Uhalisia wa maisha tunayopitia Afrika Kusini

Huyu jamaa anaishi songea alafu analeta thread za sauzi africa eti kaishi sauzi Toka 2003 dah ukiwa muongo uwe na memory kijana View attachment 2677999
Dah..!! JF kiboko kwa kumbukumbu na members wa JF hawapoi na wala hawaboi kwa kufukunyua makaburi..!! Alijisemea marehemu Ruge, kwamba hapa duniani OGOPA MUNGU NA TEKNOLOJIA. Ona sasa wa kunyumba steve_shemej anavyodhalilika
 
Wabongo bana! Wewe ulitaka ujumbe ukufikiaje kuhusu hao mashoga? Au ulitaka aongelee vyoote ila kuhusu ishu ya mashoga amute?? Kwanza unaanzaje kuandamana ugenini wakati kwenu hujawahi fanya hivyo?
Hamna baana na wewe ni wale wale marindayana mushkel.
 
Back
Top Bottom