Wabongo wanaokufa Afrika Kusini wengi wao ni wahuni

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,843
Nimejaribu kuperuzi kundi lao wanajiita mabaharia kila siku wanapost misiba ya wabongo wenzao waishio Afrika Kusini lakini ajabu sura zote zimebend yani midomo imekauka sura mbovu Zina upere kama kashata.

Wengi wao inaonekana wahuni hawaishi documentary wapo tu wanaishi kwa kuibia

Wabongo rudini home unless kila siku mtakufa huko Kwa kupigwa risasi na makaburu, wazuru na Afrikaans shida yenu mnajifanya watoto kwa mjini kuliko wazawa mkifika huko mnaanza ujuaji mnataka kula kimasikhara wake za watu, muda wote mnataka kufinya watoto wa kizuru mnasahau mlikotoka
 
Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho​

Screenshot_20230529-073001.jpg
Screenshot_20230529-073208_1.jpg
Screenshot_20230529-073123.jpg
 
Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho​

Ndoujinga waliobaki nao, wanaacha kuwaza michakato ya fursa za ajira wanawashwa tu
 
Nimejaribu kuperuzi kundi lao wanajiita mabaharia kila siku wanapost misiba ya wabongo wenzao waishio Afrika Kusini lakini ajabu sura zote zimebend yani midomo imekauka sura mbovu Zina upere kama kashata.

Wengi wao inaonekana wahuni hawaishi documentary wapo tu wanaishi kwa kuibia

Wabongo rudini home unless kila siku mtakufa huko Kwa kupigwa risasi na makaburu, wazuru na Afrikaans shida yenu mnajifanya watoto kwa mjini kuliko wazawa mkifika huko mnaanza ujuaji mnataka kula kimasikhara wake za watu, muda wote mnataka kufinya watoto wa kizuru mnasahau mlikotoka
Afrikaans ni watu gani?
 
Naam. Lakini Thabo Mbeki alikuwa anaongea juzi anasema,"We want everyone to know:No one can stop us now". Sijui alikuwa anaongea juu ya nini.
Lakini waleg Wabongo,I don't think anyone can syop them now.
 
Nimejaribu kuperuzi kundi lao wanajiita mabaharia kila siku wanapost misiba ya wabongo wenzao waishio Afrika Kusini lakini ajabu sura zote zimebend yani midomo imekauka sura mbovu Zina upere kama kashata.

Wengi wao inaonekana wahuni hawaishi documentary wapo tu wanaishi kwa kuibia

Wabongo rudini home unless kila siku mtakufa huko Kwa kupigwa risasi na makaburu, wazuru na Afrikaans shida yenu mnajifanya watoto kwa mjini kuliko wazawa mkifika huko mnaanza ujuaji mnataka kula kimasikhara wake za watu, muda wote mnataka kufinya watoto wa kizuru mnasahau mlikotoka
Usilaumu watanzania, wengi walioko South tatizo hilo linaanzia hapa nyumbani, ukikutana na watanzania wengi South hawana elimu ya shule au professional yoyote, wana ishi kiujanja unjanja bila documentation kazi zote zenye hatari hupewa au Tanzania kwasbb hawajui thamani ya uhai wao wengi shule hawana, mifumo yetu ya elimu nyumvani ni mbovu sana.
 
Sasa umeandika nini hapa? Au unadhani Thabi Mbeki ni mropokaji tu kama Malema?
Nimeiona jana YouTube. Sasa,I don't know what you are complaining about.
Maybe he was saying Africans cannot be stopped now,or maybe he wants to make a political comeback.
Ilikuwa ni clip tu ya dakika moja anasema no one can stop us now.
 
Nimejaribu kuperuzi kundi lao wanajiita mabaharia kila siku wanapost misiba ya wabongo wenzao waishio Afrika Kusini lakini ajabu sura zote zimebend yani midomo imekauka sura mbovu Zina upere kama kashata.

Wengi wao inaonekana wahuni hawaishi documentary wapo tu wanaishi kwa kuibia

Wabongo rudini home unless kila siku mtakufa huko Kwa kupigwa risasi na makaburu, wazuru na Afrikaans shida yenu mnajifanya watoto kwa mjini kuliko wazawa mkifika huko mnaanza ujuaji mnataka kula kimasikhara wake za watu, muda wote mnataka kufinya watoto wa kizuru mnasahau mlikotok
Mpwayungu leo hujaenda job
 
Back
Top Bottom