport hulipwa million kumi kumi kila kichwa jiulize wamepitisha vichwa vingapi mpaka sasa???